Chimbuko na Upotofu wa kanisa la Waadventista Wasabato

Jackwillpower

1. Mkuu jack TUNAOMBA msaada WAKO HAPA.

2. Tunashindwa KUKUJIBU ANDIKO lako WA sababu hujaweka namba.
NINAOMBA UWEKE NAMBA ILI TUWEZE KUPANGUA HOJA MOJA BAADA YA NYINGINE.


3. Akaenda Nazareti, hapo alipolelewa; na siku ya sabato akaingia katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama ili asome.
Luka 4:16

Joka akamkasirikia yule mwanamke, akaenda zake afanye vita juu ya wazao wake waliosalia, wazishikao amri za Mungu, na kuwa na ushuhuda wa Yesu; naye akasimama juu ya mchanga wa bahari.
Ufunuo wa Yohana 12:17


4. NAKUSHAURI MUOMBE sana Roho mtakatifu akuongoze Katika kusoma Biblia usome na uelewe.

FANYA EDITING YA ANDIKO LAKO, LIPE NAMBA HOJA TUZIONE NA KISHA TUJE TUKUJIBU.
 
MWANDISHI NIKIONYE TU KUWA ANAYEZUNGUMZIWA HAPA NI MZEE WA SIKU KIONGOZI WA KANISA LAKO. PAPA.
AKIPOKEA HUKUMU YA YESU KRISTO.

DANIEL 7:10.
Nikatazama hata viti vya enzi vikawekwa, na mmoja aliye mzee wa siku ameketi; mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji, na nywele za kichwa chake kama sufu safi; kiti chake cha enzi kilikuwa miali ya moto, na gurudumu zake moto uwakao.

Mto kama wa moto ukatoka ukapita mbele zake; maelfu elfu wakamtumikia, na elfu kumi mara elfu kumi wakasimama mbele zake; hukumu ikawekwa, na vitabu vikafunuliwa.
Danieli 7:10



Danieli 7:9

Nikaona katika njozi za usiku, na tazama, mmoja aliye mfano wa mwanadamu akaja pamoja na mawingu ya mbingu akamkaribia huyo mzee wa siku, wakamleta karibu naye.

Danieli 7:13
hata akaja huyo mzee wa siku, nao watakatifu wake Aliye juu wakapewa hukumu; na majira yakawadia watakatifu waumiliki ufalme.

Danieli 7:22


ANAEZUNGUMZWA HAPA NI PAPA KIONGOZI WA KANISA LAKO ROMAN CATHOLIC.
 
Mashoga ya Vatican
 

Unaweza ku summarize ANDIKO lake hoja ukazipa namba?????....


Ili Ile Rahisi kumjibu
 
Amina🙏
 
Kwanini asiweke namba Katika hoja zake Ili tumjibu.
Huyu ni mkatoliki Mimi namjua.

Mwambie aweke namba tupangue hoja Moja Baada ya nyingine sio kuandika GAZETI.
Binafsi najivunia sana kuwa Mkatoliki! Kusoma Seminary ya Kikatoliki. Na kuishi maisha ya kikatoliki.
 
Binafsi najivunia sana kuwa Mkatoliki! Kusoma Seminary ya Kikatoliki. Na kuishi maisha ya kikatoliki.

Watu hawa huniheshimu kwa midomo; Ila mioyo yao iko mbali nami.
Mathayo 15:8

9 Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu.
Mathayo 15:9


MAAGIZO YA WANADAMU NI YAPI?????

Hakuna sehemu Biblia inaruhusu haya.


1. Ibada za Sanamu.

2 Bikra maria kuwaombea.

3. MATUMIZI ya Rozali.

4. Kunywa pombe na Kuvuta sigara.

6. KUBADIRI majora na nyakati.

7. Majibu nk

ENDELEA KUJIVUNIA SANA KUWA MKATOLIKI.
 
Ufunuo 18:4 “Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake. Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amemkumbuka maovu yake…Kwa sababu hiyo mapigo yake yatakuja katika siku moja, mauti, na huzuni, na njaa, naye atateketezwa kabisa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemuhukumu ni mwenye nguvu.
 

JE anaezungumzwa hapa ni nani????????????..




ANAYEZUNGUMZIWA HAPA NI MZEE WA SIKU KIONGOZI WA KANISA LAKO. PAPA.
AKIPOKEA HUKUMU YA YESU KRISTO.

DANIEL 7:10.
Nikatazama hata viti vya enzi vikawekwa, na mmoja aliye mzee wa siku ameketi; mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji, na nywele za kichwa chake kama sufu safi; kiti chake cha enzi kilikuwa miali ya moto, na gurudumu zake moto uwakao.

Mto kama wa moto ukatoka ukapita mbele zake; maelfu elfu wakamtumikia, na elfu kumi mara elfu kumi wakasimama mbele zake; hukumu ikawekwa, na vitabu vikafunuliwa.
Danieli 7:10


Danieli 7:9

Nikaona katika njozi za usiku, na tazama, mmoja aliye mfano wa mwanadamu akaja pamoja na mawingu ya mbingu akamkaribia huyo mzee wa siku, wakamleta karibu naye.
Danieli 7:13

hata akaja huyo mzee wa siku, nao watakatifu wake Aliye juu wakapewa hukumu; na majira yakawadia watakatifu waumiliki ufalme.
Danieli 7:22

ANAEZUNGUMZWA HAPA NI PAPA KIONGOZI WA KANISA ROMAN CATHOLIC.
 
Watoto wa mama wenu Ellen white 🤣🤣🤣
 
Kuna mambo ambayo tunafanana dini zote......

.
Of course mkuu.

Ila unapaswa kufocus kukua kiroho sio kwa kutegemea nguvu zako kushinda dhambi. hapana. Hayo yote unapaswa kuyatenda sio ili upate kuokolewa(wokovu) au uende mbinguni bali unapaswa kuyafanya kwa kuwa wewe ni kiumbe kipya ndani ya kristo baada ya roho yako kuungana na Roho wa Mungu.

Ukimpokea Roho wa Mungu hautumii nguvu kubwa kushinda hayo (japo utaanza kwa ugumu kwa kuwa mwili ni dhaifu kwa mambo ya Kimungu/Kiroho).

Aliyeamini ameokolewa/ameokoka tayari. kinachofuata ni kutembea kwa kudhihirisha ule wokovu aliuopokea kwa Kufa na kufufuka kwa Yesu.
 
Sabato haiko juu yake bali Yeye, Yesu, ndiye Bwana wa sabato!
Kuhusu sabato pia tangu mwanzo ilikuwa moja ya vitu vilivyofanyika kama vivuli vya yale yatakayokuja baada ya Yesu kudhihirika katika mwili.

Yote kuhusu Chakula cha jangwani(Manna),Nyoka wa Shaba,Hema la kukutania na sherehe za vibanda,Sadaka ya kondoo ni ufananisho wa Kristo ambavyo vilikoma baada ya kitu halisi(Yesu Kristo) kuja.

Baada ya kitu halisi kuja haiwezekani ukabaki na kushikilia kivuli ambacho sio kitu halisi.

Yesu aliheshimu agano la kale lakini pia hakumaanisha yale yaliyokuwa kule ni ya kushikilia bado.mifano ipo mingi ila mmoja ni kuhusu mwanamke aliyezini.

Sheria ilisema alipaswa kuuwawa lakini Yesu hakumuachia watu wampige bali aliweka mazingira ya wao kujua kwamba wenyewe pia wana dhambi zao na hawawezi kujikomboa isipokuwa kupitia yeye kwa namna alivyokuja duniani kufa kwa ajili yetu ili tusamehewe dhambi zetu.

Yesu hakutaka kuonyesha kwamba walioshika agano la kale hawakuwa na akili..hapana bali anaonyesha kuwa agano jipya ni bora zaidi kwa kuwa lina tuhakikishia msamaha wa dhambi na wokovu kwa imani na nafasi yetu sio kujiokoa bali tumeshaokolewa(tukiamini) ila tunapaswa kutembea katika mwenendo wa Kiumbe mpya baada ya roho yetu kuungana na Roho wa Mungu.

Asili yeti inakuwa ina chembe ya Mungu ndani yetu ambaye kwa Roho wake tuna nguvu na mamlaka ya kutembea sawasawa na asili mpya tulioipokea katika Kristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…