Unataka utuambie mitume wametembea na Yesu muda miaka 3.5 hawakumwelewa Yesu ila wewe ndo umemuelewa?Maana wao waliendelea kuitunza sabato maisha yao yote(matendo 16:13)Maana yake Yeye ndiye pumziko halisi, siyo siku. Yeye ni boss wa pumziko, mtumaini Yeye Yesu Kristo, siyo siku. Mathayo 11:28 na Wakolosai 2:16-17
MUNGU ni WA utaratibu bwa shee.Na utaratibu wake ni mmoja kwa kila mwanadamu.Hajawahi kutoa amri tofauti kwa kila taifa.Mungu asiye na utaratibu hiyo sio MUNGU,mtwange talaka uje kwa MUNGU mwenye utaratibu wa aina moja tangu Adam hadi Mwisho wa dunia.Madhehebu yote ni taasisi zenye malengo kama taasis zingine za kidunia na lengo kuu haswa ni influence na power juu ya washirika/ wanachama wake (kama kilivyo chama cha siasa), wengi wetu tumezaliwa humo na namna ya kuamini na kuabudu ni utamaduni wa taasisi husika na wanachama wake wanahimizwa na kufundishwa kushika tamaduni hizo ili waendelee kubaki ndani ya taasisi hiyo. Ukivuka ukaenda kwa Budhism au Hinduism ni mfumo tofauti kabisa unaweza kusema wamerogwa. La hasha ndo wanavyoamini, so who am i to judge?
Hakuna dhehebu/dini lililo sahihi au teule kuliko mengine. Ukielewa hili utaenda kanisani kwako au msikitini au chini ya mti au hekaluni utasali ulivyoaminishwa then utaendelea ku-ball na maisha yako bila stress. MUNGU hajui DINI.
Kwa hiyo Yesu baada ya kuivunja sabato kwa mujibu wa uelewa wako alikuambia uitunze siku ipi?Wewe kuing'ang'ania jumapili,ndivyo alivyokuambia Yesu?Kama ni siku yoyote kwa nini kila kanisa linsikumbatia jumapili tu na isiwe jumatatu?Kuna nini kwenye jumapili? Jumamosi iltamkwa na MUNGU mwenyewe,jumapili ilitamkwa na nani?Na mfalme Constantine wa Rumi mwaka 321 A.D(bustani ya katekista).Huyo ndo Yesu?Hakunaga ktu kama dhambi ya kuifanya kwa akili au utakatifu wa kuufanya kwa akili, ikishafika hapo basi ni mambo ya ujanja ujanja wala hakuna uhalisia, ndipo sa mkaambiwa hyo ni kivuli ila mna ing'ang'ania, ni sawa na mtu akwambie zini kwa akili, au muheshimu mzazi kwa akili, au mpenda Mungu kwa Roho yako yote kwa akili ,..cheif huo ni ujanja ujanja, Kitendo cha Yesu kuruhusu vitendo vya kuivunja sabato ni literally aliruhusu ivunjwe.
Toa na andiko ili kuipa nguvu hoja yako.Sabato itaendelea kutunzwa mbinguni(Isaya 66:22-24)Read again nilichoandika usijizime data, nimesema hata utakatifu wa akili uwa haupo, utakatifu ndio akili yenyewe, ukiona mpaka uongezee viakili akili ndio uwe utakatifu ujue hakuna utakatifu hapo, eti Mpende Yesu kwa akili ,hakuna ktu kama hko, halafu mbinguni wapi kutakuwa na siku ya sabato embu lete hlo andiko hapa tulisome, Kule hakuna usiku wala mchana kwa kifupi ni umilele hakuna days, na hata zingekuwepo u a uhakika gani kuwa itakuwa sabato hii ya jmosi mnayoabudu ninyi?Maana hata hii mnayoiabudu leo hamjui kama ndie yenyewe halisi ,mnatumia kalenda ya waroma then mnadai hamuwataki waroma, unadhani hizi siku za calendar ya Gregorian ndio hizi zilizokuwako mwanzo?
Mi nataka andiko Yesu anasema;"badala ya kuitunza sabato mnitunze Mimi".Likiwepo naenda kusomea upadriHalafu unaelewa maana ya kutimiza kweli, au unatembelea tuu tafsiri ulizokalilishwa na Ellen white sababu aliwaambia alipelekwa mbinguni kutafsiriwa maandiko? Kama hakuja kubadili imekuwaje sahv hamuombi toba kwa kutumia kafara za wanyama kama ilivyoamrishwa katika torati? Mbona sheria za uzinzi zilibadilishwa na kuboreshwa sasa hata kuangalia kwa kutamani tuu ni uzinzi? Kasome vzuri Bible yako utagundua maana ya kutimiza ni kuiboresha kwahyo badala ya kushika sabato kivuli umeletewa sabato halisi zaidi inayoshikika ambayo ni Yesu, hyo yenu ya siku kwanza hata kushika hamuwezi mnajifanya mnaitunza lakini in reality hamfuati hata nusu ya inavyopaswa, sasa hko ni kujichoshaa
Tatizo lako ukristo unayoizungumzia wewe ambao umetuacha solemba ni huo ukristo wa wazungu ambao ndiyo mnaoufuata.Huo kwa kweli acha utuache solemba.Tunawaachia nyie.Sisi ukristo wetu umejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii(efeso 2:20).Yesu sio sabato ukimaanisha nini? Sabato ni pumziko naye anasema njoeni kwangu mpumzike, pia kusema yeye ni Bwana wa sabato means no zaidi ya hyo sabato maana ni ktu halisi zaidi ya hlo kivuli, sasa kama una ktu zaidi ya sabato kuna ulazima gani wa kushika kilicho chini yake?, yupi mwenye faida anaeishika siku au anaemshika mwenye siku?, na usijidanganye hakuna anaeweza tumikia mabwana wawili, yaani ushike Siku kivuli na umshike Yesu mwenye siku, never...ndi maana wasabato wengi ukiwaangalia ni kama hawana Yesu kabisa wanatumia tuu nguvu kutembea ukristo ambao uwa unawaacha solemba.
Nuru ya kuabudu sanamu!!!Hiyo kaeni nayo nyie.Sijui umeliona kanisa la wapi wewe!Faraka lazima itokee kwa wanaotunza mafundisho ya kweli ya MUNGU.Shetani hana habari na wavunja amri za ZMUNGU,maana hao tayari ameshawateka ni wa kwake.Ila ana vita na waaminifu kwa amri za MUNGU Ili awakamate kama alivyowakamata wengine.Na anaingiza mapandikizi wengi sana.Lakini MUNGU ameahidi kuwalinda waaminifu wake.Na Musa hajawahi kuwa na sheria zake, etii sheria za Musa[emoji1787]..seriously, Zote alikuwa anaagizwa na Mungu sio kujitungia, anyways..kama umeshagundua sio lazima kwenda kanisani siku hyo, umeanza kuongoka wewe mdogo mdogo tutafika tuu, nasikia mmeshaanza kukanyagana wenyewe huko makanisani mwenu yaani mmegawanyika kama mawimbi ya bahari, hii no baada ya kugundua mnayoyaagiza hayashikiki na nuru kuanza kuwaingia taratibuu.
Uyahudi ni dini inayojitegemea.Uyahudi ni dini,Lkn pia ni taifa.Uyahudi hauamini agano jipya.Wao wanaamini vitabu vyote vya agano la kale tu.samahan, wayahudi wanasali dini gani?
Hakuna andiko la moja kwa moja linalosema sabato ni jumamosi.Biblia imetaja siku ya maandalio,inafuata sabato,inakuja siku ya kwanza baada ya sabato(Luka 24:1).Biblia ya kiswahili Cha kisasa iliyotafsiriwa kwa ushirikiano wa wakatoliki kwa waprotestant INASEMA Yesu alifufuka alfajiri ya jumapili baada ya sabato(Luka 24:1),Kiswahili Cha zamani inasema hiyo ni siku ya kwanza ya juma.Siku aliyokufa Yesu biblia inasema ni siku ya maandalio na sabato ikaanza kuingia,wakitoa mwili,wakaenda kuuzika,kisha wapumzika siku ya sabato kama ilivyoamriwa(Luka 23:52-54). Kiswahili Cha kisasa inasema siku hiyo ilikuwa ijumaa na sabato ilikuwa inaingia.Kama wiki Ina siku 7,jumapili ni siku ya kwanza,ijumaa siku maandalio ya sabato,na sabato ni siku ya saba,haihitaji elimu ya chuo kikuu kufahamu siku ya 7 ni ipi.Quran yenyewe ndo imetamka waziwazi,sabato ni jumamosi,siku tukufu,yenye hishima(Quran 4:154,7:163,2:65,16:124)....ebu naomba fungu linalosema jumamosi ni sabato au jumapili
sasa mbona watu wanarukaruka kumbe inajulikana!Hakuna andiko la moja kwa moja linalosema sabato ni jumamosi.Biblia imetaja siku ya maandalio,inafuata sabato,inakuja siku ya kwanza baada ya sabato(Luka 24:1).Biblia ya kiswahili Cha kisasa iliyotafsiriwa kwa ushirikiano wa wakatoliki kwa waprotestant INASEMA Yesu alifufuka alfajiri ya jumapili baada ya sabato(Luka 24:1),Kiswahili Cha zamani inasema hiyo ni siku ya kwanza ya juma.Siku aliyokufa Yesu biblia inasema ni siku ya maandalio na sabato ikaanza kuingia,wakitoa mwili,wakaenda kuuzika,kisha wapumzika siku ya sabato kama ilivyoamriwa(Luka 23:52-54). Kiswahili Cha kisasa inasema siku hiyo ilikuwa ijumaa na sabato ilikuwa inaingia.Kama wiki Ina siku 7,jumapili ni siku ya kwanza,ijumaa siku maandalio ya sabato,na sabato ni siku ya saba,haihitaji elimu ya chuo kikuu kufahamu siku ya 7 ni ipi.Quran yenyewe ndo imetamka waziwazi,sabato ni jumamosi,siku tukufu,yenye hishima(Quran 4:154,7:163,2:65,16:124).
kwahyo wao hawamwamini yesu na wanafunzi wake?Uyahudi ni dini inayojitegemea.Uyahudi ni dini,Lkn pia ni taifa.Uyahudi hauamini agano jipya.Wao wanaamini vitabu vyote vya agano la kale tu.
Kila mtu ana mtazamo na uelewa wake. Ndiyo maana Biblia ni moja lakini madhehebu tofauti ni mengi mno kwa kuwa kila mtu au watu fulani wana uelewa tofauti. Naheshimu mtazamo wako hata kama sikubaliani nao.Kwa hiyo Yesu akiwa BWANA wa sabato(mwenye sabato) ndo kasema tusiitunze!Mimi nimepanga kwenye nyumba ya Juma.Juma anakula ananiambia;"mimi ndiye bwana wa nyumba hii.",ndo kaniambia niondoke?Nyie watu mbona shida sana!
Mimi sijaokolewa na mtu yeyote isipokuwa Yesu Kristo pekee. Sifuati mitume, namfuata Yesu. Uko huru unavyoamini na naheshimu hilo maana ni uchaguzi na uelewa na wako. Hulazimiki kuelewa kama mimi, kama ambavyo silazimiki kufuata uelewa wako. Uwe na amani katika hilo kwa kukubali kutofautiana.Unataka utuambie mitume wametembea na Yesu muda miaka 3.5 hawakumwelewa Yesu ila wewe ndo umemuelewa?Maana wao waliendelea kuitunza sabato maisha yao yote(matendo 16:13)
Samahani, waislam wanasali dini gani?samahan, wayahudi wanasali dini gani?
Umeusoma uzi wa@KIXI?Liko wazi na huku umelificha? Liweke hapa
sijui ila huwa naona wanaingia msikitini... Af mim nimeuliza wayahudi Maana ni watu wa Taifa kama Watanzania... Waislamu nahis ni uislamuSamahani, waislam wanasali dini gani?
Kwa hiyo huyo mama yenu Hellen G white na Mariamu mama wa Yesu wanafanana?Hakuna msabato anayesema huyu ni bora kuliko huyu.Yesu mwenyewe alikataa mama yake kuitwa bora.Akasema mbora ni yule anayeyasikia maneno ya MUNGU na kuyafuata.
Andiko lipo wazi.Na ni hapo ambapo huwa ninapata mashaka sana kama kweli wasabato na mashahidi wa Yehova ni wakristu kweli!
The Seventh-day Adventist Church officially began on May 21, 1863. John Byington (1798–1897), James White (1821–1881), and John N. Andrews (1829–1883) were the first presidents of the General Conference.Mngeiandika nyie unadhanikungekuwa na mabishano?Biblia nzima ingejaa jina papa kama baba mtakatifu,ibada za wafu mnaowaita watakatifu,race iliyobalikiwa ingekuwa Waitaliano,mji mtakatifu ingekuwa Vatican badala ya Yerusa,sabato ingekuwa jumapili badala ya jumamosi,n.k.Lakini Biblia imeandikwa na manabii na mitume kwa kuongozwa na Roho mtakatifu(2 Petro 1:20-21).Angalia Maajabu ya MUNGU Sasa!!Wakati wa utawaka wa waroma(THE GREAT ROMAN EMPIRE),walihakikisha hakuna mwanadamu mwenye kusoma biblia.Mungu akaanzisha ile siku hizi mnasema mchawi mpe mwanao akulelee.Mungu akaruhusu maandiko yake yatunzwe na adui yake(RONAN).Hawakuondoa wala kuongeza hata nukta!Walichofanya ni kuweka vitabu vingine vya kihistoria mbele yake tu mfano makabayo,Jude,yoshua bin sira,hekima ya Suleiman n.k.