Chimbuko na Upotofu wa kanisa la Waadventista Wasabato

Hata kutunza sabato hakujabadilishwa, bali kuboreshwa kutoka kushika vivuli to sabato halisi ambayo ni Yesu mwenyewe
 
Kwanza tuelewane, mimi sio msabato na wala simuamini Ellen white, mimi nafuata biblia fullstop.

Hizo torati ni sheria za Mussa..hizo ziliwekwa kwaajili ya watu wa zamani kukazia sheria za Mungu,hizo sio za lazima na Yesu ndo alizikamilisha.
Sheria ambazo hazibadiliki milele ni za mungu zile 10, na hazisemi habari za kafara. Hata kwenye Ufunuo 22:19 kuna mstari unasema Sanduku la Mungu litakuwepo mbinguni,unajua sanduku lile lina nini?? Lina amri 10 za Mungu.
Na kwenye hizo amri za milele sabato ipo.

Hapo haijabadilishwa,imefafanuliwa zaidi tu...unajua maana ya kubadilisha? Agesema uzinzi sio dhambi hapo ndo amebadilisha,kama mlivyobadilisha na kuachana na kuitunza sabato kabisa.

Yesu sio sabato na wala hakuna fungu la hivi haya ni mafundisho ya majini na manabii wa uongo....Yesu ndiye bwana wa Sabato yani mkuu wa Sabato.(Waebrania 4:13)
Namimi sikuhubirii hapa sabato ya wasabato, sisemi ni lazima usifanye kazi yoyote au usiuze wala kununua ila nakuambia kuwa sabato ipo na ni siku ya kumkumbuka Mungu, uumbaji wake na kumuabudu basi... sio lazima kwenda kanisani

Wewe hauelewi bado. Hiyo kuishika ipasavyo nadhani unarefer sheria za kuitunza according to torati ambayo ni sheria za Mussa.
Sabato njia nzuri ya kuitunza ni Kumkumbuka muumba wako na kutenda matendo mema kuudhihirishia ulimwengu kuwa wewe una mungu wa kweli.
Tembelea yatima,Saidia masikini,hubiri wapagani, hii siku ni kama sherehe ya kufurahia kuumbwa na Mungu na wala sio kifungo cha makanuni kama wasabato ba wayahudi wanavyofanya.
Torati ipi? Hii kutoka 20 sio amri 10 hzo hzo mnazozinadi kuwa ni za milele?
👇👇👇👇
8 Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
9 Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;
10 lakini siku ya saba ni Sabato ya BWANA, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.
11 Maana, kwa siku sita BWANA alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo BWANA akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.
..haya niambie wewe ni kweli hafanyi kazi yyte ile?? Hata mnyama wako wala mageni wala mjakazi? ..na je hiki Yesu alikifuata?then sema kama Yesu hakuvunja sabato.
 
Kwanza tuelewane, mimi sio msabato na wala simuamini Ellen white, mimi nafuata biblia fullstop.

Hizo torati ni sheria za Mussa..hizo ziliwekwa kwaajili ya watu wa zamani kukazia sheria za Mungu,hizo sio za lazima na Yesu ndo alizikamilisha.
Sheria ambazo hazibadiliki milele ni za mungu zile 10, na hazisemi habari za kafara. Hata kwenye Ufunuo 22:19 kuna mstari unasema Sanduku la Mungu litakuwepo mbinguni,unajua sanduku lile lina nini?? Lina amri 10 za Mungu.
Na kwenye hizo amri za milele sabato ipo.

Hapo haijabadilishwa,imefafanuliwa zaidi tu...unajua maana ya kubadilisha? Agesema uzinzi sio dhambi hapo ndo amebadilisha,kama mlivyobadilisha na kuachana na kuitunza sabato kabisa.

Yesu sio sabato na wala hakuna fungu la hivi haya ni mafundisho ya majini na manabii wa uongo....Yesu ndiye bwana wa Sabato yani mkuu wa Sabato.(Waebrania 4:13)
Namimi sikuhubirii hapa sabato ya wasabato, sisemi ni lazima usifanye kazi yoyote au usiuze wala kununua ila nakuambia kuwa sabato ipo na ni siku ya kumkumbuka Mungu, uumbaji wake na kumuabudu basi... sio lazima kwenda kanisani

Wewe hauelewi bado. Hiyo kuishika ipasavyo nadhani unarefer sheria za kuitunza according to torati ambayo ni sheria za Mussa.
Sabato njia nzuri ya kuitunza ni Kumkumbuka muumba wako na kutenda matendo mema kuudhihirishia ulimwengu kuwa wewe una mungu wa kweli.
Tembelea yatima,Saidia masikini,hubiri wapagani, hii siku ni kama sherehe ya kufurahia kuumbwa na Mungu na wala sio kifungo cha makanuni kama wasabato ba wayahudi wanavyofanya.
Refer kutoka 20:8-10, si ndio hzo amri za milele mnazojinadi kuwa mnazitunza? Unaifuata kama inavyotaka? Yesu aliishika?
 
Yesu sio sabato ukimaanisha nini? Sabato ni pumziko naye anasema njoeni kwangu mpumzike, pia kusema yeye ni Bwana wa sabato means no zaidi ya hyo sabato maana ni ktu halisi zaidi ya hlo kivuli, sasa kama una ktu zaidi ya sabato kuna ulazima gani wa kushika kilicho chini yake?, yupi mwenye faida anaeishika siku au anaemshika mwenye siku?, na usijidanganye hakuna anaeweza tumikia mabwana wawili, yaani ushike Siku kivuli na umshike Yesu mwenye siku, never...ndi maana wasabato wengi ukiwaangalia ni kama hawana Yesu kabisa wanatumia tuu nguvu kutembea ukristo ambao uwa unawaacha solemba.
 
Kwanza tuelewane, mimi sio msabato na wala simuamini Ellen white, mimi nafuata biblia fullstop.

Hizo torati ni sheria za Mussa..hizo ziliwekwa kwaajili ya watu wa zamani kukazia sheria za Mungu,hizo sio za lazima na Yesu ndo alizikamilisha.
Sheria ambazo hazibadiliki milele ni za mungu zile 10, na hazisemi habari za kafara. Hata kwenye Ufunuo 22:19 kuna mstari unasema Sanduku la Mungu litakuwepo mbinguni,unajua sanduku lile lina nini?? Lina amri 10 za Mungu.
Na kwenye hizo amri za milele sabato ipo.

Hapo haijabadilishwa,imefafanuliwa zaidi tu...unajua maana ya kubadilisha? Agesema uzinzi sio dhambi hapo ndo amebadilisha,kama mlivyobadilisha na kuachana na kuitunza sabato kabisa.

Yesu sio sabato na wala hakuna fungu la hivi haya ni mafundisho ya majini na manabii wa uongo....Yesu ndiye bwana wa Sabato yani mkuu wa Sabato.(Waebrania 4:13)
Namimi sikuhubirii hapa sabato ya wasabato, sisemi ni lazima usifanye kazi yoyote au usiuze wala kununua ila nakuambia kuwa sabato ipo na ni siku ya kumkumbuka Mungu, uumbaji wake na kumuabudu basi... sio lazima kwenda kanisani

Wewe hauelewi bado. Hiyo kuishika ipasavyo nadhani unarefer sheria za kuitunza according to torati ambayo ni sheria za Mussa.
Sabato njia nzuri ya kuitunza ni Kumkumbuka muumba wako na kutenda matendo mema kuudhihirishia ulimwengu kuwa wewe una mungu wa kweli.
Tembelea yatima,Saidia masikini,hubiri wapagani, hii siku ni kama sherehe ya kufurahia kuumbwa na Mungu na wala sio kifungo cha makanuni kama wasabato ba wayahudi wanavyofanya.
Na Musa hajawahi kuwa na sheria zake, etii sheria za Musa🤣..seriously, Zote alikuwa anaagizwa na Mungu sio kujitungia, anyways..kama umeshagundua sio lazima kwenda kanisani siku hyo, umeanza kuongoka wewe mdogo mdogo tutafika tuu, nasikia mmeshaanza kukanyagana wenyewe huko makanisani mwenu yaani mmegawanyika kama mawimbi ya bahari, hii no baada ya kugundua mnayoyaagiza hayashikiki na nuru kuanza kuwaingia taratibuu.
 
Kwanza tuelewane, mimi sio msabato na wala simuamini Ellen white, mimi nafuata biblia fullstop.

Hizo torati ni sheria za Mussa..hizo ziliwekwa kwaajili ya watu wa zamani kukazia sheria za Mungu,hizo sio za lazima na Yesu ndo alizikamilisha.
Sheria ambazo hazibadiliki milele ni za mungu zile 10, na hazisemi habari za kafara. Hata kwenye Ufunuo 22:19 kuna mstari unasema Sanduku la Mungu litakuwepo mbinguni,unajua sanduku lile lina nini?? Lina amri 10 za Mungu.
Na kwenye hizo amri za milele sabato ipo.

Hapo haijabadilishwa,imefafanuliwa zaidi tu...unajua maana ya kubadilisha? Agesema uzinzi sio dhambi hapo ndo amebadilisha,kama mlivyobadilisha na kuachana na kuitunza sabato kabisa.

Yesu sio sabato na wala hakuna fungu la hivi haya ni mafundisho ya majini na manabii wa uongo....Yesu ndiye bwana wa Sabato yani mkuu wa Sabato.(Waebrania 4:13)
Namimi sikuhubirii hapa sabato ya wasabato, sisemi ni lazima usifanye kazi yoyote au usiuze wala kununua ila nakuambia kuwa sabato ipo na ni siku ya kumkumbuka Mungu, uumbaji wake na kumuabudu basi... sio lazima kwenda kanisani

Wewe hauelewi bado. Hiyo kuishika ipasavyo nadhani unarefer sheria za kuitunza according to torati ambayo ni sheria za Mussa.
Sabato njia nzuri ya kuitunza ni Kumkumbuka muumba wako na kutenda matendo mema kuudhihirishia ulimwengu kuwa wewe una mungu wa kweli.
Tembelea yatima,Saidia masikini,hubiri wapagani, hii siku ni kama sherehe ya kufurahia kuumbwa na Mungu na wala sio kifungo cha makanuni kama wasabato ba wayahudi wanavyofanya.
Kolosai 2;
16 Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato;
17 mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.
 
Kwanza tuelewane, mimi sio msabato na wala simuamini Ellen white, mimi nafuata biblia fullstop.

Hizo torati ni sheria za Mussa..hizo ziliwekwa kwaajili ya watu wa zamani kukazia sheria za Mungu,hizo sio za lazima na Yesu ndo alizikamilisha.
Sheria ambazo hazibadiliki milele ni za mungu zile 10, na hazisemi habari za kafara. Hata kwenye Ufunuo 22:19 kuna mstari unasema Sanduku la Mungu litakuwepo mbinguni,unajua sanduku lile lina nini?? Lina amri 10 za Mungu.
Na kwenye hizo amri za milele sabato ipo.

Hapo haijabadilishwa,imefafanuliwa zaidi tu...unajua maana ya kubadilisha? Agesema uzinzi sio dhambi hapo ndo amebadilisha,kama mlivyobadilisha na kuachana na kuitunza sabato kabisa.

Yesu sio sabato na wala hakuna fungu la hivi haya ni mafundisho ya majini na manabii wa uongo....Yesu ndiye bwana wa Sabato yani mkuu wa Sabato.(Waebrania 4:13)
Namimi sikuhubirii hapa sabato ya wasabato, sisemi ni lazima usifanye kazi yoyote au usiuze wala kununua ila nakuambia kuwa sabato ipo na ni siku ya kumkumbuka Mungu, uumbaji wake na kumuabudu basi... sio lazima kwenda kanisani

Wewe hauelewi bado. Hiyo kuishika ipasavyo nadhani unarefer sheria za kuitunza according to torati ambayo ni sheria za Mussa.
Sabato njia nzuri ya kuitunza ni Kumkumbuka muumba wako na kutenda matendo mema kuudhihirishia ulimwengu kuwa wewe una mungu wa kweli.
Tembelea yatima,Saidia masikini,hubiri wapagani, hii siku ni kama sherehe ya kufurahia kuumbwa na Mungu na wala sio kifungo cha makanuni kama wasabato ba wayahudi wanavyofanya.
Yohana 5
16 Kwa sababu hiyo Wayahudi wakamwudhi Yesu, kwa kuwa alitenda hayo siku ya sabato.
17 Akawajibu, Baba yangu anatenda kazi hata sasa, nami ninatenda kazi.
18 Basi kwa sababu hiyo Wayahudi walizidi kutaka kumwua, kwa kuwa hakuivunja sabato tu, bali pamoja na hayo alimwita Mungu Baba yake, akijifanya sawa na Mungu. Basi Yesu akajibu, akawaambia, Amin, amin, nawaambia,
 
Na Musa hajawahi kuwa na sheria zake, etii sheria za Musa🤣..seriously, Zote alikuwa anaagizwa na Mungu sio kujitungia, anyways..kama umeshagundua sio lazima kwenda kanisani siku hyo, umeanza kuongoka wewe mdogo mdogo tutafika tuu, nasikia mmeshaanza kukanyagana wenyewe huko makanisani mwenu yaani mmegawanyika kama maombi ya bahari, hii no baada ya kugundua mnayoyaagiza hayashikiki na nuru kuanza kuwaingia taratibuu.
Wewe umeamua kuwafuata mapadri na kukaza fuvu...mimi sjawahi kuwa msabato ila biblia naijua.

Sasa tufanye hivi, tusibishane sana wewe fuata mafundisho ya padri wako mimi nifuate biblia..Bye
 
Wewe unajizima data, sasaivi ntakuwa nakujibu kwa mafungu tu, wewe nijibu kwa ukivyokaririshwa na padri wako

Luka 10:27
Akajibu akasema, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote;

Isaya 66:22-23
Kama vile mbingu mpya na nchi mpya, nitakazofanya, zitakavyokaa mbele zangu, asema BWANA, ndivyo uzao wenu na jina lenu litakavyokaa. 23 Na itakuwa, mwezi mpya hata mwezi mpya, na sabato hata sabato, wanadamu wote watakuja kuabudu mbele zangu, asema BWANA.
Waebrania 4:9
9 Kwa hiyo basi ipo bado sabato ya mapumziko waliyowekewa watu wa Mungu; 10 kwa maana, mtu anayeingia katika pumziko la Mungu, pia hupum zika kutoka katika kazi zake kama vile Mungu alivyopumzika baada ya kazi zake.

Waroma hawakubadilisha siku...walichobadilisha ni miezi badala ya kuwa na siku 30 kufuata mwezi zikawa zinabadilika badilika. Hivyo mwaka badala ya kuwa na siku 360 ikawa na siku 365.
Wakabadilisa na siku ya kuabudu/kupumzika kutoka siku ya saba-jumamosi mpaka siku ya kwanza jumapili
View attachment 2659706
Wayahudi bado wana kalenda yao inayofuata mwezi na mwaka unafuata jua...Hata leo ukienda israel wanasali jumamosi.

Kwanini uache kuifata biblia inayokuambia usali juamamosi unaamua kumfuata Mroma??
Pia achana na waisrael maana hao hata Yesu hawamtambui, sasa kumbe wewe role model wako ni hao??, then hyo ya kumpenda Mungu kwa ajili zako zote unajizima data max time, maana unajua kabisa ulichomaanisha kwenye kutunza sabato kwa akili hukumaanisha hko, kumpenda Mungu kwa akili zako zote means hata ufahamu wako ufikiri yanayompendeza yaani umpende mpaka kwa akili yako, ujanja mwingiii
 
Wewe unajizima data, sasaivi ntakuwa nakujibu kwa mafungu tu, wewe nijibu kwa ukivyokaririshwa na padri wako

Luka 10:27
Akajibu akasema, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote;

Isaya 66:22-23
Kama vile mbingu mpya na nchi mpya, nitakazofanya, zitakavyokaa mbele zangu, asema BWANA, ndivyo uzao wenu na jina lenu litakavyokaa. 23 Na itakuwa, mwezi mpya hata mwezi mpya, na sabato hata sabato, wanadamu wote watakuja kuabudu mbele zangu, asema BWANA.
Waebrania 4:9
9 Kwa hiyo basi ipo bado sabato ya mapumziko waliyowekewa watu wa Mungu; 10 kwa maana, mtu anayeingia katika pumziko la Mungu, pia hupum zika kutoka katika kazi zake kama vile Mungu alivyopumzika baada ya kazi zake.

Waroma hawakubadilisha siku...walichobadilisha ni miezi badala ya kuwa na siku 30 kufuata mwezi zikawa zinabadilika badilika. Hivyo mwaka badala ya kuwa na siku 360 ikawa na siku 365.
Wakabadilisa na siku ya kuabudu/kupumzika kutoka siku ya saba-jumamosi mpaka siku ya kwanza jumapili
View attachment 2659706
Wayahudi bado wana kalenda yao inayofuata mwezi na mwaka unafuata jua...Hata leo ukienda israel wanasali jumamosi.

Kwanini uache kuifata biblia inayokuambia usali juamamosi unaamua kumfuata Mroma??
Kwahyo wewe kwa akili yako hii isaya 66 inazungumzia maisha ya mbinguni eti? Au mwendelezo aa kujizima data ili kupoteza maboya, why unanyofoa kimstari kimoja? Lete chapter yotee afu tujadili huko mbinguni kutakuwa na mizoga, na mataifa wa kupigwa na Bwana, aisee mbingu ya wasabato ni hatarii sana
👇👇👇
16 Kwa maana BWANA atateta na wote wenye mwili, kwa moto na kwa upanga wake; nao watakaouawa na BWANA watakuwa wengi.
19 Nami nitaweka ishara kati yao, nami nitawatuma hao waliookoka kwa mataifa, Tarshishi, na Puli, na Ludi, wavutao upinde, kwa Tubali na Yavani, visiwa vilivyo mbali; watu wasioisikia habari yangu, wala kuuona utukufu wangu; nao watahubiri utukufu wangu katika mataifa.
22 Kama vile mbingu mpya na nchi mpya, nitakazofanya, zitakavyokaa mbele zangu, asema BWANA, ndivyo uzao wenu na jina lenu litakavyokaa.
23 Na itakuwa, mwezi mpya hata mwezi mpya, na sabato hata sabato, wanadamu wote watakuja kuabudu mbele zangu, asema BWANA.
24 Nao watatoka nje na kuitazama mizoga ya watu walioniasi; maana funza wao hatakufa, wala moto wao hautazimika nao watakuwa chukizo machoni pa wote wenye mwili.
 
Kama unakiri waroma walibadili miezi na siku za mwaka, una uhakika gani kama hawakubadili Siku? Au ulitaka waje wakuambie tricks wanazotumia kuwachezea akili? Hvi nyie hamjiulizagi why mnawakashfugi sana waroma ila wala hawanaga time na nyinyi yaan wanawachekaga kichina
Wewe unajizima data, sasaivi ntakuwa nakujibu kwa mafungu tu, wewe nijibu kwa ukivyokaririshwa na padri wako

Luka 10:27
Akajibu akasema, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote;

Isaya 66:22-23
Kama vile mbingu mpya na nchi mpya, nitakazofanya, zitakavyokaa mbele zangu, asema BWANA, ndivyo uzao wenu na jina lenu litakavyokaa. 23 Na itakuwa, mwezi mpya hata mwezi mpya, na sabato hata sabato, wanadamu wote watakuja kuabudu mbele zangu, asema BWANA.
Waebrania 4:9
9 Kwa hiyo basi ipo bado sabato ya mapumziko waliyowekewa watu wa Mungu; 10 kwa maana, mtu anayeingia katika pumziko la Mungu, pia hupum zika kutoka katika kazi zake kama vile Mungu alivyopumzika baada ya kazi zake.

Waroma hawakubadilisha siku...walichobadilisha ni miezi badala ya kuwa na siku 30 kufuata mwezi zikawa zinabadilika badilika. Hivyo mwaka badala ya kuwa na siku 360 ikawa na siku 365.
Wakabadilisa na siku ya kuabudu/kupumzika kutoka siku ya saba-jumamosi mpaka siku ya kwanza jumapili
View attachment 2659706
Wayahudi bado wana kalenda yao inayofuata mwezi na mwaka unafuata jua...Hata leo ukienda israel wanasali jumamosi.

Kwanini uache kuifata biblia inayokuambia usali juamamosi unaamua kumfuata Mroma??
 
Kama unakiri waroma walibadili miezi na siku za mwaka, una uhakika gani kama hawakubadili Siku? Au ulitaka waje wakuambie tricks wanazotumia kuwachezea akili? Hvi nyie hamjiulizagi why mnawakashfugi sana waroma ila wala hawanaga time na nyinyi yaan wanawachekaga kichina
Oya ehh basi umeshinda endelea na jumapili yako ambayo haipo kwenye biblia mimi niendelee na sabato.
Basi, siwezi kukulazimisha nawewe usinilazimishe.
Sio kwamba sina cha kukujibu,ila nmeona napoteza tu muda.
 
Binafsi najivunia sana kuwa Mkatoliki! Kusoma Seminary ya Kikatoliki. Na kuishi maisha ya kikatoliki.
I hope unatekeleza yale ya msingi for humanity: usiue, usiibe, usidhulumu, ishi na watu wote vizuri bila kubagua dini, kabila au rangi.

Kama ni mfuasi wa dini lakini unafanya all the nasty stuff kwa watu wengine wasio dini moja na wewe then hauna faida kwa humanity na hii ndiyo shida kubwa ya sisi waafrika...we pray and preach a lot but we do all the nasty stuff: wezi wa mali ya uma, watoro makazini, wachoyo na wabinafsi , etc....

I would say both dini na elimu ya mzungu havina faida kwa mwafrika!
 
Read again nilichoandika usijizime data, nimesema hata utakatifu wa akili uwa haupo, utakatifu ndio akili yenyewe, ukiona mpaka uongezee viakili akili ndio uwe utakatifu ujue hakuna utakatifu hapo, eti Mpende Yesu kwa akili ,hakuna ktu kama hko, halafu mbinguni wapi kutakuwa na siku ya sabato embu lete hlo andiko hapa tulisome, Kule hakuna usiku wala mchana kwa kifupi ni umilele hakuna days, na hata zingekuwepo u a uhakika gani kuwa itakuwa sabato hii ya jmosi mnayoabudu ninyi?Maana hata hii mnayoiabudu leo hamjui kama ndie yenyewe halisi ,mnatumia kalenda ya waroma then mnadai hamuwataki waroma, unadhani hizi siku za calendar ya Gregorian ndio hizi zilizokuwako mwanzo?
Wasabato hawajielewi
 
Kwanza tuelewane, mimi sio msabato na wala simuamini Ellen white, mimi nafuata biblia fullstop.

Hizo torati ni sheria za Mussa..hizo ziliwekwa kwaajili ya watu wa zamani kukazia sheria za Mungu,hizo sio za lazima na Yesu ndo alizikamilisha.
Sheria ambazo hazibadiliki milele ni za mungu zile 10, na hazisemi habari za kafara. Hata kwenye Ufunuo 22:19 kuna mstari unasema Sanduku la Mungu litakuwepo mbinguni,unajua sanduku lile lina nini?? Lina amri 10 za Mungu.
Na kwenye hizo amri za milele sabato ipo.

Hapo haijabadilishwa,imefafanuliwa zaidi tu...unajua maana ya kubadilisha? Agesema uzinzi sio dhambi hapo ndo amebadilisha,kama mlivyobadilisha na kuachana na kuitunza sabato kabisa.

Yesu sio sabato na wala hakuna fungu la hivi haya ni mafundisho ya majini na manabii wa uongo....Yesu ndiye bwana wa Sabato yani mkuu wa Sabato.(Waebrania 4:13)
Namimi sikuhubirii hapa sabato ya wasabato, sisemi ni lazima usifanye kazi yoyote au usiuze wala kununua ila nakuambia kuwa sabato ipo na ni siku ya kumkumbuka Mungu, uumbaji wake na kumuabudu basi... sio lazima kwenda kanisani

Wewe hauelewi bado. Hiyo kuishika ipasavyo nadhani unarefer sheria za kuitunza according to torati ambayo ni sheria za Mussa.
Sabato njia nzuri ya kuitunza ni Kumkumbuka muumba wako na kutenda matendo mema kuudhihirishia ulimwengu kuwa wewe una mungu wa kweli.
Tembelea yatima,Saidia masikini,hubiri wapagani, hii siku ni kama sherehe ya kufurahia kuumbwa na Mungu na wala sio kifungo cha makanuni kama wasabato ba wayahudi wanavyofanya.
Mara sio msabato mara unasali Jumamosi
Wasabato uongo mmerithi kwa bibi yenu ellen white kama alivyowadanganya
 
Mara sio msabato mara unasali Jumamosi
Wasabato uongo mmerithi kwa bibi yenu ekken white kama alivyowadanganya
Kwa upeo wako kila anaesali jumamosi ni msabato sio? Wayahudi nao wasabato sio? Sawa
 
...ebu naomba fungu linalosema jumamosi ni sabato au jumapili
 
...kwanini AIC, Walokole, RC, Na makanisa mengine ya jumapili yasisali kwa pamoja ? Ukitoa SDA Wao maana wanasali jumamos na waislamu ijumaa
 
Back
Top Bottom