China: Hatuna nia ya kukamata mradi wowote Afrika kwa sababu ya mkopo

Ni kweli mikataba haijawahi kuwa wazi Tz na ndo maana watu wanalia. Ni kwamba wanaona ingekuwa wazi nao wangechangia mawazo. Lkn kuna ukweli gani hapo?
Je, kwa mfano, mikataba hiyo iwekwe mitandaoni km. JF!!? Kweli?Ingetekelezeka? Tungeonekana watu wa aina gani? Kuna kitu kama hicho duniani!?
Nafikiri wanaoingia/fanya majadliano wanafanya maksudi kwa manufaa binafsi huku wakiingiza maufisadi yao humo. Kiasi kwamba value for money haina nafasi. Wala dawa sio uwazi huo tunaoufikiria. Nionavyo mimi ni kuwa na wahusika muafaka wenye uzalendo wafanyao kazi "professionaly", wakiweka kando matumbo yao na kujikomba kwao kwa mwajiri. Lkn kutamani ni jambo moja, kupata ni jingine.
Katika nchi ambapo wanasiasa wanaona kusifiwa na kutukuzwa ndo dili, watasifiwa saaana, watatukuzwa pia. Na kwa kuwa vitendo hivyo vinalipa, yatachaguliwa maimba mapambio kutuingiza katika mikataba bomu na nyimbo nyingi kuhusu maendeleo zitatungwa na zimeshatungwa tayari - tutazisikia Des. 9, 2021.
Dawa ni katiba mpya, maviongozi bomu yatupiliwe mbali. Nje ya hapo tutaendelea kulazimishwa kuchangia madawati huku tukinyang'anywa kidogo (kuku?, mbuzi?) tulichonacho kwa kisingizio cha kugoma "kuchangia" maendeleo. Haya yanapatikana Tz tu, kuku inachangia maendeleo na kodi inamlipia mwanasiasa maendeleo ...duh! WaTz tumemkosea nini Mungu!?
 
It might be true that up to this moment "no project in Africa has been "seized" by China due to inability to repay loans." but who knows their future plans?
 
Title irekebishwe, isomeke: 'Hatujakamata...' sio 'Hatuna nia...'
 
Duuuh kumbe
 
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
aisee, wachina nimewakubali, yaani wanaligeuza bara la Africa kama chapati.. !!
 
It might be true that up to this moment "no project in Africa has been "seized" by China due to inability to repay loans." but who knows their future plans?
Sasa unaweza ukajua kweli mkuu wanawaza nini?
 
expand...
#nakupenda Tanzania

Quote Reply
Report Edit Delete
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…