godwin mahajile
Member
- Nov 26, 2017
- 13
- 10
Kwa hili umenigusa mkuu naomba unitumie namba yako niichangamkie hii fursa[emoji122]sawa. Hii kwa kifupi ni kwamba T-shirt zipo itategemea unataka ubora gani, watu wa printing wapo, inategemea tu wewe unataka design ikoje. Naweza kukusaidia katika hilo ukinipa quality, na sample ya design yako kisha nitawasiliana na wauzaji na watatupa makadirio ya gharama zao. Tuwasiliane mkuu.
Mkuu naomba niPM namba yako tafadhali tufanye kazi.mi labda nichangie kuhusu biashara ya simu ambayo ndo naifanya,mi nilikua nachukulia simu pale guangzhou original ila nyingi zilikua na problem nikabadilisha maskani sasa iv nachukulia hongkong.
kwanza HONGKONG vitu kama simu ni original alafu kama used unapata nzima na zenye quality nzuri sana ila tatizo ni gharama kubwa za kuishi hongkong..
Smartphone ambayo nachukua kule kwa 400 HKD sawa na kama 120000 hivi huku naweza kuuza si chini ya 250000 kwa simu mmoja na huku nakua na ma dealer wangu ambao nawauzia wao pia wanauza...
ubaya wa hii biashara ilikua usafiri wa shida sababu niktuma kwa ndege kama parcel hapo airport wanataka pesa nyingi kwaiyo tulikua tunawapa hawa wabongo wanaokuja huku nampa simu mbili au tatu alafu naampooza na 20000 hivi anachukua kwaiyo akifika huku kuna mtu anazipokea na pale airport hasumbuliwi sababu wanajua ni za kwake tu.
Katika Watu Amabao Wamefaidika na haya Maelezo Mimi ni mmoja wapo, Wakati Nausoma Ulikuwa Mwaka Jana 2017 Mwezi km wa 4 hivi nilizingatia sana japo kuna watu walidharau na kuponda kwa maelezo yao lkn mm nilizingatia yale yaliyokuwa Muhimu na kuyafanyia kazi, Nikathubutu nilianza na msingi wa laki nane kwa kuagiza nguo pcs 50 na mzigo wangu ulipofika safar yangu ya biashara ikaanzia hapo, Alhamdulillah Namshukuru Allah sasa hv katika Biashara yangu nina msingi usiopungua kuanzia M8 mbaka 10...!! Shukran za Dhati kwa Mtoa Mada Najua siwezi Kukulipa Ikafikia thaman ya kile ulichokitengeneza kwangu..!
MUNGU AKUPE MOYO WA UTAJIRI NA NAJUA KILE UNACHOFANYA HAKIPOTEI BUREEE KWA MUNGU NINA IMANI ANAKULIPA NA KUFUNGULIA KWA KWA MCHANGO WAKO UNAOTOA KWETU...!
[HASHTAG]#HeriYaMwakaMpya[/HASHTAG]
Asante kwa kushukuru na Aamin kwa dua. Nawe MUNGU akuzidishie kheri katika biashara zako pamoja na wote waliochangiaKatika Watu Amabao Wamefaidika na haya Maelezo Mimi ni mmoja wapo, Wakati Nausoma Ulikuwa Mwaka Jana 2017 Mwezi km wa 4 hivi nilizingatia sana japo kuna watu walidharau na kuponda kwa maelezo yao lkn mm nilizingatia yale yaliyokuwa Muhimu na kuyafanyia kazi, Nikathubutu nilianza na msingi wa laki nane kwa kuagiza nguo pcs 50 na mzigo wangu ulipofika safar yangu ya biashara ikaanzia hapo, Alhamdulillah Namshukuru Allah sasa hv katika Biashara yangu nina msingi usiopungua kuanzia M8 mbaka 10...!! Shukran za Dhati kwa Mtoa Mada Najua siwezi Kukulipa Ikafikia thaman ya kile ulichokitengeneza kwangu..!
MUNGU AKUPE MOYO WA UTAJIRI NA NAJUA KILE UNACHOFANYA HAKIPOTEI BUREEE KWA MUNGU NINA IMANI ANAKULIPA NA KUFUNGULIA KWA KWA MCHANGO WAKO UNAOTOA KWETU...!
[HASHTAG]#HeriYaMwakaMpya[/HASHTAG]
Soko la Shanghai sina uzoefu nalo mkuu, nisije kukuingiza chaka bure mkuu. Niwaombe wengine wenye uzoezi na Shanghai waje hapa wachangie na naamini na mimi nitajifunza.Mkuu Kipilipili, mimi nilikuwa Shaghai wakati wa CIP. Nilipitia pale kwenye soko lao la mnada nikachukua Laptop HP nane ambazo nilinunua kwenye 900 UAN kila moja. Nikipiga hesabu kwa madafu haikuzidi laki sita ila nilipokuja Bongo nilipata faida ya almost laki nne kwa kila laptop...Pia nilichukua iphon 7 na Samsung kadhaa ambazo airport vyote vilipita free...Nakuja huko mwezi wa pili nataka nifanye kabisa biashara ila nikiwa tayari na masoko kwa wanafunzi nk. Pia nataka nilete flight camera niziuze kwa wanahabari.
Vipi unaonaje soko la Shanghai kwa hizo bidhaa?
Una ushauri wowote wa bidhaa nyingine nzuri ambazo naweza kuchukua mbali ya hizo?
Ikibidi nikifika tuwasiliane mkuu ila nipe kwanza ushauri!
mkuu naomba unipe tips za kuagiza mimi ni mfanyabiashara wa spare za pikipiki uagizaji bila ya kwenda huko unachukua hatia ganiKatika Watu Amabao Wamefaidika na haya Maelezo Mimi ni mmoja wapo, Wakati Nausoma Ulikuwa Mwaka Jana 2017 Mwezi km wa 4 hivi nilizingatia sana japo kuna watu walidharau na kuponda kwa maelezo yao lkn mm nilizingatia yale yaliyokuwa Muhimu na kuyafanyia kazi, Nikathubutu nilianza na msingi wa laki nane kwa kuagiza nguo pcs 50 na mzigo wangu ulipofika safar yangu ya biashara ikaanzia hapo, Alhamdulillah Namshukuru Allah sasa hv katika Biashara yangu nina msingi usiopungua kuanzia M8 mbaka 10...!! Shukran za Dhati kwa Mtoa Mada Najua siwezi Kukulipa Ikafikia thaman ya kile ulichokitengeneza kwangu..!
MUNGU AKUPE MOYO WA UTAJIRI NA NAJUA KILE UNACHOFANYA HAKIPOTEI BUREEE KWA MUNGU NINA IMANI ANAKULIPA NA KUFUNGULIA KWA KWA MCHANGO WAKO UNAOTOA KWETU...!
[HASHTAG]#HeriYaMwakaMpya[/HASHTAG]
Pikipiki unataka parts zipi?mkuu naomba unipe tips za kuagiza mimi ni mfanyabiashara wa spare za pikipiki uagizaji bila ya kwenda huko unachukua hatia gani
AHSANTE
mkuu naomba unipe tips za kuagiza mimi ni mfanyabiashara wa spare za pikipiki uagizaji bila ya kwenda huko unachukua hatia gani
AHSANTE
naomba namba yko pliiiiiz pengine mawazo yako yataenda kubadilisha maisha yangu mkuuNdio mkuu unaweza kuagiza na mzigo kukufikia ulipo. Pitia comments za wadau kuanzia mwanzo, michango ni mingi sana inayoelezea hilo. ukishindwa kabisa nitafute nitakusaidia kupata unachohitaji.
Shanghai wana bidha za kila aina, inategemea wewe unataka kufanya niniMkuu Kipilipili, mimi nilikuwa Shaghai wakati wa CIP. Nilipitia pale kwenye soko lao la mnada nikachukua Laptop HP nane ambazo nilinunua kwenye 900 UAN kila moja. Nikipiga hesabu kwa madafu haikuzidi laki sita ila nilipokuja Bongo nilipata faida ya almost laki nne kwa kila laptop...Pia nilichukua iphon 7 na Samsung kadhaa ambazo airport vyote vilipita free...Nakuja huko mwezi wa pili nataka nifanye kabisa biashara ila nikiwa tayari na masoko kwa wanafunzi nk. Pia nataka nilete flight camera niziuze kwa wanahabari.
Vipi unaonaje soko la Shanghai kwa hizo bidhaa?
Una ushauri wowote wa bidhaa nyingine nzuri ambazo naweza kuchukua mbali ya hizo?
Ikibidi nikifika tuwasiliane mkuu ila nipe kwanza ushauri!
Asante kwa kushukuru na Aamin kwa dua. Nawe MUNGU akuzidishie kheri katika biashara zako pamoja na wote waliochangia
umenipa zaidi ya somo mkuu MUNGU akuzidishie sana...Pikipiki unataka parts zipi?
1. Chagua parts unazotaka
2. Tafuta supplier unayemtaka, ukishindwa niambie nikuunganishe na supplier waliopo
3. Omba sample za parts unazotaka
4. Tuma fedha kwaajili ya hizo sample
5. Supplier atakutumia hizo sample kwa njia ya ndege au maji
6. Ukipokea hizo sample, cheki ubora wake
7. Kama sample zinafaa, ingia mkataba wa kisheria na supplier
8. Agiza mzigo mkubwa
9. Fanya malipo kupitia bank
10. Pokea mzigo wako kupitia meli
Bado kuna swali hapo?