China: Hatuna nia ya kukamata mradi wowote Afrika kwa sababu ya mkopo

Haya maelezo yanaficha mengi ☝️
 
Hizo ni diplomatic language ila wachina hawafai kuchukua mikopo yao.
TIWE MAKINI NA WACHINA HASA KATIKA MRADI WA BAGAMOYO
 
Janja ya Nyani;

Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ni msumari a mwisho kwa mapato ya nchi yetu tutabakia maskini milele.
Kabisa mkuu,
Mchina akishaishika ile bandari.

Watanzania wore wazalendo tunahamia kwa mchina maana najua atashusha Sana Bei za ushuru
 
Sisi wenye nchi tunataka mkataba uwekwe wazi! Kama ni mzuri mnafichaficha nn? Kwahyo Mseveni alivyokuja Tz mlikubaliana Balozi atoe press ya kutupumbaza?? Shame upon ur face!
 
Ila nia Yao ninini?

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Wale wazushi mnaotutisha kuhusu Bandari ya Bagamoyo habari ndio hii,


#KAZIINDELEE
Sasa kama hutishiki subiri kile kipimo cha Coivid-19 cha kupenyeza ujiti katikati kianze kutumika huko kwenu Tz ndio utaelewa cha mtu mavi
 
Wale wazushi mnaotutisha kuhusu Bandari ya Bagamoyo habari ndio hii,


#KAZIINDELEE
Huwa nawambia kila siku watu humu wanakua brainwashed na kudanganyika haraka sana , haya kiko wapi?, Habari za zimbabwe zambia sri lanka ilikua ni uongo mtupu, sema china huwa hawana hata mda wa kukanusha hadi wajisikie kukanusha
 
Hawa wa sasa ni wabaya zaidi ya shetani
 
Kwanini wasiweke kwenye website? bungeni hili bunge la akina babu Tale na Kibajaji? shame on you
Sheria ya TEITI ndio inaongelea mikataba ipelekwe bungeni sio mtandaoni. Na wabunge ni wananchi so wakiona ni sawa na wwe umeona otherwise kama hamhoji huko majimboni kupitia ofisi ya mbunge then ni udhaifu wenu wananchi maana nyie ndio mmewachagua tena kwa kishindo!!!
 
mikopo hailipiki
Bagamoyo hakuna mkopo ni serikali inatoa guarantee tu. Afu mbona hamuangalii faida mnawaza tu kuuzwa kila muda, tuache inferiority complex. Concession agreements zikiwa structured vizuri ni win win maana hta tukisacrifice mapato fulani ila multiplier effect ita compensate.

Masuala ya taaluma tuachie wanataaluma. Maana hta makubaliano ya serikali na Acacia tuliwekewa public ila since then amendments nyingi zimefanywa kisiri siri bila wananchi kuhoji kitu.
 
Et hamna Afrika ...


Hawa wachina wanatuona wajinga !!!
 
Mpuuzi wewe, uchaguzi ulifanyika lini tukachagua hao wabunge wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…