Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roho mtakatifu akuongoze kuvunja amri zake!Huyo ni Ibilisi.Watakatifu ni wale wanaoshika amri za MUNGU na ushuhuda wa Yesu tu(ISAYA 8:20,Ufunuo 14:12).Na kama huitii sheria ya MUNGU jua hata Sala yako ni chukizo Kwa MUNGU (Mithali 28:9).Sheria ya MUNGU Ina amri 10.Ya nne ni sabato.Ukivunja moja umevunja zote(Yakobo 2:9-10).Na kuhusu sabato hilo halina mjadala.Yesu amesema yeye ndiyo Bwana wa sabato(mwenye sabato yake).Hakusema yeye ndo sabato.Mimi nimepanga kwenye nyumba ya Simon.Nakuambia hv;Simon ndiye bwana wa nyumba hii ninayoishi.Ndo tuseme Simoni ndo nyumba ninayoishi!!Hata kiswahili hamjui.Watu wa BWANA hutambulika Kwa kuitunza sabato(Ezekieli 20:20).We endelea kujifariji kwa maneno laini laini mnayodanganyana bila andiko la kuthibitisha.Hakuna Yerusalemu ya wajumapili wala ijumaa ndugu, Yerusalemu ni kuitunza sabato tu, milele na milele (ISAYA 66:22-23).Woah.ahsante sana Mtumishi wa Bwana Yesu.Nilikuwa na maswali mengi kichwani hivi karibuni juu ya usabato na kwa hakika nimepata majibu mengi sana.Na sio hivo bali nimepata na chakula muhimu kwa ajilo ya makuzi ya kiroho.Kwa hakika neema tuliyoyano wale tuliomwamini na kumuishi Bwana Yesu kristo ni yapekee sana.Ahsante Roho mtakatifu kwa vile ulivoyafunua haya kupitia Mtumishi huyu.
Neno ni muhimu sana kwa waamini.
Sheria ya MUNGU Ina amri kumi(kutoka 20:3-17).Amri ya nne ni sabato.Ukivunja moja tu ujue umevunja sheria yote(Yakobo 2:9-10).Jifariji tuKuna mambo ambayo tunafanana dini zote......
Usiue, usizini, usiibe, usiseme uongo na zaidi ya yote mpende jirani yako kama nafsi yako.
Binafsi nikishaweza kushinda haya ya kawaida ambayo tunafanana nitaangaika na patakatifu pa watakatifu na hayo mengine ya ukatoliki na usabato na ulokole na ushahidi wa yehova na uislamu.
Utanichoma moto. HahahaSheria ya MUNGU Ina amri kumi(kutoka 20:3-17).Amri ya nne ni sabato.Ukivunja moja tu ujue umevunja sheria yote(Yakobo 2:9-10).Jifariji tu
We umeelewa nini.Mimi ndiyo bwana wa Leonola.Ni sahihi uniite Leonola? Leonola ni mke wangu.Yesu ndiye BWANA wa sabato,yaani yeye ndiye mwenye sabato,aliiumba yeye,ni Mali yake,SIO YEYE NDO SABATO.Sabato ni siku ya Saba,Yesu hawezi kuwa siku,ila yeye ameiumba siku.Kiswahili hili!Sabato haiko juu yake bali Yeye, Yesu, ndiye Bwana wa sabato!
Bi Ellen G White mwanzilishi wa sabato na Charles T Russell mwanzilishi wa Jehovah witness inasemwa walikuwa members wa freemason.Andiko lipo wazi.Na ni hapo ambapo huwa ninapata mashaka sana kama kweli wasabato na mashahidi wa Yehova ni wakristu kweli!
Maana yake Yeye ndiye pumziko halisi, siyo siku. Yeye ni boss wa pumziko, mtumaini Yeye Yesu Kristo, siyo siku. Mathayo 11:28 na Wakolosai 2:16-17We umeelewa nini.Mimi ndiyo bwana wa Leonola.Ni sahihi uniite Leonola? Leonola ni mke wangu.Yesu ndiye BWANA wa sabato,yaani yeye ndiye mwenye sabato,aliiumba yeye,ni Mali yake,SIO YEYE NDO SABATO.Sabato ni siku ya Saba,Yesu hawezi kuwa siku,ila yeye ameiumba siku.Kiswahili hili!
Mkuu kama wewe ni Mkristo basi kwenye debate unatakiwa uwe na vifungu vya Bible kuku suppprt hoja zako I mean evidence zilizothibitishwa nimejaribu kifuatilia mdahalo nimekupa zero marksKama wewe ulivyotumwa na Mama yako Ellen
Mtu mweupe namna hii analeta li encyclopedia yenye volume nne nita mjibu nn??Hatimae wasabato wamefikiwa
Tuwapumzishe wakatoliki kwa muda
Lakini aliwauliza wanafunzi wake, je ni nani anaweza kumwacha kondoo aliyetumbukia shimoni siku ya sabato hata asimtoe? Tutumie akili kwenye haya mambo.Yesu mwenyewe aliitunza sabato
Tuitunze kwa akili Lakini pia tusiache kabisa kuitunza kma makanisa ya j2 yanavofanya.Lakini aliwauliza wanafunzi wake, je ni nani anaweza kumwacha kondoo aliyetumbukia shimoni siku ya sabato hata asimtoe? Tutumie akili kwenye haya mambo.
Hakunaga ktu kama dhambi ya kuifanya kwa akili au utakatifu wa kuufanya kwa akili, ikishafika hapo basi ni mambo ya ujanja ujanja wala hakuna uhalisia, ndipo sa mkaambiwa hyo ni kivuli ila mna ing'ang'ania, ni sawa na mtu akwambie zini kwa akili, au muheshimu mzazi kwa akili, au mpenda Mungu kwa Roho yako yote kwa akili ,..cheif huo ni ujanja ujanja, Kitendo cha Yesu kuruhusu vitendo vya kuivunja sabato ni literally aliruhusu ivunjwe.Tuitunze kwa akili Lakini pia tusiache kabisa kuitunza kma makanisa ya j2 yanavofanya.
Kwasababu hiyo hata mbinguni itakuwepo
Kwan kutunza sabato ni dhambi?Hakunaga ktu kama dhambi ya kuifanya kwa akili au utakatifu wa kuufanya kwa akili, ikishafika hapo basi ni mambo ya ujanja ujanja wala hakuna uhalisia, ndipo sa mkaambiwa hyo ni kivuli ila mna ing'ang'ania, ni sawa na mtu akwambie zini kwa akili, au muheshimu mzazi kwa akili, au mpenda Mungu kwa Roho yako yote kwa akili ,..cheif huo ni ujanja ujanja, Kitendo cha Yesu kuruhusu vitendo vya kuivunja sabato ni literally aliruhusu ivunjwe.
Bi Ellen G White mwanzilishi wa sabato na Charles T Russell mwanzilishi wa Jehovah witness inasemwa walikuwa members wa freemason.
Kaburi la Russell lina muhuri wa freemason Kama la kanumba
Mkuu kama wewe ni Mkristo basi kwenye debate unatakiwa uwe na vifungu vya Bible kuku suppprt hoja zako I mean evidence zilizothibitishwa nimejaribu kifuatilia mdahalo nimekupa zero marks
Read again nilichoandika usijizime data, nimesema hata utakatifu wa akili uwa haupo, utakatifu ndio akili yenyewe, ukiona mpaka uongezee viakili akili ndio uwe utakatifu ujue hakuna utakatifu hapo, eti Mpende Yesu kwa akili ,hakuna ktu kama hko, halafu mbinguni wapi kutakuwa na siku ya sabato embu lete hlo andiko hapa tulisome, Kule hakuna usiku wala mchana kwa kifupi ni umilele hakuna days, na hata zingekuwepo u a uhakika gani kuwa itakuwa sabato hii ya jmosi mnayoabudu ninyi?Maana hata hii mnayoiabudu leo hamjui kama ndie yenyewe halisi ,mnatumia kalenda ya waroma then mnadai hamuwataki waroma, unadhani hizi siku za calendar ya Gregorian ndio hizi zilizokuwako mwanzo?Kwan kutunza sabato ni dhambi?
Sasa kama yesu aliruhusu ivunjwe iweje aseme hakuja kubadilisha sheria bali kuitimiza?
Na kama haina maana kwanini iwepo mbinguni?
Nyie mnaoivunja ndio mnaleta ujanja ujanja.
Sasa nikuulize kwanini mnaing'ang'ania jumapili?
Halafu unaelewa maana ya kutimiza kweli, au unatembelea tuu tafsiri ulizokalilishwa na Ellen white sababu aliwaambia alipelekwa mbinguni kutafsiriwa maandiko? Kama hakuja kubadili imekuwaje sahv hamuombi toba kwa kutumia kafara za wanyama kama ilivyoamrishwa katika torati? Mbona sheria za uzinzi zilibadilishwa na kuboreshwa sasa hata kuangalia kwa kutamani tuu ni uzinzi? Kasome vzuri Bible yako utagundua maana ya kutimiza ni kuiboresha kwahyo badala ya kushika sabato kivuli umeletewa sabato halisi zaidi inayoshikika ambayo ni Yesu, hyo yenu ya siku kwanza hata kushika hamuwezi mnajifanya mnaitunza lakini in reality hamfuati hata nusu ya inavyopaswa, sasa hko ni kujichoshaaKwan kutunza sabato ni dhambi?
Sasa kama yesu aliruhusu ivunjwe iweje aseme hakuja kubadilisha sheria bali kuitimiza?
Na kama haina maana kwanini iwepo mbinguni?
Nyie mnaoivunja ndio mnaleta ujanja ujanja.
Sasa nikuulize kwanini mnaing'ang'ania jumapili?
Luka 10:27nimesema hata utakatifu wa akili uwa haupo, utakatifu ndio akili yenyewe, ukiona mpaka uongezee viakili akili ndio uwe utakatifu ujue hakuna utakatifu hapo, eti Mpende Yesu kwa akili ,hakuna ktu kama hko,
Isaya 66:22-23halafu mbinguni wapi kutakuwa na siku ya sabato embu lete hlo andiko hapa tulisome, Kule hakuna usiku wala mchana kwa kifupi ni umilele hakuna days,
Waroma hawakubadilisha siku...walichobadilisha ni miezi badala ya kuwa na siku 30 kufuata mwezi zikawa zinabadilika badilika. Hivyo mwaka badala ya kuwa na siku 360 ikawa na siku 365.na hata zingekuwepo u a uhakika gani kuwa itakuwa sabato hii ya jmosi mnayoabudu ninyi?Maana hata hii mnayoiabudu leo hamjui kama ndie yenyewe halisi ,mnatumia kalenda ya waroma then mnadai hamuwataki waroma, unadhani hizi siku za calendar ya Gregorian ndio hizi zilizokuwako mwanzo?
Kwanza tuelewane, mimi sio msabato na wala simuamini Ellen white, mimi nafuata biblia fullstop.Halafu unaelewa maana ya kutimiza kweli, au unatembelea tuu tafsiri ulizokalilishwa na Ellen white sababu aliwaambia alipelekwa mbinguni kutafsiriwa maandiko?
Hizo torati ni sheria za Mussa..hizo ziliwekwa kwaajili ya watu wa zamani kukazia sheria za Mungu,hizo sio za lazima na Yesu ndo alizikamilisha.Kama hakuja kubadili imekuwaje sahv hamuombi toba kwa kutumia kafara za wanyama kama ilivyoamrishwa katika torati?
Hapo haijabadilishwa,imefafanuliwa zaidi tu...unajua maana ya kubadilisha? Agesema uzinzi sio dhambi hapo ndo amebadilisha,kama mlivyobadilisha na kuachana na kuitunza sabato kabisa.Mbona sheria za uzinzi zilibadilishwa na kuboreshwa sasa hata kuangalia kwa kutamani tuu ni uzinzi?
Yesu sio sabato na wala hakuna fungu la hivi haya ni mafundisho ya majini na manabii wa uongo....Yesu ndiye bwana wa Sabato yani mkuu wa Sabato.(Waebrania 4:13)Kasome vzuri Bible yako utagundua maana ya kutimiza ni kuiboresha kwahyo badala ya kushika sabato kivuli umeletewa sabato halisi zaidi inayoshikika ambayo ni Yesu,
Wewe hauelewi bado. Hiyo kuishika ipasavyo nadhani unarefer sheria za kuitunza according to torati ambayo ni sheria za Mussa.hyo yenu ya siku kwanza hata kushika hamuwezi mnajifanya mnaitunza lakini in reality hamfuati hata nusu ya inavyopaswa, sasa hko ni kujichoshaa