Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Huo uwezo wa kuweka mipaka ndo hatukuwahi kuwa nao kabla hata ya wazungu kugawana Afrika kuanzia hiyo miaka ya 1885, itakuwa leo kwa Mchina?Mtu yeyote anadhani china ni watu wazuri basi azidi kusali. Aone kitakacho tokea. Hawa ni watu hatari sana tusipo wadhibiti na kuweka mipaka.