Kilemachocho
JF-Expert Member
- Feb 19, 2016
- 560
- 365
Hapa pazuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu hii tumeshatuma ipo njiani. zitafika mwezi januari. tutafutane muda huo ukifika
mkuu kipipili mimi nafikiria kusafirisha mabondo kupeleka china nasikia wanayanunua sana huku kama una taarifa zaidi juu ya hii biashara tafadhali tujuzane.nitashukuru pia kama utanipa namba yakomkuu hii tumeshatuma ipo njiani. zitafika mwezi januari. tutafutane muda huo ukifika
Nimekujibu mkuu, check PMMsaada wa usafirishaji mkuu nimeku PM
Ngoja nikujibu kidogo hapa kwa vile nishawahi kufika YIWU na Guangzhou pia japakua sio mfanyabiashara sema naweza kukupa picha kidogo. YIWU ni mji mdogo sana ukilinganisha na Guangzhou hivyo kuhusu aina ya vitu Guangzhou kuna vitu vingi sana kulinganisha na YIWU. Hii inaifanya Guangzhou kuwe kunajulikana sana kuliko YIWU. Ubora wa bidhaa, YIWU bidhaa zake ni bora zaidi kwa vile Guangzhou kuna waafrika wengi hivyo wanafanya kuwe na bidhaa feki na zachini ya ubora. Gharama za usafirishaji, maagent wengi wa kusafirisha mizigo wana ofisi sehemu zote mbili YIWU na Guangzhou hivyo ukinunua mzigo mkubwa mara nyingi gharama zinakua sawa. Same ukinunua mzigo mdogo saa nyingine kuna gharama kidogo kwa baadhi ya maagent za kusafirisha mzigo kutoka YIWU kwenda Guangzhou kwa vile Guangzhou ndio kuna mizigo mingi hivyo wanaona ni bora wakusanyie mizigo yote guangzhou ndio waitume bongo. Gharama za maisha, Yiwu gharama za maisha ni za chini kwa vile ni mji mdogo, mfano chumba cha hotel cha yuan 100 Yiwu kinakua kizuri sana kuliko cha Guangzhou. Sema YIWU saa nyingine ni ngumu kupata bidhaa kwa uchache mara nyingi wanauza bidhaa kwa jumla. kwa wale wanaochukua bidhaa kwa wingi na wanataka zenye ubora basi YIWU is better place.Heshima kwako mkuu Kipilipili!
Asante sana kwa Elimu endelevu ambayo unaitoa hapa jukwaani. Naomba unisaidie kujua kitu kimoja, Kule China kuna sehemu inaitwa YIWU ambapo nasikia kuna International market pia kubwa sana. Ni nini uzoefu wako na hii sehemu kwa kulinganisha na Guangzhou, yaani kwa aina ya vitu, ubora, gharama za kununua na kusafirisha mpaka bongo, pamoja na gharama za maisha kule?? Natanguliza shukran tena....ahsante
Pamoja sana mkuu, asante kwa taarifa hiyoNgoja nikujibu kidogo hapa kwa vile nishawahi kufika YIWU na Guangzhou pia japakua sio mfanyabiashara sema naweza kukupa picha kidogo. YIWU ni mji mdogo sana ukilinganisha na Guangzhou hivyo kuhusu aina ya vitu Guangzhou kuna vitu vingi sana kulinganisha na YIWU. Hii inaifanya Guangzhou kuwe kunajulikana sana kuliko YIWU. Ubora wa bidhaa, YIWU bidhaa zake ni bora zaidi kwa vile Guangzhou kuna waafrika wengi hivyo wanafanya kuwe na bidhaa feki na zachini ya ubora. Gharama za usafirishaji, maagent wengi wa kusafirisha mizigo wana ofisi sehemu zote mbili YIWU na Guangzhou hivyo ukinunua mzigo mkubwa mara nyingi gharama zinakua sawa. Same ukinunua mzigo mdogo saa nyingine kuna gharama kidogo kwa baadhi ya maagent za kusafirisha mzigo kutoka YIWU kwenda Guangzhou kwa vile Guangzhou ndio kuna mizigo mingi hivyo wanaona ni bora wakusanyie mizigo yote guangzhou ndio waitume bongo. Gharama za maisha, Yiwu gharama za maisha ni za chini kwa vile ni mji mdogo, mfano chumba cha hotel cha yuan 100 Yiwu kinakua kizuri sana kuliko cha Guangzhou. Sema YIWU saa nyingine ni ngumu kupata bidhaa kwa uchache mara nyingi wanauza bidhaa kwa jumla. kwa wale wanaochukua bidhaa kwa wingi na wanataka zenye ubora basi YIWU is better place.
Mkuu, in most cases hawa jamaa wanahitaji MALI GHAFI kama vile MBAO zenye ubora ili kutengenezea samani mbalimbali. Pia wanahitaji sea products kama samaki wa aina mbalimbali kwa ajili ya kusindika.
Bidhaa nyingine ambazo watanzania tunaweza kuuza kwao ni kahawa, matunda hasa maembe! Juice ya maembe iko ghali sana China na nadhani ni kwa sababu wao hawalimi.
Nyama ya NG'OMBE hasa wanaotoka huku kwetu ni WATAMU ukilinganisha na nyama inayouzwa China ambayo haitoshelezi soko. . vitu gani nasweza kusafirisha kwenda china?
Asante mkuu. Sijawahi kufika Dubai na sina taarifa kwa kweli kuhuusu biashara za upande huo. Niwaombe wengine watusaidie kwenye hiliSalama Kipilipili
Nimepitia post yako ya mwaka 2015 kuhusu biashara za China, nia yangu nilitaka nijifunze biashara za Dubai. nimejaribu kuangalia michango ya wachangiaji sijaona alieongelea Dubai, lakini mwaka 2015 nilihisi au nimechanganya mada kama kuna watu walichangia pia kuhusu Dubai, nahisi kama alikua Laki saba saba au laki si pesa waliochangia.Na hii ndio Sababu nimekuandiakia kama una ideas za biashara ya vipodozi Dubai, naomba ongelea kidogo hapa jukwaani
Asante kwa somo zuri, ilinivutia tangu mwaka huo, leo nimepata ka pesa kadogo nataka nifanyie hiyo business.
Sara
Umekuwa muwazi na mkweli... Maana watanzania tulio wengi hatupendi kuongea ukweliAsante mkuu. Sijawahi kufika Dubai na sina taarifa kwa kweli kuhuusu biashara za upande huo. Niwaombe wengine watusaidie kwenye hili
Mimi sijafika China lakini haiwezekani upewe viza ya kuingia Tanzania uende Dodoma eti Arusha usiruhusiwe siyo kweli, kwanza kwa maelezo yake nakataa kabisa kama huyu mtu kweli aliwahi kusafiri nchi hizo unless atuambie wakati anaandika alikuwa amelewa.
Haha..asante mkuu. ukweli humuweka mtu huru.Umekuwa muwazi na mkweli... Maana watanzania tulio wengi hatupendi kuongea ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bora umekuja. Naomba nikuulize tofauti ya kuagiza mzigo kutoka China ukiwa uku Tz kupitia masoko makubwa ya mitandao kama Alibaba, au kufuata moja kwa moja. Kwanini watu wengi wanafuata badala ya kuagiza tu wakiwa uku ?
Nitaeleza sababu chache kwa mujibu wa uzoefu wangu na haya ni maoni yangu tu (yanaweza kuwa tofauti na wengine)Mkuu bora umekuja. Naomba nikuulize tofauti ya kuagiza mzigo kutoka China ukiwa uku Tz kupitia masoko makubwa ya mitandao kama Alibaba, au kufuata moja kwa moja. Kwanini watu wengi wanafuata badala ya kuagiza tu wakiwa uku ?
[emoji4] [emoji4] aseee unajibu vizuri sana yan mtu anapata mwanga duuuhNitaeleza sababu chache kwa mujibu wa uzoefu wangu na haya ni maoni yangu tu (yanaweza kuwa tofauti na wengine)
1. Mtazamo hasi kuhusu online shopping. Wafanyabiashara wengi wa Tanzania hawaamini sana/ hawana uelewa kuhusu manunuzi kwa njia ya mtandao. hii imefanya wengi kuwa na mtizamo hasi hasa kuhusu KUINGIZWA MJINI . Kutatua changamoto hii ipo haja ya wafanyabiashara kujifunza kuhusu online shopping hasara na faida zake kwa sababu si kila bidhaa ni lazima mtu asafiri. zipo ambazo mtu anaweza kuagiza tena kwa usalama tu mkubwa.
2. Kufuata mkumbo.
Sasa hivi kwenda china imekuwa kama ni kufuata mkumbo kwa BAADHI/ wengi ya wafanyabiashara. Kuna wengine mitaji ni midogo lakini kwa kufuata mkumbo wanalazimisha kusafiri ili nao waonekane wanaenda nje (mf. China. Bankok nk). Elimu ya biashara itolewe au wafanyabiashara wawe na utamaduni wa kujifunza kuhusu biashara kabla ya kuamua kusafiri.
3. Utalii.
Kwa kuzingatia namba 2 hapo juu, wengine husafiri kwa kuwa tu wanapenda kwenda nje KUOSHA macho na ndio utakuta mtaji asilimia kubwa unateketea kwenye gharama za safari kuliko biashara, na wakifika badala ya kujikita kwenye biashara, utakuta wengi wanajikita kwenye starehe na utalii.
Pia kwenye utalii kuna utalii ule mwengine wa upande wa pili (nachelea kuutaja hapa) ila wapo wanaosafiri kwa mwamvuli wa biashara lakini kumbe ni kwa ajili ya "utalii wa Ng**o)
4. Ugeni wa soko/biashara
Wengi huwa hawajui wapi wapate bidhaa wanazozihitaji. Hivyo huamua kusafiri ili kupata suppliers wa bidhaa zao. Na baada ya muda huwa wana "graduate" kusafiri na suppliers wanawaletea moja kwa moja Tz. Hii ya kugraduate huwa hasa kwa wafanyabiashara wakubwa au wale ambao ni serious business men/women. Biashara inatakiwa ikue na sio wewe kila siku kiguu na njia kuhangaika na ndege kufuata soksi au nguo za watoto china. Ifike mahali supplier awe ndio anakuhudumia wewe na anakutafuta wewe na sio wewe kumtafuta supplier.
5. Changamoto ya material
Hasa kwa wafanyabiashara za nguo na viatu .Mara nyingi bidhaa za online huwa na picha zilizohaririwa vizuri ili zikuvitie mnunuaji na wakati mwingine haziendani na uhalisia. mfano nguo unaiona nzuri kwenye picha ila ukiiagiza na kuletewa unakuta material labda ni chiffon na wewe ulitarajia iwe labda cotton, au mchanganyiko wa cotton na polyster nk nk.
kwa hiyo kuepuka changamoto hii wengi wanaona bora wasafiri, wanunue physical store ili wawe na uhakika na material ya bidhaa husika.
6. Uaminifu
Baadhi ya suppliers kukosa uaminifu au wakati mwingine wateja KUHISI kuwa watatapeliwa hufanya wengi kuamua kusafiri kuliko kuagiza au kununua online.
Hizi ni sababu chache tu na pengine zinaweza zikawa sababu kwa wengine na wengine si sababu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe inawezekana kuagiza bidhaa online na kuziuza sokoni, sasa changamoto in gharama za kusafirisha bidhaa hawa kwa yule mwenye mtaji mdogo kwa mfano anaeagiza pair 50 za viatu vya kike je inalipa kweli ukizingatia gharama za usafirishaji na kodi[emoji4] [emoji4] aseee unajibu vizuri sana yan mtu anapata mwanga duuuh
God bless u...for ur good heart...
Of sharing this data unatufanya tuwaze mbali kdg....[emoji120] [emoji120]
Kumbe inawezekana kuagiza bidhaa online na kuziuza sokoni, sasa changamoto ni gharama za kusafirisha bidhaa haswa kwa yule mwenye mtaji mdogo kwa mfano anaeagiza pair 50 za viatu vya kike je inalipa kweli ukizingatia gharama za usafirishaji na kodi[emoji4] [emoji4] aseee unajibu vizuri sana yan mtu anapata mwanga duuuh
God bless u...for ur good heart...
Of sharing this data unatufanya tuwaze mbali kdg....[emoji120] [emoji120]
Asante mkuu. Ameen[emoji4] [emoji4] aseee unajibu vizuri sana yan mtu anapata mwanga duuuh
God bless u...for ur good heart...
Of sharing this data unatufanya tuwaze mbali kdg....[emoji120] [emoji120]
Mkuu heshima kwako kwa kushea uzoefu wako, big up. Nilitaka kupata mtazamo wako wa uzoefu wa bidhaa zinazolipa kutoka huko uchina kwa mtu ambaye anaanza (beginner) na kwa mtaji mdogo say 10m, mfano bidhaa kama handbag za akina dada? Waonaje?. Nimesikia pia ukinunua bidhaa huko china unawapa wauzaji adress ya kampuni ya usafiri (eg silent ocean) kisha wao wanapeleka kwa wasafirishaji, unalipia (usafirishaji)ukishachukua bongo. Je hii ndio tratatibu? Na pia huwa nasikia pia bangkok, vp huko kuna bidhaa nzuri pia? Ushauri wowote kwa beginner asie na uzoefu wowote