Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
acha waje tu covid tunazo mifukoni nikwarushia tu wanakufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo uwezo wa kuweka mipaka ndo hatukuwahi kuwa nao kabla hata ya wazungu kugawana Afrika kuanzia hiyo miaka ya 1885, itakuwa leo kwa Mchina?Mtu yeyote anadhani china ni watu wazuri basi azidi kusali. Aone kitakacho tokea. Hawa ni watu hatari sana tusipo wadhibiti na kuweka mipaka.