Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Mwislamu mwenzakoWapi mm niliweka hilo andiko ebu nioneshe tena nioneshe sasa ivi kma ni kweli mm nimeweka hilo andiko
mjingamimi, ndiye aliyeliweka
Wewe unamkanusha kwani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwislamu mwenzakoWapi mm niliweka hilo andiko ebu nioneshe tena nioneshe sasa ivi kma ni kweli mm nimeweka hilo andiko
Kwa hiyo wewe umekiri mimi Mungu?Hakuna Contrstidiction hapo sababu kuna kukiri na kukanusha,hapo nitakuuliza Mungu ni nani na anasifa gani mpaka ujinasibu kuwa wewe ni Mungu ?
Hapo umethibitisha ya kuwa humjui Mungu ni nani ndiyo maana umeuliza swali hilo. Ndiyo tuna rudi kule kule ya kiwa umejuaje ya kuwa Mungu hayupo ? Hili swali halikwepi.
Soma nilichokiandika.Kwa hiyo wewe umekiri mimi Mungu?
Nimesoma, kuna kipi kipya?Soma nilichokiandika.
mjingamimilet me make this clear
Shahada ipo moja tu
Unamshuhudia Allah kua ndio Mungu wako na unashuhudia kua Muhammad ni mtume wake
Hii shahada ndo inamfanya mtu kuingia ktka Uislamu na yeyote atakayeikana hii shahada ktka ummati muhammad(zama hizi za Uongozi wa Muhammad)huitwa KAFIRI.
Mitume na nabii wakubwa walikuwa 25.Hivyo shahada ya kumkiri Muhammad kama mtume wa Allah in ndogo sio?
wewe mbona kichwa mchungwa ww
Sisi tunakupendeni sana tena sana ndo mna tunakulinganieni kua hakuna Mungu anoitwa Yesu na hatotokea kamwe ili muachane na huo Uongo muweze kusilimu muje kwenye dini ya haki ambayo ni UislamuKwani Waislamu muna shida gani hasa ?
Mtume wenu Muhammadi mnaye.
Mungu wenu Allah mnaye.
Si tuishie hapo.
Sisi Wakristo, Allah sio Mungu wetu.
Muhammadi sio Mtume wetu.
Na haitakuja itokee.
Si toshekeni hivyo.
Ushabadiri Mada tayari.Sisi tunakupendeni sana tena sana ndo mna tunakulinganieni kua hakuna Mungu anoitwa Yesu na hatotokea kamwe ili muachane na huo Uongo muweze kusilimu muje kwenye dini ya haki ambayo ni Uislamu
ivi ebu fikiria ww mwenyeo tu kweli Mungu asulubiwe sasa kma amesulubiwa kwaio inamaanisha yy hajaweza kujilinda basi ataweza kukulinda ww? Kma Yesu ni Mungu kwann binadamu wenzake wamtese hali ya kua yy ana nguvu za Uungu ? ukitafakari kdgo tuu utapata kujua kua Wakristo mumedanganywa kuhusu Mungu
Uislamu ndio dini ya haki
Ni kwamba una uhakika halipo au unataka ligi tu, kwa hiyo muhammad aliposema mfanye mutah alijitungia tulete andiko basi usilete porojo zako lete andiko kua Qur'an imeamrisha mut'ah mna maswali yangu hua huwezi kuyajibu na hili ukishindwa litakua swali la 3
Ndio maana umeona muhammad kwa kuwaza kama wewe akasema alisulubiwa mtu mwingineSisi tunakupendeni sana tena sana ndo mna tunakulinganieni kua hakuna Mungu anoitwa Yesu na hatotokea kamwe ili muachane na huo Uongo muweze kusilimu muje kwenye dini ya haki ambayo ni Uislamu
ivi ebu fikiria ww mwenyeo tu kweli Mungu asulubiwe sasa kma amesulubiwa kwaio inamaanisha yy hajaweza kujilinda basi ataweza kukulinda ww? Kma Yesu ni Mungu kwann binadamu wenzake wamtese hali ya kua yy ana nguvu za Uungu ? ukitafakari kdgo tuu utapata kujua kua Wakristo mumedanganywa kuhusu Mungu
Uislamu ndio dini ya haki
Leo ishafika hya lete ilo andiko sasa kma ww unasema kweliNi kwamba una uhakika halipo au unataka ligi tu, kwa hiyo muhammad aliposema mfanye mutah alijitungia tu
We ulisema leo utaleta hilo andiko lete.sasa ilo andiko kma unasema kweli na ukishindwa kuleta ilo andiko ww utakua ni Muongo tu ambae unauchukia Uislamu kwa chuki zako tuu wala sio kwa hojaNi kwamba una uhakika halipo au unataka ligi tu, kwa hiyo muhammad aliposema mfanye mutah alijitungia tu
Mada ipi ilobadilishwa ?Ushabadiri Mada tayari.
Nani kasema humu kuhusu Umungu wa Yesu hadi uzungumzie.
waislamu wanasema walikuwa wanaruhusiwa kuchukua demu kwa mda na kumlipa unga wa ugali, badae muhammad kafa umar akaona ni ujinga akakatazaLeo ishafika hya lete ilo andiko sasa kma ww unasema kweli
Nikisema mm nina uhakika na ninaujua Uislamu wangu niamini mm sio kichwa mchungwa kwenye dini yangu
Ww asa muongo we umesema Qur'an ndo inasema ivo mm nasubiri andiko kwnye Qur'an usilete janja janja hpawaislamu wanasema walikuwa wanaruhusiwa kuchukua demu kwa mda na kumlipa unga wa ugali, badae muhammad kafa umar akaona ni ujinga akakataza
We contracted temporary marriage giving a handful of (tales or flour as a dower during the lifetime of Allah's Messenger..... Sahih Muslim 1405d
We endelea tu kuongopewa na Muhammadi.Mada ipi ilobadilishwa ?
Ttzo tukigusa apo Wakristo wote mioyo inatapatapa kwa kua ilo jambo hmna uhakika nalo
kama umeshindwa kutoa hilo andiko sema kua nimeshindwa mna ukigoogle vitu vyko unavovijua haraka tuu unacopy na kupaste hpa sasa takriban dkka 20 zimepita hujaleta ilo andiko [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]waislamu wanasema walikuwa wanaruhusiwa kuchukua demu kwa mda na kumlipa unga wa ugali, badae muhammad kafa umar akaona ni ujinga akakataza
We contracted temporary marriage giving a handful of (tales or flour as a dower during the lifetime of Allah's Messenger..... Sahih Muslim 1405d
Kijana kusema ukweli nawaonea huruma sana mna Adhabu za Mungu sisi binadamu hatuziwezi ata kidogo ila ukiwa tyr mm nitakufundisha UislamuWe endelea tu kuongopewa na Muhammadi.
Umeruhusiwa mpaka kula mke wa mtu kama sio muislamu , umeruhusiwa pia ku furahiya ngono na mwanamke na umlipe mkimaliza kazi,kama umeshindwa kutoa hilo andiko sema kua nimeshindwa mna ukigoogle vitu vyko unavovijua haraka tuu unacopy na kupaste hpa sasa takriban dkka 20 zimepita hujaleta ilo andiko [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]