China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

Cargo zote hizo nlizo kupa wanafanya loose cargo.i mean unapeleka tu mzigo wako cbm zozote,then watafanya shipping and clearing wewe utafata mzigo wako godown zao tz.

karbu mkuu china,fursa zipo
Nilisikia eti jamaa wa Silent Ocean siku hizi hawasafirishi loose cargo? Sasa sisi akina yakhe tunasafirishaje mizigo yetu kutokea China? Vifaa vya ujenzi mkuu biashara yake ikoje huko? Nina mpango wa kuja kufuatilia hivyo vifaa (ingawa sasa kikwazo kinakuwa kujua kampuni ya kusafirishia mizigo), maana aliyenielekeza aliniambia silent ocean ndo wazuri sasa nao ndo hivyo tena!
 
Sidhan kama wameacha,ila tatizo ni kuwa hawana mizigo ya loose cargo mingi.so had 40ft ijae inachukua muda mrefu so hata ufkaji wa mzgo bongo itakuwa ni wakuchelewa sana.

Vifaa vya ujenzi vipo vimejaa tele😀😀

GNM cargo wako vizuri sana kwa loose cargo.boss wake i know him personally,na hawana tatizo.ukihitaj mawasiliano yao ntakupatia ili upate official details from them
 
Mkuu habari..nimevutiwa sana na majibu mnayotoa..ni mdada nina milioni sita mtaji..pasport ninayo..nataka kufanya biashara ya vitu vya wamama na watoto..nimeangalia bei zake nimeona ni nzuri kwa huko..je nikitaka visa inachukua muda
Tiketi nakata muda gani kabla ya safari ili iwe cheap
Mtaji huo kwa kuanzia sio mbaya?
Inaweza kunichukua wastan wa siku kama ngapi kushop?
Shukrani
 
Visa nenda ubalozi wa china.kama ni mara ya kwanza procedure zinaweza zikakusumbua,ukimtumia agent ili upate visa sio mbaya sana.ukihitaji mawasiliano ya agent hapo dar nijulishe.tiketi inafatana na msimu.msimu huu wa baridi tiketi ni bei rahisi kidogo.kuhusu siku za kushop it depends na u sharp wako
 
Thaanks..naendelea kufanya michakato ya likizo etc..nikikamilisha n nikikwama sehem ntasema
Shkurani sana
 
Sidhan kama wameacha,ila tatizo ni kuwa hawana mizigo ya loose cargo mingi.so had 40ft ijae inachukua muda mrefu so hata ufkaji wa mzgo bongo itakuwa ni wakuchelewa sana.

Vifaa vya ujenzi vipo vimejaa tele😀😀

GNM cargo wako vizuri sana kwa loose cargo.boss wake i know him personally,na hawana tatizo.ukihitaj mawasiliano yao ntakupatia ili upate official details from them
Kwa uzoefu wake bei yake imekaaje hivyo vifaa vya ujenzi? MUNGU akijalia mwakani natia timu uwanjani, maana hawa jamaa wananiringishia sana na bei za karibu na bure hivyo unajikuta wewe unayechukulia Dar huku mikoani unakaa na bidhaa muda mrefu sana kutokana na bei yako kuwa juu! Asante sana kiongozi!
 
Sijafanya utafiti wa bei yake.ila ukiona wafanya biashara wanao deal navyo wanafanya safari nyingi za kuja china,bila shaka vina maslahi kiasi
 
Mkuu gharama ya agent haga bongo kukupatia visa ni kama kiasi gani?
 
Mkuu uko vizuri ni wabongo wachache sana wana moyo huo naomba kuuliza ni mji gani wanauza vifaa vya hospital/hospital equipment& laboratoly niko kwenye industry hiyo but mtaji ni mdogo ila nawish siku moja nisafili pia nitafulahi nikipata link za kampuni kubwa za huko kikubwa tunaogopa matapeli
 
Mkuu ishu za madawa ni ZHEJIANG PROVINCE ,HANGZHOU CITY
 
IMG_20151207_212957.jpg
IMG_20151207_213203.jpg

Mawasiliano ya jamaa wa silent ocean na The Land. nimeshindwa kuiweka juu ya thread naona kila nikiingia EDIT option ya picha ni kuattach linj tu na sio file. may be labda sijacop na mabadiliko ya jf interface mpya. kama @Invisible au @Moderator mnaweza kutusaidia kuweka ndani ya thread mwanzoni pale kama updates itakuwa vizuri
 
Last edited:
Mkuu gharama ya agent haga bongo kukupatia visa ni kama kiasi gani?
mkuu huhitaji agent ,huna haja ya kuongeza gharama za kumlipa agent. nenda pale ubalozi weka apointment kisha nenda na docs zako kamili siku ya apointment kisha utahudumiwa. nilichogundua ni kuwa wafanyabiashara baadhi yao au niseme wengi wao hawataki kuzifanya biashara zao ziwe halali. yani ni mfanyabiashara lakini hana document hata moja inayothibitisha biashara yake, sasa hapo visa utapataje bila documents?matokeo yake unatafta kishoka ambao wengine si waaminifu wanakuletea visa FEKI halafu anapotea mazima. umefika airpot pale unawekwa mtu kati na visa yako feki. tujifunze kufuata utaratibu.unakuwa huru,unapunguza gharama na huwi mgeni wa mambo kila siku. ukimtafuta agent ujue ni kwamba kila visa ikiisha itabidi umtafute tena mana huna hatua hata moja unayojua.
 
Sidhan kama wameacha,ila tatizo ni kuwa hawana mizigo ya loose cargo mingi.so had 40ft ijae inachukua muda mrefu so hata ufkaji wa mzgo bongo itakuwa ni wakuchelewa sana.

Vifaa vya ujenzi vipo vimejaa tele😀😀

GNM cargo wako vizuri sana kwa loose cargo.boss wake i know him personally,na hawana tatizo.ukihitaj mawasiliano yao ntakupatia ili upate official details from them
mkuu tuwekee mawasiliano yao hapa ili usaidie na wengine watakaopita hapa.
 
Back
Top Bottom