Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
6. Upelelezi wa raia – kamera na teknolojia za AI hutumiwa kufuatilia wananchi kila sehemu.
Hii imesaidia China kuwa nchi salama kuliko Ulaya na Marekani.
Wageni kutoka nchi za Magharibi hushangaa sana kuona wanawake wa China wakitembea usiku bila wasiwasi wa kuhofia vibaka au kubakwa kitu ambacho kwao ni hadimu
Ndio maana huwezi kusikia matukio ya mass shooting au assassination kama Marekani.
Unaweza kuacha au kusahau mzigo wako kwenye kituo cha treni na kesho ukaukuta kama ulivyouacha