China imejenga daraja refu zaidi duniani linaloshikiliwa kwa nyaya (cable-stayed bridge)

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
China imezindua Changtai Yangtze River Bridge huko Jiangsu, daraja jipya linaloshikiliwa kwa nyaya lenye span kuu ya mita 1,208, na kuweka rekodi kama the longest of its kind.

Daraja hili limefunguliwa Septemba 2025 na ni la kipekee kwa kuwa linachanganya expressway, barabara ya kawaida na reli ya mji kwenye muundo mmoja.

Ujenzi wake unaonesha ukubwa wa China kwenye ubunifu wa hali ya juu katika uhandisi na miundombinu mikubwa ya kisasa.
 
China's progress in advanced infrastructure is more than 100 times faster than the US."
– Elon Musk (Feb 2018 on twitter)​
Marekani iko busy kutumia mamilioni ya kodi za wamarekani huko Israel ili ziwasaidie kuuwa kina mama na watoto wa Gaza. Wakati huo huo maelfu ya wamarekani hawana pakulala wala pakula.
 
China builds, the U.S bombs

20250913_084750.jpg
​
 
Marekani iko busy kutumia mamilioni ya kodi za wamarekani huko Israel ili ziwasaidie kuuwa kina mama na watoto wa Gaza. Wakati huo huo maelfu ya wamarekani hawana pakulala wala pakula.
Wakati life expectancy ya China ikiizidi ya Marekani kwa sababu ya mifumo mizuri ya afya na vyakula bora. Hii ndio life la Marekani:

20250913_084901.jpg

Haya ni makazi ya baadhi ya Wamarekani huko California. Jiji tajiri zaidi duniani by GDP​
 
China imezindua Changtai Yangtze River Bridge huko Jiangsu, daraja jipya linaloshikiliwa kwa nyaya lenye span kuu ya mita 1,208, na kuweka rekodi kama the longest of its kind.

Daraja hili limefunguliwa Septemba 2025 na ni la kipekee kwa kuwa linachanganya expressway, barabara ya kawaida na reli ya mji kwenye muundo mmoja.

Ujenzi wake unaonesha ukubwa wa China kwenye ubunifu wa hali ya juu katika uhandisi na miundombinu mikubwa ya kisasa.
Kila nchi ina mazuri na mabaya yake. Haya ni mambo mabaya ya China:
1. Hakuna uhuru wa vyombo vya habari - serikali ya China inadhibiti sana mitandao ya kijamii.

2. Wakristo, Waislamu na dini nyingine wananyanyaswa sana

3. China ni maarufu kwa kutengeneza bidhaa feki

4. China ina viiwanda vingi vinavyochafua mazingira (hewa, mito na ardhi)

5. Ripoti nyingi zinaonyesha kwamba makabila madogo hulazimishwa kufanya kazi.

6. Upelelezi wa raia – kamera na teknolojia za AI hutumiwa kufuatilia wananchi kila sehemu.

7. Ukandamizaji wa haki za binadamu – wakosoaji wa serikali hufungwa au kutoweka.

8. Udikteta – chama cha kikomunisti hakiruhusu upinzani au demokrasia.

9. Ukosefu wa uhuru wa kujieleza – wananchi hawawezi kuikosoa serikali bila kuadhibiwa.

10. Sera za kudhibiti idadi ya watoto (mfano one-child policy) zimesababisha matatizo makubwa ya kijamii huko China
 
Naam inabidi aeleze maana , malalamiko ya groceries, healthcare, housing ni kubwa sana, wakati huo huo nchi yao ni mfadhili wa vita kila pembe
Yeah ni sahihi Wamarekani wanachapwa na inflation kila kona ya matumizi yao

Na bado gharama za huduma za kijamii zinapaa kila inayoitwa leo

Na kama haitoshi tatizo la ajira na watu kupunguzwa kazi linazidi kukua

Kwa sababu ya inflation, stagnant wages, kupanda kwa gharama za maisha Wamarekani wengi inabidi watumie kadi za mikopo (credit cards) ili wakope na kulipia gharama za kila siku za maisha

Sasa uliza deni la Wamarekani so far.

Kwenye credit cards kwa ujumla Wamarekani wanadaiwa USD 1.2 trillion
​
 
sasa kama minority mbona nchi yao haipambani kumaliza tatizo hilo kwa haraka?
Mfumo wao wa very extreme capitalism, hakuna anayejali kuhusu hao masikini
Kama serikali ya Marekani ingekuwa inajali ingemaliza masikini chap maana Marekani ni nchi tajiri kuliko China, so ni mfumo wao wa kinyonyaji na kutojali watu wengine ndio unafanya umasikini uwepo USA
 
Kila nchi ina mazuri na mabaya yake. Haya ni mambo mabaya ya China:
1. Hakuna uhuru wa vyombo vya habari - serikali ya China inadhibiti sana mitandao ya kijamii.

2. Wakristo, Waislamu na dini nyingine wananyanyaswa sana
Hii ni karibu dunia nzima mkuu
3. China ni maarufu kwa kutengeneza bidhaa feki
Low price low quality, alafu fafanua bidhaa feki ni nini?
 
Hii ni karibu dunia nzima mkuu

Low price low quality, alafu fafanua bidhaa feki ni nini?
Bidhaa fake ni kama hizi simu za "iPhone" kutoka China ambazo kiuhalisia sio iPhone original na watu kila siku wanalizwa pale Kariakoo
Hizi zinatoka China; iPhone original na fake pia
 
Yeah ni sahihi Wamarekani wanachapwa na inflation kila kona ya matumizi yao

Na bado gharama za huduma za kijamii zinapaa kila inayoitwa leo

Na kama haitoshi tatizo la ajira na watu kupunguzwa kazi linazidi kukua

Kwa sababu ya inflation, stagnant wages, kupanda kwa gharama za maisha Wamarekani wengi inabidi watumie kadi za mikopo (credit cards) ili wakope na kulipia gharama za kila siku za maisha

Sasa uliza deni la Wamarekani so far.

Kwenye credit cards kwa ujumla Wamarekani wanadaiwa USD 1.2 trillion
​
Actually China ina more unemployment rate kuliko USA

Back
Top Bottom