Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
China hivi sasa wapo kwenye apex ya mafanikio yao kiuchumi na kiteknolojia, hili ni pigo kubwa sana kwa Marekani
Nimetumia models zungine na DeepSeek haya ndiyo niliyojifunza:
Unajua ukitumia modeli zingine is like asking a very knowledgeable person with lots of stored information to do a calculus problem for you
Lakini mara zote ninapotumia Deepseek is like asking a Calculus professor to do it for you
DeepSeek mara zote imekuwa bora kwangu kwenye depth data analysis
Kuna watu wengine wamekuwa wakitumia DeepSeek kwenye coding problems hawataki tena kusikia uchafu wa ChatGPT
Kwenye issue za kiacademic hapo ndipo the real strength ya DeepSeek ilipo, nazungumzia the thinking process DeepSeek iko more interactive
Nyinyi majanja hamtaweza kunielewa ila kwa sisi tunaocheza na AI kwenye masuala ya academic huwa mwanetu ni DeepSeek, huyu nyangumi achana naye salute kwake
Kwenye baadhi ya benchmarks AI za China zinaongoza, kwenye nyingine Marekani inaongozaHizi level huwa zinazofautiana kati ya benchmark moja na nyingine, but currently AI Marekani bado yupo mbele na hizo Claude unazoona apo ni moto wa kuotea mbali, saivi ndio AI bora zaidi duniani overall
Ziulize AI za Marekani zikupe majibu kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu au uhalifu wa kivita unaofanywa na Israel katika ardhi ya Wapalestina kama zitakupa majibu yaliyonyooka?DeepSeek ilikuwa hivi hivi mwisho wa siku nikaifuta kabisa kwenye simu yangu.
AI Gani Iko biased ukiiuliza ikupe negative info za china au chama chao cha kikomunist inakaa kimya.
Uchafu tu huo
Si kweli kwamba China hawana mpango wa kutengenezs AI kubwa kuzidi zilizopo eti kwa sababu hawawezi kushindana na MarekaniChina hawana mpango wa kutengeneza AI kubwa kuzidi zilizopo,mpango wa China kutengeneza ecosystem ya AI,washaona hawawezi ku catch up tena na marekani
Hata wakati wa Deepseek walikuja kwa mbwembwe zote ila leo hii tayari wameangukia pua
Ukweli mchunguChina hivi sasa wapo kwenye apex ya mafanikio yao kiuchumi na kiteknolojia, hili ni pigo kubwa sana kwa Marekani
Si kweli kwamba China hawana mpango wa kutengenezs AI kubwa kuzidi zilizopo eti kwa sababu hawawezi kushindana na Marekani
China inaamini katika kuingiza AI kwenye uchumi mzima. Ndiyo maana inawekeza katika:
- Utengenezaji wa chips za AI.
- Cloud computing na data centers.
- Open-source AI models kama DeepSeek na Qwen.
- AI kwenye simu, magari, roboti, viwanda na huduma za afya.
- Vipaji (talent) na tafiti za AI.
Na ndio maana China inafanya vizuri sana kwenye kuitumia AI kwenye uchumi na viwanda kuliko Marekani
Lengo ni kuhakikisha kuwa kampuni za China zinaweza kutumia AI kwa kiwango kikubwa bila kutegemea teknolojia za nje
China bado inaendelea kutoa modeli mpya zenye uwezo mkubwa, kama DeepSeek, Qwen, Kimi na nyingine.
Kampuni zake bado zinawekeza mabilioni ya dola kwenye utafiti wa frontier AI
Serikali ya China imeweka AI kama moja ya sekta za kimkakati za taifa.
Kama wangekuwa wameamua hawawezi kushindana, usingeona uwekezaji mkubwa unaoendelea kwenye modeli mpya

Tupo hapa kupeana habari mkuu sio kubishana,mimi TV yangu huwa naangalia Mpira tu na CGTN,,Si kweli kwamba China hawana mpango wa kutengenezs AI kubwa kuzidi zilizopo eti kwa sababu hawawezi kushindana na Marekani
China inaamini katika kuingiza AI kwenye uchumi mzima. Ndiyo maana inawekeza katika:
- Utengenezaji wa chips za AI.
- Cloud computing na data centers.
- Open-source AI models kama DeepSeek na Qwen.
- AI kwenye simu, magari, roboti, viwanda na huduma za afya.
- Vipaji (talent) na tafiti za AI.
Na ndio maana China inafanya vizuri sana kwenye kuitumia AI kwenye uchumi na viwanda kuliko Marekani
Lengo ni kuhakikisha kuwa kampuni za China zinaweza kutumia AI kwa kiwango kikubwa bila kutegemea teknolojia za nje
China bado inaendelea kutoa modeli mpya zenye uwezo mkubwa, kama DeepSeek, Qwen, Kimi na nyingine.
Kampuni zake bado zinawekeza mabilioni ya dola kwenye utafiti wa frontier AI
Serikali ya China imeweka AI kama moja ya sekta za kimkakati za taifa.
Kama wangekuwa wameamua hawawezi kushindana, usingeona uwekezaji mkubwa unaoendelea kwenye modeli mpya
Kwenye EV ndiyo kashakata tamaaUkweli mchungu
View attachment 3633977
BIG NEWS: Kimi K3 imepanda hadi nafasi ya #1 kwenye Frontend Code Arena ikiwa na alama 1679, ikiipita Claude Fable 5 ya Marekani
Ni kweli..Ni vile tu watu wanakaza mafuvu Yao lakini China Kwa Technology Iko na speed ya Hali ya juu mno
Threat ya Kimi sio uwezo wake Bali ni uwazi wake, assume Una host ya maana ya AI, Chuo chochote, Serikali yoyote, Kampuni yoyote inaweza kudownload Kim na kuimodify inavyotaka yenyewe huna haja ya kufungiwa na Google ama Open Ai kutumia kitu ambacho huna uwezo wa kukibadili. So hii itabadili kabisa choice za wengi ya AI gani ya kuchagua, Asili yetu binadamu tunapenda kuwa ni wenye control.Kimi K3 iko close but sio top model, so kusema trump anawaza kupiga ban is a false wish
Najua unaipenda china but at this usishabikie bila kuelewa other AI models
Unatumia Kimi K3?Nimeijaribu,inafikiria sana
Haiko faster kama Chat gpt
Au imekuwa na watumiaji wengi kuliko uwezo wake?
kimi k3(kama ilivyo K2.6) ni open weight model, unaweza zi self-host models kwa server yako, na kuzi run completely in offline mode na kuzifanyia biashara kufuata miongozo ya leseni za moonshotKimi K3 iko close but sio top model
Umesema vyemakimi k3(kama ilivyo K2.6) ni open weight model, unaweza zi self-host models kwa server yako, na kuzi run completely in offline mode na kuzifanyia biashara kufuata miongozo ya leseni za moonshot
za magharibi zote ni closed ni huuzwa kwa token (on API call basis)
View attachment 3638297