China imejenga daraja refu zaidi duniani linaloshikiliwa kwa nyaya (cable-stayed bridge)

China imejenga daraja refu zaidi duniani linaloshikiliwa kwa nyaya (cable-stayed bridge)

2. Wakristo, Waislamu na dini nyingine wananyanyaswa sana
Waislamu wananyanyaswaje nchini China? Hizo ni propaganda za media za Magharibi.

China ina Waislamu milioni 30 na wanaishi peacefully.

Kuna misikiti zaidi ya 30,000 nchini China.

Na Xinjiang pekee ina misikiti 20,000 idadi ya misikiti per capita katika jiji la Xinjiang ni kubwa kuliko nchi nyingi za kiislamu.

Na Waislamu wa Xinjiang wanapewa nafasi katika serikali ya China, wanaajiriwa, na wapo ambao ni celebs

Kwa nini media za Magharibi hazizingatii manyanyaso na mauaji ya kweli dhidi ya Waislamu yanayofanywa na Israel ikisaidiwa na Marekani Palestina na sehemu zingine za Middle East?
​
 
Uhuru wa vyombo vya habari umeminywaje nchini China? Ni mitandao ipi ya kijamii ambayo imedhibitiwa China?​
China inaminya uhuru wa vyombo vya habari kupitia censorship na “Great Firewall” inayochuja taarifa na kuzuia mitandao ya nje.
Habari zinatolewa zaidi na media ambazo zipo limited sana na serikali, na wakosoaji wa serikali wanapitia mateso au kifungo.

Mitandao iliyofungiwa ipo kibao tu Facebook, Twitter, Instagram, YouTube, WhatsApp, Google imefungiwa, na Wachina wanalazimika kutumia mbadala wa ndani kama WeChat, Weibo, Douyin, Baidu n.k. ambayo serikali inaweza kucontrol vizuri
 
Hao unawaamini?
Wanaweza sema wamefunga wire kumbe kamba za bigijii, siku mkizama likianguka ndo mtajua mmelizwa.
Mchina akionyesha kidole kulia we tizama kushoto kaficha nini.
 
Hao ni minority huko Marekani, majority hawaishi hivyo
Kwahiyo kama ni minority ndo serikali iwaache hivyo hivyo bila kuwasaidia kuwajengea makazi ya kuishi japo ya gharama nafuu?

Hili tatizo kwa Marekani linaendelea kuwa kubwa siku baada ya siku, na miji mingi Marekani imekuwa michafu na inanuka vinyesi na mikojo sababu ya hilo kundi lililotelekezwa na serikali yao.
 
2. Wakristo, wananyanyaswa sana
Kuna jumla ya Wakristo milioni 23.05 nchini China, ikiwa ni asilimia 1.6 ya watu wote. Na makanisa zaidi ya 70,000

Kuna Wakristo wa Othodoksi wapatao 15,000 nchini China. Wakatoliki wapatao milioni 5.5 nchini China.

Mjini Xinjiang kwenye Waislamu wengi, kuna takriban makanisa 145 ya Kikristo yenye jumla ya Wakristo zaidi ya 60,000. Na wanaishi kwa amani

Wakristo na Waislamu wanaweza kwenda makanisani au misikitini kama kawaida, na kusherehekea sikukuu zao.

Huwezi kusikia watoto wamelawitiwa na maaskofu au ndoa za mashoga kanisani kama Ulaya
​
 
Waislamu wananyanyaswaje nchini China? Hizo ni propaganda za media za Magharibi.
Sio propaganda, mkuu. Hata UN, Amnesty Intl na Human Rights Watch wameripoti mateso ya Waislamu Uyghur.

Misikiti mingi imebomolewa au kubadilishwa matumizi.

Kambi za mafunzo zimewajaza mamia ya Waislamu.

Vijana wanazuiliwa kuingia misikitini. Na wanaoingia wanasachiwa kisawasawa

Kuna picha za setlaiti zinazothibitisha hayo
 
Taja miskiti iloyobomolewa.

Nchi za Kiarabu zilituma wajumbe wao kutembelea Xinjiang kuangalia kama kuna hayo mateso na misikiti kubomewa na hawakukuta hilo.

Ni Waislamu wangapi wasio na hatia wameuliwa na uvamizi wa Wamarekani hapo Middle East?

Kuna misikiti mingapi imebomolewa Palestina, Syria, Yemen na majeshi ya Israel?

Iko wapi U.N kwenda kuchunguza hilo?

Kwa hiyo nchi za Magharibi na U.N wana uchungu zaidi wa Waislamu wa China wanaoishi kwa amani kuliko Waislamu wa M.E au wa Palestina wanaokufa njaa kwa sababu ya Israel kuzuia misaada ya chakula?

Marekani, washirika wake na Israel wamewafanya Waislamu wengi waishi maisha ya kutangatanga kama wakimbizi kwa sababu ya vita walizofanya hapo M.E

U.N Amnesty wamasemaje kuhusu hilo?

Tumia akili na achana na propaganda
​
 
Kuna jumla ya Wakristo milioni 23.05 nchini China, ikiwa ni asilimia 1.6 ya watu wote. Na makanisa zaidi ya 70,000

Kuna Wakristo wa Othodoksi wapatao 15,000 nchini China. Wakatoliki wapatao milioni 5.5 nchini China.

Mjini Xinjiang kwenye Waislamu wengi, kuna takriban makanisa 145 ya Kikristo yenye jumla ya Wakristo zaidi ya 60,000. Na wanaishi kwa amani

Wakristo na Waislamu wanaweza kwenda makanisani au misikitini kama kawaida, na kusherehekea sikukuu zao.

Huwezi kusikia watoto wamelawitiwa na maaskofu au ndoa za mashoga kanisani kama Ulaya
​
Makanisa yanayoruhusiwa ni yale yanayokubali kudhibitiwa na serikali ya kikomunisti. Wachungaji wanaosema ukweli hukamatwa na makanisa yao hubomolewa.
 
Mfumo wao wa very extreme capitalism, hakuna anayejali kuhusu hao masikini
Kama serikali ya Marekani ingekuwa inajali ingemaliza masikini chap maana Marekani ni nchi tajiri kuliko China, so ni mfumo wao wa kinyonyaji na kutojali watu wengine ndio unafanya umasikini uwepo USA
This one I think it's true
 
China inaminya uhuru wa vyombo vya habari kupitia censorship na “Great Firewall” inayochuja taarifa na kuzuia mitandao ya nje.
Habari zinatolewa zaidi na media ambazo zipo limited sana na serikali, na wakosoaji wa serikali wanapitia mateso au kifungo.

Mitandao iliyofungiwa ipo kibao tu Facebook, Twitter, Instagram, YouTube, WhatsApp, Google imefungiwa, na Wachina wanalazimika kutumia mbadala wa ndani kama WeChat, Weibo, Douyin, Baidu n.k. ambayo serikali inaweza kucontrol vizuri
China haijawahi kuzuia mitandao ya Magharibi

Sheria ya China ni kuwa ikiwa una huduma inahitaji taarifa za watumiaji ni lazima uwe na data center ndani ya China ili uruhusiwe kutoa huduma

Meta (Facebook, WhatsApp, Instagram) Twitter, YouTube na Google wakashindwa kutii hiyo sheria, hivyo wakaamua kujiondoa China. Hawakufungiwa na serikali ya China

Makampuni kama Microsoft na Apple walikubali kufungua data centers nchini China ndio maana wao wanaweza kutoa huduma zao kama kawaida
​
 
Kila nchi ina mazuri na mabaya yake. Haya ni mambo mabaya ya China:
1. Hakuna uhuru wa vyombo vya habari - serikali ya China inadhibiti sana mitandao ya kijamii.

2. Wakristo, Waislamu na dini nyingine wananyanyaswa sana

3. China ni maarufu kwa kutengeneza bidhaa feki

4. China ina viiwanda vingi vinavyochafua mazingira (hewa, mito na ardhi)

5. Ripoti nyingi zinaonyesha kwamba makabila madogo hulazimishwa kufanya kazi.

6. Upelelezi wa raia – kamera na teknolojia za AI hutumiwa kufuatilia wananchi kila sehemu.

7. Ukandamizaji wa haki za binadamu – wakosoaji wa serikali hufungwa au kutoweka.

8. Udikteta – chama cha kikomunisti hakiruhusu upinzani au demokrasia.

9. Ukosefu wa uhuru wa kujieleza – wananchi hawawezi kuikosoa serikali bila kuadhibiwa.

10. Sera za kudhibiti idadi ya watoto (mfano one-child policy) zimesababisha matatizo makubwa ya kijamii huko China.

Kila nchi ina mazuri na mabaya yake. Haya ni mambo mabaya ya China:
1. Hakuna uhuru wa vyombo vya habari - serikali ya China inadhibiti sana mitandao ya kijamii.

2. Wakristo, Waislamu na dini nyingine wananyanyaswa sana

3. China ni maarufu kwa kutengeneza bidhaa feki

4. China ina viiwanda vingi vinavyochafua mazingira (hewa, mito na ardhi)

5. Ripoti nyingi zinaonyesha kwamba makabila madogo hulazimishwa kufanya kazi.

6. Upelelezi wa raia – kamera na teknolojia za AI hutumiwa kufuatilia wananchi kila sehemu.

7. Ukandamizaji wa haki za binadamu – wakosoaji wa serikali hufungwa au kutoweka.

8. Udikteta – chama cha kikomunisti hakiruhusu upinzani au demokrasia.

9. Ukosefu wa uhuru wa kujieleza – wananchi hawawezi kuikosoa serikali bila kuadhibiwa.

10. Sera za kudhibiti idadi ya watoto (mfano one-child policy) zimesababisha matatizo makubwa ya kijamii huko China
kariakoo imejaa bidhaa feki za kichina mitumba ya karume ina quality kuliko nguo za kariakoo
 
Ali Mosque huko Linxia (Gansu), Grand Mosque of Weizhou (Ningxia). Na mingine mingi wameondoa minara na dome zake
Hiyo misikiti miwili haikubomolewa bali libadilishwa tu muundo wake

Ni mabadiliko tu kwenye architectural style ibada zinaendelea kama kawaida
​
 
4. China ina viiwanda vingi vinavyochafua mazingira (hewa, mito na ardhi)
Viwanda vya China peke yake vinachangia 40% ya bidhaa zote duniani. Hii ni faida ya viwanda vya China

Na wakati huohuo China ndiyo inaongoza kwa kuzalisha nishati safi (clean and renewable energy)

Pia China ndiyo mzalishaji mkubwa duniani wa vifaa vya clean and renewable energy
​

20250913_111750.jpg
 
5. Ripoti nyingi zinaonyesha kwamba makabila madogo hulazimishwa kufanya kazi.
Hakuna jamii inayolazimishwa kufanya kazi nchini China. Kiasili jamii zote za Wachina zipatazo 56 ni wachapakazi sio goigoi​
 
Back
Top Bottom