Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
2. Wakristo, Waislamu na dini nyingine wananyanyaswa sana
Kwa hiyo kipimo chako ni JF?JF haipatikani China hata kwa VPN🙂
China inaminya uhuru wa vyombo vya habari kupitia censorship na “Great Firewall” inayochuja taarifa na kuzuia mitandao ya nje.Uhuru wa vyombo vya habari umeminywaje nchini China? Ni mitandao ipi ya kijamii ambayo imedhibitiwa China?
Hii ni aibu kwa nchi inayojiita dunia ya kwanza.Wakati life expectancy ya China ikiizidi ya Marekani kwa sababu ya mifumo mizuri ya afya na vyakula bora. Hii ndio life la Marekani:
View attachment 3471027
Haya ni makazi ya baadhi ya Wamarekani huko California. Jiji tajiri zaidi duniani by GDP
Kwahiyo kama ni minority ndo serikali iwaache hivyo hivyo bila kuwasaidia kuwajengea makazi ya kuishi japo ya gharama nafuu?Hao ni minority huko Marekani, majority hawaishi hivyo
2. Wakristo, wananyanyaswa sana
Sio propaganda, mkuu. Hata UN, Amnesty Intl na Human Rights Watch wameripoti mateso ya Waislamu Uyghur.Waislamu wananyanyaswaje nchini China? Hizo ni propaganda za media za Magharibi.
Unaelewa maana ya bidhaa fake?3. China ni maarufu kwa kutengeneza bidhaa feki
Sio propaganda, mkuu. Hata UN, Amnesty Intl na Human Rights Watch wameripoti mateso ya Waislamu Uyghur.
Misikiti mingi imebomolewa au kubadilishwa matumizi.
Kambi za mafunzo zimewajaza mamia ya Waislamu.
Vijana wanazuiliwa kuingia misikitini. Na wanaoingia wanasachiwa kisawasawa
Kuna picha za setlaiti zinazothibitisha hayo
Makanisa yanayoruhusiwa ni yale yanayokubali kudhibitiwa na serikali ya kikomunisti. Wachungaji wanaosema ukweli hukamatwa na makanisa yao hubomolewa.Kuna jumla ya Wakristo milioni 23.05 nchini China, ikiwa ni asilimia 1.6 ya watu wote. Na makanisa zaidi ya 70,000
Kuna Wakristo wa Othodoksi wapatao 15,000 nchini China. Wakatoliki wapatao milioni 5.5 nchini China.
Mjini Xinjiang kwenye Waislamu wengi, kuna takriban makanisa 145 ya Kikristo yenye jumla ya Wakristo zaidi ya 60,000. Na wanaishi kwa amani
Wakristo na Waislamu wanaweza kwenda makanisani au misikitini kama kawaida, na kusherehekea sikukuu zao.
Huwezi kusikia watoto wamelawitiwa na maaskofu au ndoa za mashoga kanisani kama Ulaya
This one I think it's trueMfumo wao wa very extreme capitalism, hakuna anayejali kuhusu hao masikini
Kama serikali ya Marekani ingekuwa inajali ingemaliza masikini chap maana Marekani ni nchi tajiri kuliko China, so ni mfumo wao wa kinyonyaji na kutojali watu wengine ndio unafanya umasikini uwepo USA
Wewe ni Pro China ikitokea mchina yoyote akijisaidia kinyesi utakilamba na kutuaminisha kuwa ni pilau wakati ni kinyesi..Unaelewa maana ya bidhaa fake?
Ali Mosque huko Linxia (Gansu), Grand Mosque of Weizhou (Ningxia). Na mingine mingi wameondoa minara na dome zakeTaja miskiti iloyobomolewa
China inaminya uhuru wa vyombo vya habari kupitia censorship na “Great Firewall” inayochuja taarifa na kuzuia mitandao ya nje.
Habari zinatolewa zaidi na media ambazo zipo limited sana na serikali, na wakosoaji wa serikali wanapitia mateso au kifungo.
Mitandao iliyofungiwa ipo kibao tu Facebook, Twitter, Instagram, YouTube, WhatsApp, Google imefungiwa, na Wachina wanalazimika kutumia mbadala wa ndani kama WeChat, Weibo, Douyin, Baidu n.k. ambayo serikali inaweza kucontrol vizuri
Kila nchi ina mazuri na mabaya yake. Haya ni mambo mabaya ya China:
1. Hakuna uhuru wa vyombo vya habari - serikali ya China inadhibiti sana mitandao ya kijamii.
2. Wakristo, Waislamu na dini nyingine wananyanyaswa sana
3. China ni maarufu kwa kutengeneza bidhaa feki
4. China ina viiwanda vingi vinavyochafua mazingira (hewa, mito na ardhi)
5. Ripoti nyingi zinaonyesha kwamba makabila madogo hulazimishwa kufanya kazi.
6. Upelelezi wa raia – kamera na teknolojia za AI hutumiwa kufuatilia wananchi kila sehemu.
7. Ukandamizaji wa haki za binadamu – wakosoaji wa serikali hufungwa au kutoweka.
8. Udikteta – chama cha kikomunisti hakiruhusu upinzani au demokrasia.
9. Ukosefu wa uhuru wa kujieleza – wananchi hawawezi kuikosoa serikali bila kuadhibiwa.
10. Sera za kudhibiti idadi ya watoto (mfano one-child policy) zimesababisha matatizo makubwa ya kijamii huko China.
kariakoo imejaa bidhaa feki za kichina mitumba ya karume ina quality kuliko nguo za kariakooKila nchi ina mazuri na mabaya yake. Haya ni mambo mabaya ya China:
1. Hakuna uhuru wa vyombo vya habari - serikali ya China inadhibiti sana mitandao ya kijamii.
2. Wakristo, Waislamu na dini nyingine wananyanyaswa sana
3. China ni maarufu kwa kutengeneza bidhaa feki
4. China ina viiwanda vingi vinavyochafua mazingira (hewa, mito na ardhi)
5. Ripoti nyingi zinaonyesha kwamba makabila madogo hulazimishwa kufanya kazi.
6. Upelelezi wa raia – kamera na teknolojia za AI hutumiwa kufuatilia wananchi kila sehemu.
7. Ukandamizaji wa haki za binadamu – wakosoaji wa serikali hufungwa au kutoweka.
8. Udikteta – chama cha kikomunisti hakiruhusu upinzani au demokrasia.
9. Ukosefu wa uhuru wa kujieleza – wananchi hawawezi kuikosoa serikali bila kuadhibiwa.
10. Sera za kudhibiti idadi ya watoto (mfano one-child policy) zimesababisha matatizo makubwa ya kijamii huko China
Jibu swaliWewe ni Pro China ikitokea mchina yoyote akijisaidia kinyesi utakilamba na kutuaminisha kuwa ni pilau wakati ni kinyesi..
Ali Mosque huko Linxia (Gansu), Grand Mosque of Weizhou (Ningxia). Na mingine mingi wameondoa minara na dome zake
4. China ina viiwanda vingi vinavyochafua mazingira (hewa, mito na ardhi)
5. Ripoti nyingi zinaonyesha kwamba makabila madogo hulazimishwa kufanya kazi.