Chimbuko na Upotofu wa kanisa la Waadventista Wasabato


Asante kwa ufafanuzi zaidi! Hope hakuna muadventista msabato anayeweza kutoka kwenye hoja kama hizo akaja na majibu nimeuliza kwa waumini nikakosa makini nikapanda kwa wainjilisti nako nikakosa nikasogea pia kwa wachungaji wa kisabato napo hapakuwa na majibu so nini kimejificha zaidi kwenye imani hii ya seventh day adventist ?

Bado nakosa majibu ya maswali kadhaaa

Moja wapo ni kupinga kuweka alama za vitu kwenye dhehebu hili japokuwa wameweka kwa siri tena yazidi hata walioweka wazi?

Tazama nembo ya kanisa la wasabato kuna msalaba uliogeuzwa chini juu na hii inaonyesha miungu ya kale ya misri yaani mungu baal


Lakini pia watapinga hilo lakin bila majibu, mwanzo hawakuwa wanaweka msala kwenye nembo hizo na hata makanisa ya kiadventist wasabato wanawek msalaba kuelezea kwamba ni kanisa na wanapinga hilo la msalaba


Lakini kwenye nembo wameweka msalaba wa siri wenye maana nyingine tofaut na kawaida ya msalaba wa kristo




Kipi wanachoficha nyuma ya pazia kwenye dhehebu hili lenye kujiaminisha kwamba ni kanisa teule na kusahau kwamba kanisa (hekalu) ni mwili wako na Mungu akaaye ndani yako?

Kiukweli napata ukakasi zaidi kuona na kuambiwa nikiwa masabato basi nina ticket ya kwenda mbinguni huku mafundisho tu yanakinzana pakubwa na biblia yenyewe
 
Ama kweli mkuu ni mengi ya kujiuliza. Ila kipimo ni maneno ya Yesu.
Mwisho wa siku Yesu atajulikana kwa wote
 
Unamaanisha nini maana umeninukuu ila hujajibu nilichouliza
 
Hilo hadi ufike mwisho ushasahau ulichopata mwanzo.
Anyway Huo ni upotoshaji wa wasabato kwa mujibu wako, lipi ni dhehebu la kweli lisilo na dosari twende?
Madhehebu yote ni mpango wa shetani na ameweka mbegu zake kwenye kila dhehebu
 
Mimi ukinijibu kuhusu viapo vya ubatizo nitakuona wamaana sana na kukusikiliza vzr
Viapo vipo tangu enzi na enzi.

Zile amri za Mungu ni kiapo pia. Na watu walimwasi Bwana baada ya kukiuka maelekezo na viapo vyao.
 
Hii nembo hiyo juu chini unaichora kuanzia wapi? Yapi maswali magumu hata sisi tunaosoma bibloa tusikujibu ? Yaweke au ni tag kabisa
 
Viapo vipo tangu enzi na enzi.

Zile amri za Mungu ni kiapo pia. Na watu walimwasi Bwana baada ya kukiuka maelekezo na viapo vyao.

Sasa tunaanza kuchekesha amri ni kiapo? Duh usabato unakupeleka puta mkuu
 
Sasa tunaanza kuchekesha amri ni kiapo? Duh usabato unakupeleka puta mkuu
Sasa ukiambiwa usiibe unazani hicho sio kiapisho?

Unaapa kwa Mungu hautaiba. Au wewe kiapo ni kipi?
 
Mkuu nahisi wewe ni
Mkurupukaji kweupe kabisa embu kasome na kafanye utafiti zaidi utaoata majibu ya mambo yote
 
Mara yako ya mwisho kusoma baibo ni lini chifu
Hakuna haja ya kukupa ratiba yangu au mimi kupata yako. Endelea kwa amani na uelewa au uchaguzi wako. Naomba Mungu akujalie upendo na heshima kwa unaotofautiana nao - na hata maadui, wajinga na wenye dhambi, pia wapende na kujali utu wao. Usimdharau mtu yeyote!
 
Sawa.
 
Mmh!
 
Biblia haitafsiriwi kama upendavyo wewe (2 Petro 1:19-20)
 
Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii,naye Kristo Yesu ni jiwe kuu la pembeni(Efeso 2:20).Sasa kama imani yako sio ile ya mitume na manabii basi ni wazi uko mbali sana na Yesu ila hujatambua.Mungu akusaidie kuelewa
 
Kwa hiyo huyo mama yenu Hellen G white na Mariamu mama wa Yesu wanafanana?
Mmoja ni mjumbe wa MUNGU,na mwingine ni mama wa Yesu.Lakini wote ni wanawake na wana haki sawa mbele za MUNGU,kwa maana wote wapo kaburini hadi Yesu atakapokuja kuwafufua.Ikiwa walikufa wakiwa katika matendo mema watapata uzima wa milele,na kama walitenda maovu watapata adhabu ya mauti ya milele.Sijui wewe unasemaje
 
1-Biblia haikuandikwa na wakatoliki,soma(2 Petro 2:20-21).Vinginevyo ulete ushahidi wa kimaandiko utoe mfano wa kitabu hata kimoja tu kinachosema mwandishi wa kitabu hiko alikuwa mkatoliki.
2-Petro hajui upapa.Toa andiko linalosema Petro alikuwa papa wa kwanza.Toa kwenye sio mapokeo.Maana mapokeo ni uzushi.
3-Sisi hatuchambui kanisa lolote,tunachambua biblia.mfano;ufunuo 18:8 inasema;"Baada ya hayo naliona malaika mwingine,akishuka kutoka mbinguni, mwenye mamlaka kuu;na nchi ikaangazwa kwa utukufu wake.Akalia kwa sauti kuu,akisema,umeanguka, umeanguka Babeli ule mkuu;umekuwa maskani ya mashetani,na ngome ya kila ndege mchafu mwenye kuchukiza;Kwa kuwa mataifa yote wamekunywa mvinyo ya ghadhabu ya uasherati wake,na wafalme wa nchi wamezini naye na wafanya biashara wa nchi wamepata mali kwa nguvu za kiburi chake.Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni,ikisema,Tokeni kwake,enyi watu wangu,msishiriki dhambi zake,wala msipokee mapigo yake."Sasa ukisoma biblia toleo la kujifunza,utaona kwenye maelezo ya ufafanuzi pale chini wanasema;"mzizinzi mkuu ni Roma".Na hii biblia imetafsiriwa katika kiswahili cha kisasa na wakatoliki wenyewe.Sisi kazi yetu ni kusoma na kuhubiri tu kwa watu ili waielewe Babeli watoke kama MUNGU anavyowaambia Ili wasishiriki mapigo yake.Sasa kama inapohubiriwa hii aya wewe unachukia badala ya kutafakari anachokueleza MUNGU basi wewe sio wa MUNGU.Hii inawahusu watu wa MUNGU tu.Wewe unasema tunakuponda!Kwa taarifa yako;wenye kanisa wanajua.Wanaelewa na ukweli wanao.Ukiutaka ukweli wanakupa ukiutaka uongo wanakupa.Hata Kuhusu kuhamisha utakatifu wa sabato kutoka jumamosi kwenda jumapili wao wenyewe ndiyo wanasema.Ukihitaji ushahidi niambie nikupe ukamsome kiongozi wako(papa) anavyosema.
4-Wasabato hawajawahi kuwa wakatoliki.Labda unawazungumzia walutheran.Wasabato walikwepo tangu uumbaji(mwanzo 2:1-3).Warumi walipotawala wakawaua wasabato wengi akiwemo Petro na Paulo.Hao waliuawa pale pale Roma.Wasabato wakapotea kwa muda wa miaka 1260(DANIEL 7:25, UFUNUO 13:5-6). Wasabato wakarudi tena kuanzia 1798 hadi Sasa,na wataendelea hadi Yesu anarudi.Ndipo wakajiita wanaongojea ujio wa Yesu(WAADVENTISTA WASABATO).So hili jina ndo lilianza mwaka 1845,sabato ilikuwepo tangu uumbaji.Mitume na manabii wote walikuwa Wasabato.
 
Mi nilidhani ungetoa maandiko kuonyesha Wasabato wamepotea ila wewe na dini yako ndo mko sahihi kwa mujibu wa Biblia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…