Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Walikuwa wakisema China iko nyuma ya Marekani kwa miaka 10 kwenye AI, lakini China imejibu kwa kasi ya ajabuWatakuja wapnge wale waabdu marekani
Hizi Promo ni za kawaida siku zote baada ya kuzinduliwa DeepSeek Ai wale Pro China walianza kutamba kuwa ina uwezo mkubwa zaidi ya Chat GPT, Gemini, Copilot na AI zingine .. muda ni mwamuzi mzuri leo hakuna tena tambo km hizi na Deepseek imeonekana si lolote..jambo la muhimu tuache ushabiki maandazi ktk mambo muhimu katika maendeleo ya mwanadamu..Watakuja wapnge wale waabdu marekani
Ni vile tu watu wanakaza mafuvu Yao lakini China Kwa Technology Iko na speed ya Hali ya juu mnoWalikuwa wakisema China iko nyuma ya Marekani kwa miaka 10 kwenye AI, lakini China imejibu kwa kasi ya ajabu
Kupitia ubunifu, uwekezaji mkubwa na vipaji vya watafiti wake, kampuni kama Moonshot AI, DeepSeek na Alibaba zimeifanya China kuwa nguvu kubwa inayotikisa uongozi wa AI duniani
Hizi Promo ni za kawaida siku zote baada ya kuzinduliwa DeepSeek Ai wale Pro China walianza kutamba kuwa ina uwezo mkubwa zaidi ya Chat GPT, Gemini, Copilot na AI zingine .. muda ni mwamuzi mzuri leo hakuna tena tambo km hizi na Deepseek imeonekana si lolote..jambo la muhimu tuache ushabiki maandazi ktk mambo muhimu katika maendeleo ya mwanadamu..
Tupe ushahidi wa hili usemalo isijekuwa unaongea hisia zako.Deepseek imeonekana si lolote..
Ni vile tu watu wanakaza mafuvu Yao lakini China Kwa Technology Iko na speed ya Hali ya juu mno
Umesema vyema akikupa jibu lenye mashiko nitagTupe ushahidi wa hili usemalo isijekuwa unaongea hisia zako.
Kama huna ushahidi sema "KWA HISIA ZANGU" au "Kwa mtazamo wangu" kisha unasema maoni yako.
na kazia hapaHizi Promo ni za kawaida siku zote baada ya kuzinduliwa DeepSeek Ai wale Pro China walianza kutamba kuwa ina uwezo mkubwa zaidi ya Chat GPT, Gemini, Copilot na AI zingine .. muda ni mwamuzi mzuri leo hakuna tena tambo km hizi na Deepseek imeonekana si lolote..jambo la muhimu tuache ushabiki maandazi ktk mambo muhimu katika maendeleo ya mwanadamu..
Hata wakati wa Deepseek walikuja kwa mbwembwe zote ila leo hii tayari wameangukia puaNi vile tu watu wanakaza mafuvu Yao lakini China Kwa Technology Iko na speed ya Hali ya juu mno
Kimi K3 iko close but sio top model, so kusema trump anawaza kupiga ban is a false wishMkurugenzi Mtendaji (CEO) wa kampuni changa ya Moonshot AI, Dkt. Yang Zhilin (miaka 34), ambaye ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Tsinghua, amezindua modeli mpya ya akili bandia (AI) iitwayo Kimi K3.
Kimi K3 imekuwa miongoni mwa modeli za AI zilizozungumziwa zaidi mwaka 2026 kutokana na uwezo wake mkubwa katika kufikiri kimantiki, uandishi wa programu (coding), na utekelezaji wa kazi za mawakala wa AI (AI agents)
Baadhi ya tathmini huru zimeonyesha kuwa katika baadhi ya majukumu maalumu inaweza kushindana kwa karibu au hata kuzizidi baadhi ya modeli za juu zinazotengenezwa na kampuni kubwa duniani
Athari za uzinduzi huu zimekuwa kubwa kiasi kwamba mahitaji ya kuitumia Kimi K3 yaliongezeka kwa kasi, na Moonshot AI ililazimika kuchukua hatua za muda kufunga maombi mapya kutokana na changamoto za miundombinu ya kompyuta kushindwa kuhimili idadi kubwa ya watumiaji kwa wakati mmoja
Maendeleo ya Kimi K3 yanaonyesha kasi kubwa ya ukuaji wa sekta ya AI nchini China, sambamba na modeli nyingine kama DeepSeek na Qwen ya Alibaba, jambo linaloifanya China kuwa mmoja wa washindani wakuu katika mbio za kimataifa za maendeleo ya akili bandia
Kwa sababu ya uwezo wake mkubwa na mfumo wake wa open-source/open-weight, Kimi K3 imeanza kuvutia shauku kutoka kwa watengenezaji, watafiti na makampuni mbalimbali duniani wanaotaka kuijaribu na kuchunguza uwezo wake wa kushindana na modeli zinazoongoza kutoka Marekani.
Wenye mamlaka Marekani wameingiwa na woga, mafanikio ya Kimi K3 yamezua taharuki Washington
TAARIFA MPYA: Utawala wa Trump unafikiria uwezekano wa kupiga marufuku modeli za AI za China zenye mfumo wa open-source ndani ya Marekani, kufuatia kuzinduliwa kwa modeli mpya ya AI ya China Kimi K3, kwa mujibu wa ripoti ya Axios. 💔😅