China ataiua US kwa presha, katangaza Kirin 9006C(chip) ya 5nm tech

Tesla mauzo yake yameshuka hadi ameanza kupunguza bei za gari zake kwa hadi waliotangukia kunu ua wanalalamika na tunaposema BYD ameanza kumfunika tesla ni kwamba ameanza kuchukua soko la tesla si china tu hadi europe kama ambavyo huawei alikuwa kaanza chukua soko la samsung. You can just goofle that. Ukiachana na hilo, mwaka huu china ndiye kaongoza kuuza magari in general. Yani hapo ukichanganya gari za umeme na gasoline.
Tesla is losing his market to byd. Mwaka huu kashusha bei za gari zake zaidi ya mara moja kuzuia hilo. Kama ulivyo google takwimu just google how byd is taking on tesla.
 
Mauzo ya Tesla kushuka kwenye quarter 3 ni wake up call tu, makampuni huwa yanajua cha kufanya yanapoona crisis
Kwa mfano kama ulisikia kuhusu kuporomoka kwa mauzo ya simu za Xiaomi duniani mwanzoni mwa mwaka huu hadi kufikia katikati ya mwaka, ila huwezi amini sasahivi simu za Xiaomi zimerudi kwenye mstari, imechukua miezi michache tu kufanya hivyo

Halafu kuongoza kuuza magari duniani au kuongoza kwa mauzo sijui ya nini huko China, ni kwa sababu ya factor mbili kwa sana
1. Population kubwa ya China
2. Bei rahisi

Ni kama tu Transsion (Infinix, Tecno na itel) zinauzwa kuliko Google Pixel ila huwezi kuniambia zimezidi Google Pixel ubora
 
Sasa wewe na bloombergy na mitanado mingine mikubwa yenye kufanya analysis based on data nani aaminike?
Haya si maneno ya watu wa jf ni analysis na data za institution kubwa kubwa.
Umoja wa ulaya ndio unasema wazi wzi kuwa evs za china watazilima kodi ili kuzuia upepo wa kuchukua soko la magari yao.
 
Hebu punguza dharau, kwani mambo ninayoyaongea mimi ninayatunga ama? Halafu wewe ndio unafanya research

Dunia nzima inajua EV za China zinauza sana kwa sababu ni affordable. Bei ndio zinawabeba. Sasa kusema kinachobeba mauzo ya product za Mchina ni bei rahisi, nashangaa unaanza kunifananisha na Bloomberg kwenye kufanya research

Hii hapa chini ndio reason inayofanya mauzo ya BYD yawe juu.
Mimi sijatunga kitu chochote hapo. In fact, kubishana na nyinyi kwenye hii thread ndio kunafanya nigoogle information nyingi
 
Kasome comment za wazungu, ukiachilia mbali kuwa affordable zina offer more features kuliko hizo tesla na gari za ulaya kama bmw, sijui volkswagen.
Umoja wa ulaya una hofu juu ya EVs za china kuteka soko la Ulaya.
Mchina ni mchina is doing what he does best. Alianza kama utani utani and he is making it
 
Najaribu kufuatilia hizo comments naona TESLA ndio inasifika kwa features nyingi kushinda BYD



Naomba unisaidie ni wapi kwa kusoma hizo comments za wazungu zinazosema BYD zinaoffer features nyingi kuliko Tesla.
 
Najaribu kufuatilia hizo comments naona TESLA ndio inasifika kwa features nyingi kushinda BYD

View attachment 2857517

Naomba unisaidie ni wapi kwa kusoma hizo comments za wazungu zinazosema BYD zinaoffer features nyingi kuliko Tesla.
Nmekuwa kwenye forums mbalimbali, comments za wanaotumia magari ya Evs toka china huko ulaya wanayasifia kuwa ni reliable na yanakuja na features na options nyingi kuliko tesla na magari ya Ualaya.
Kama kigezo kingekuwa affordability tu, chevrolet ana EVs ambazo ni affordable zaidi
 
Basi nitajie jina la forum mojawapo
 
Bendera fuata upepo hizo chip wabakie nazo wapikie chips yai ..na kiwanda kitaenda kufungwa
Wabongo kujadili masuala ya watu wako vizuri utafikiri wao ndiyo wanaishi huko au nao wanatengeneza.
Ogopa sana mtu anayeitwa capitalist, siyo wa kucheza naye ana akili mingi sana
Wewe nchi yako hata kuruhusu paypal ni shida halafu unasema hizo chip watakaangia chips😁😁😁😁😁😁
 
Dunia nzima inazungumzia Tech. Hata hao wazungu na wachina usidhani kila mzungu au kila mchina anahusika katika kukuza teknolojia. Kuna normal people pia, ambao nao huzungumzia tech kama tu mimi na wewe

Halafu huyo jamaa hapo juu analeta utani. Anadhani USA ni kama China
 
Ila kwa nchi ya Tanzania imezidi ujinga kwenye suala la Tech
Huwa namhurumia sana kijana aliyetoka chuo aliyesomea masuala ya tech na anataka kujiajiri.
Dunia ilipofikia unaweza kutengeneza application 1 tu na ikakuingizia hela nyingi sana kutoka kila dunia ila mifumo ya hapa Tanzania ya kupokea hela na kutuma ipo kwenye karne 14.
 
Bongo hata serikali nayo inatufelisha kwenye Tech
 
Umeeleza vizuri
Wale wote Marekani sio kwao ukitoa Red Indians. Mkumbushe pia Marekani inaundwa hadi na Waafrika kwa hiyo Acha watafute vichwa sehemu nyingine duniani kama tu walivyounda nchi kupitia watu wa nchi totauti totauti ulimwenguni
 
Umeeleza vizuri
Wale wote Marekani sio kwao ukitoa Red Indians. Mkumbushe pia Marekani inaundwa hadi na Waafrika kwa hiyo Acha watafute vichwa sehemu nyingine duniani kama tu walivyounda nchi kupitia watu wa nchi totauti totauti ulimwenguni
Wazungu wanaakili sana na waliona mbali sana. Tukubali wametuzidi sana hata uwezo wa kufikiri kwao ni mkubwa.
Marekani kuna raia karibia kutoka nchi zote duniani na wanafanya kazi na wengine wanafanya taasisi nyeti km FBI na CIA lkn wanafanya kazi kwa upendo kama raia wa Marekani. Mfano mzuri muangalie Barack Obama
Sisi ambao tunaishi waafrika tu tena watanzania kbsa tumetengeneza nini mpk sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…