Marekani iko busy kutumia mamilioni ya kodi za wamarekani huko Israel ili ziwasaidie kuuwa kina mama na watoto wa Gaza. Wakati huo huo maelfu ya wamarekani hawana pakulala wala pakula.China's progress in advanced infrastructure is more than 100 times faster than the US."
– Elon Musk (Feb 2018 on twitter)
Marekani iko busy kutumia mamilioni ya kodi za wamarekani huko Israel ili ziwasaidie kuuwa kina mama na watoto wa Gaza. Wakati huo huo maelfu ya wamarekani hawana pakulala wala pakula.
Marekani iko busy kutumia mamilioni ya kodi za wamarekani huko Israel ili ziwasaidie kuuwa kina mama na watoto wa Gaza. Wakati huo huo maelfu ya wamarekani hawana pakulala wala pakula.
Hao ni minority huko Marekani, majority hawaishi hivyoWakati life expectancy ya China ikiizidi ya Marekani kwa sababu ya mifumo mizuri ya afya na vyakula bora. Hii ndio life la Marekani:
View attachment 3471027
Haya ni makazi ya Wamarekani huko California. Jiji tajiri zaidi duniani by GDP
Hao ni minority huko Marekani, majority hawaishi hivyo
Hao ni minority huko Marekani, majority hawaishi hivyo
Umesema vyema. Na homeless wanazidi kuongezeka siku baada ya sikusasa kama minority mbona nchi yao haipambani kumaliza tatizo hilo kwa haraka?
Naam inabidi aeleze maana , malalamiko ya groceries, healthcare, housing ni kubwa sana, wakati huo huo nchi yao ni mfadhili wa vita kila pembeUmesema vyema. Na homeless wanazidi kuongezeka siku baada ya siku
Inawezekana kuna jiji duniani halina masikini?Ni sawa lakini homeless wapo katika majiji yote ya Marekani hiyo ndio hoja yangu
Kila nchi ina mazuri na mabaya yake. Haya ni mambo mabaya ya China:China imezindua Changtai Yangtze River Bridge huko Jiangsu, daraja jipya linaloshikiliwa kwa nyaya lenye span kuu ya mita 1,208, na kuweka rekodi kama the longest of its kind.
Daraja hili limefunguliwa Septemba 2025 na ni la kipekee kwa kuwa linachanganya expressway, barabara ya kawaida na reli ya mji kwenye muundo mmoja.
Ujenzi wake unaonesha ukubwa wa China kwenye ubunifu wa hali ya juu katika uhandisi na miundombinu mikubwa ya kisasa.
Naam inabidi aeleze maana , malalamiko ya groceries, healthcare, housing ni kubwa sana, wakati huo huo nchi yao ni mfadhili wa vita kila pembe
Mfumo wao wa very extreme capitalism, hakuna anayejali kuhusu hao masikinisasa kama minority mbona nchi yao haipambani kumaliza tatizo hilo kwa haraka?
Inawezekana kuna jiji duniani halina masikini?
Hii ni karibu dunia nzima mkuuKila nchi ina mazuri na mabaya yake. Haya ni mambo mabaya ya China:
1. Hakuna uhuru wa vyombo vya habari - serikali ya China inadhibiti sana mitandao ya kijamii.
2. Wakristo, Waislamu na dini nyingine wananyanyaswa sana
Low price low quality, alafu fafanua bidhaa feki ni nini?3. China ni maarufu kwa kutengeneza bidhaa feki
1. Hakuna uhuru wa vyombo vya habari - serikali ya China inadhibiti sana mitandao ya kijamii.
Bidhaa fake ni kama hizi simu za "iPhone" kutoka China ambazo kiuhalisia sio iPhone original na watu kila siku wanalizwa pale KariakooHii ni karibu dunia nzima mkuu
Low price low quality, alafu fafanua bidhaa feki ni nini?
Actually China ina more unemployment rate kuliko USAYeah ni sahihi Wamarekani wanachapwa na inflation kila kona ya matumizi yao
Na bado gharama za huduma za kijamii zinapaa kila inayoitwa leo
Na kama haitoshi tatizo la ajira na watu kupunguzwa kazi linazidi kukua
Kwa sababu ya inflation, stagnant wages, kupanda kwa gharama za maisha Wamarekani wengi inabidi watumie kadi za mikopo (credit cards) ili wakope na kulipia gharama za kila siku za maisha
Sasa uliza deni la Wamarekani so far.
Kwenye credit cards kwa ujumla Wamarekani wanadaiwa USD 1.2 trillion
JF haipatikani China hata kwa VPN🙂Uhuru wa vyombo vya habari umeminywaje nchini China? Ni mitandao ipi ya kijamii ambayo imedhibitiwa China?