Chimbuko na Upotofu wa kanisa la Waadventista Wasabato

Naunga mkono hoja 👍
 
Ukigundua "dini ni utumwa " utaishi vizuri hapa duniani. Unaishia kudanganywa kuna moto wa milele ili uogope, undelete kutoa sadaka ili wajanja washibe. "Come on!!, get out from the cave".

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Ukigundua "dini ni utumwa " utaishi vizuri hapa duniani. Unaishia kudanganywa kuna moto wa milele ili uogope, undelete kutoa sadaka ili wajanja washibe. "Come on!!, get out from the cave".

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Ustaarabu na maendeleo uyaonayo duniani chimbuko lake ni dini.
Hakuna mafanikio bila kutoa.
 
Ukigundua "dini ni utumwa " utaishi vizuri hapa duniani. Unaishia kudanganywa kuna moto wa milele ili uogope, undelete kutoa sadaka ili wajanja washibe. "Come on!!, get out from the cave".

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
ndio dini ni utumwa... Ni mtu tu kuamua kuwa mtumwa... Utumwa wenye faida...
 
Ngoja niseme tu ukweli... Mimi nyumbani naish karibu na walokole... Wanakemea sana mapepo usiku na mchana... Sasa watu walikuwa wanasema wanatumiaga madawa... Wengne wanasema huwa wanamuona na wanakutana na mchungaji kwa waganga wa mbali kidogo nje na mkoa... Hata mimi niliamini kabisa asee hawa jamaa wana madawa ukiwakuta wanatoa pepo... Sasa siku moja nipo shule naskiliza mafundisho ya kipindi cha dini (ASSA) kumbe kulikuwa na wasichana wawili wana pepo (wana ASSA) Ndio wakaanza kuombewa pale wakat huo ilikua usiku saa 2 hivi... Hapakuwa na mwalimu wala mtu yeyote tofaut na wanafunzi... Hiyo siku ndio niliamini MUNGU Yupo... Na nilikua najua kuwa walokole ndio wanatoa pepo pekee yao... Sasa siku hyo pepo walitolewa na wanafunzi ninaowafaham mpaka kwao tena wana umri mdogo 16, 17, hadi 20... Ndugu zangu MUNGU Yupo sema hamjawahi kuona live miujiza... Aisee hyo siku sikuamini kilichotokea... Niliona kwa macho yangu hakuna cha dawa wala matunguli...
 
Sabato haiko juu yake bali Yeye, Yesu, ndiye Bwana wa sabato!
Kwa hiyo Yesu akiwa BWANA wa sabato(mwenye sabato) ndo kasema tusiitunze!Mimi nimepanga kwenye nyumba ya Juma.Juma anakula ananiambia;"mimi ndiye bwana wa nyumba hii.",ndo kaniambia niondoke?Nyie watu mbona shida sana!
 
Unataka uniambie baada ya Yesu kupaa mitume hawakuitunza tena sabato?Yesu,mitume,manabii,wote walikuwa wasabato.Bisha tukupe maandiko.Maana nyie hamfuati maandiko isipokuwa maneno ya mchungaji asiyejua maandiko
 
Elimu niliyonayo katika Dini wewe nyumbu wa kisabato huwezi kuniambia nikosome maandiko
Nyie mmesomea kuikashifu catholic ndio mnachojua[emoji23]
Una elimu ya dini ila huna elimu ya maandiko matakatifu.Una elimu ya tamaduni za Italy(Roma).Ulitaka kuamini,nenda ukatalii Italy katika mji wa Roma uone tamaduni za waroma,kisha uoanishe na za dini yako
 
Una elimu ya dini ila huna elimu ya maandiko matakatifu.Una elimu ya tamaduni za Italy(Roma).Ulitaka kuamini,nenda ukatalii Italy katika mji wa Roma uone tamaduni za waroma,kisha uoanishe na za dini yako
Na wewe nenda katembelee kaburi la mama yenu Hellen G white
 
Yesu alipofufuka alikaa duniani siku 40 ,akiwatokea watu mbalimbali na wanafunzi wake akiwafundisha na kuwakumbusha kuyashika yote aliyowafundisha.Baada ya kupaa,wanafunzi waliendelea kuutunza sabato hadi mfalme Constantine alipoibadili rasmi sabato kwenda jumapili mwaka 321 baada ya Yesu.(soma kitabu Cha kikatoliki kinachoitwa "bustani ya katekista".). Mitume waliitunza sabato(matendo 16:13).Inamaana Yesu alisahau kuwaambia mitume wake kuwa sabato imeishia msalabani hadi wewe umsaidie?Au unadhani mitume wamekosea kutoithamini jumapili ila wewe ndo mwenye kujua hata uwakosoe?
 
Na wewe nenda katembelee kaburi la mama yenu Hellen G white
Sisi hatuna ibada za wafu ndugu.Mungu amekataza.Hata wewe nakusihi;fuata biblia,achana na mapokeo.
 
Kasome vizuri umjue aliyetabiri kurudi kwa Yesu uondoe chuki zako kwa Ellen White.
 
Sisi hatuna ibada za wafu ndugu.Mungu amekataza.Hata wewe nakusihi;fuata biblia,achana na mapokeo.
Hiyo biblia unaisoma wewe imeandikwa na wakatoriki sasa ndio unatufundisha sisi
Kwanza picha lianza dini imeanzishwa na mwanamke
Usabato sio ukristo.
 
Sabato haiepukiki mzee.Labda uachane kabisa na biblia,hata kuitajataja.Yesu alikuwa akiwaelekeza wayahudi namna ya kuitunza sabato.Hata sasa ni jambo jema kuponya siku ya sabato sio kuangamiza.Yesu mwenyewe anasema;ombeni kukimbia kwenu kusiwe katika siku ya baridi,au ya sabato.Siku hizo kutakuwa na dhiki sana(mathayo 24:20).Yesu anajua wanafunzi wake ni watunza sabato.Atawakuta wakiendelea kuitunza sabato.Watanyanyaswa sana kwa ajili ya uaminifu wao kwenye amri za MUNGU (zote kumi ikiwemo ya sabato).Ndiyo maana anawatahadhalisha,kukimbia kwenu ombeni isiwe katika siku ya sabato.Maana mtatukamata kiulaini sana tukiwa kanisani!Hili andiko haliwahusu wajumapili,maana wao hawaitunzi sabato.Kwa mantiki hiyo wana yesu wao muitaliano
 
Hiyo biblia unaisoma wewe imeandikwa na wakatoriki sasa ndio unatufundisha sisi
Kwanza picha lianza dini imeanzishwa na mwanamke
Usabato sio ukristo.
Mngeiandika nyie unadhanikungekuwa na mabishano?Biblia nzima ingejaa jina papa kama baba mtakatifu,ibada za wafu mnaowaita watakatifu,race iliyobalikiwa ingekuwa Waitaliano,mji mtakatifu ingekuwa Vatican badala ya Yerusa,sabato ingekuwa jumapili badala ya jumamosi,n.k.Lakini Biblia imeandikwa na manabii na mitume kwa kuongozwa na Roho mtakatifu(2 Petro 1:20-21).Angalia Maajabu ya MUNGU Sasa!!Wakati wa utawaka wa waroma(THE GREAT ROMAN EMPIRE),walihakikisha hakuna mwanadamu mwenye kusoma biblia.Mungu akaanzisha ile siku hizi mnasema mchawi mpe mwanao akulelee.Mungu akaruhusu maandiko yake yatunzwe na adui yake(RONAN).Hawakuondoa wala kuongeza hata nukta!Walichofanya ni kuweka vitabu vingine vya kihistoria mbele yake tu mfano makabayo,Jude,yoshua bin sira,hekima ya Suleiman n.k.
 
Siamini kumtusi mtu ni roho ya Kristo.
Kama unategemea akili zako kujibu hoja,huwezi kamwe kumshawishi hata muuaji akuelewe.

Si busara kumdhalilisha mtu kiasi hicho.Hii ni sawa na ugaidi.Unamtisha mtu ili akusikilize wewe na kukufuata.
Kanisa katoliki ujerumani si wameruhusu kufungisha ndoa za jinsia moja,au wewe hujui!!!Yeye ndo mkuu wa makanisa yote ya kikatoliki duniani,angezuia unadhani kuna mtu angeenda kinyume naye?
 
Sisi tunafuata maandiko.Maandiko yanatuambia tusitweze unabii ila tuupime kwenye sifa za nabii wa kweli ndani ya biblia.Mariam alibarikiwa kuliko wanawake wote,sawa.Lakini wapi tumeambiwa tumfuate mariam kama nabii?Akiwa nabii basi tutampima kimaandiko,tukiona ana sifa tutamfuata.Ellen tumempima,ana sifa za kuwa nabii,tunamfuata
 
Ila wasabato wanakuambia ellen white ni bora kuliko mariamu
Yaan kama ulivyo sema
Kweli shetani ni muongo na ukicheza naye atakupepeta kama makapi ya ngano.
Nahisi ellen ni wakala wa shetani
Hakuna msabato anayesema huyu ni bora kuliko huyu.Yesu mwenyewe alikataa mama yake kuitwa bora.Akasema mbora ni yule anayeyasikia maneno ya MUNGU na kuyafuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…