China imejenga daraja refu zaidi duniani linaloshikiliwa kwa nyaya (cable-stayed bridge)

6. Upelelezi wa raia – kamera na teknolojia za AI hutumiwa kufuatilia wananchi kila sehemu.
Hii imesaidia China kuwa nchi salama kuliko Ulaya na Marekani.

Wageni kutoka nchi za Magharibi hushangaa sana kuona wanawake wa China wakitembea usiku bila wasiwasi wa kuhofia vibaka au kubakwa kitu ambacho kwao ni hadimu

Ndio maana huwezi kusikia matukio ya mass shooting au assassination kama Marekani.

Unaweza kuacha au kusahau mzigo wako kwenye kituo cha treni na kesho ukaukuta kama ulivyouacha
​
 
7. Ukandamizaji wa haki za binadamu – wakosoaji wa serikali hufungwa au kutoweka.
China ina mfumo wa 12345 platform (Discpline Inspection Commission, Bureau of Letters and Calls)

Hapo mwananchi anaweza kupiga simu na kutoa malalamiko au kuripoti matukio kama rushwa n.k na kufanyiwa kazi na serikali

Ikibainika ni kweli serikali ya China inadeal moja kwa moja na kiongozi wa hovyo serikalini kwa kumnyonga, kifungo cha maisha au kuhukumiwa jela miaka kadhaa

Taja haki za binadamu ambazo zinakiukwa na serikali ya China?
​
 
8. Udikteta – chama cha kikomunisti hakiruhusu upinzani au demokrasia.
China haihitaji kuwa na Demokrasia kama ya nchi za Magharibi. Kila nchi inaweza kujiamulia mfumo wake

Kila baada ya miaka 5, kila raia wa China anaweza kupigia kura viongozi wa ngazi ya chini, viongozi ambao wanawakilisha District/County People's Congress

Na hao viongozi wa District/County People's Congress huwa wanawachagua viongozi wa Bunge la Kitaifa la Wananchi.

Kwa mfumo huo China imeweka rekodi ya dunia ya kuwainua mamilioni ya Wachina kutoka kwenye umasikini bila demokrasia ya Magharibi

China imejipata kwenye Socialism with Chinese characteristics

Na hii ndio sababu kulingana na utafiti uliofanywa na Chuo cha Harvard, 90%-95% ya Wachina wameridhishwa na chama cha CPC

Siku nikipata nafasi nitaandika jinsi raisi wa China hupatikana. Mfumo wao hufanya wapate raisi ambaye ni competent
​
 
0Kule China wapiga deal km Abdul na Rostam wapo ?
 
Usisahau kunitag
 
kariakoo imejaa bidhaa feki za kichina mitumba ya karume ina quality kuliko nguo za kariakoo
Marekani na Ulaya zimejaa pia bidhaa genuine kutoka China. Value for money.

Halafu jifunze kutofautisha kati ya bidhaa FAKE na bidhaa yenye ubora HAFIFU
​
 
Marekani iko busy kutumia mamilioni ya kodi za wamarekani huko Israel ili ziwasaidie kuuwa kina mama na watoto wa Gaza. Wakati huo huo maelfu ya wamarekani hawana pakulala wala pakula.
Marekani sasa ni wajinga. Kwanini wasiwafyeke watu wote hapo Gaza na ili swala liishe. Marekani na Israeli no kama wanawachekea hao magaidi. Fyeka wote mpaka vizazi vyao
 
Wakati life expectancy ya China ikiizidi ya Marekani kwa sababu ya mifumo mizuri ya afya na vyakula bora. Hii ndio life la Marekani:

View attachment 3471027

Haya ni makazi ya baadhi ya Wamarekani huko California. Jiji tajiri zaidi duniani by GDP​
Wakazi wengi wa China wanaisha kwenye cages za kuku, vyumba ya 2m×2m.
 
Majiji ya Marekani miaka ya 1970s hadi 1990s hayakuwa na homeless wengi kama sasa

Kila mwaka idadi ya homeless inaongezeka moja ya sababu ni watu kushindwa kuafford house rent
​
Hujajibu swali mkuu!
 
Marekani sasa ni wajinga. Kwanini wasiwafyeke watu wote hapo Gaza na ili swala liishe. Marekani na Israeli no kama wanawachekea hao magaidi. Fyeka wote mpaka vizazi vyao
Kufyeka watu wote mliowakuta katika ardhi zao sio rahisi kama unavyofikiria.

Ndomaana hata mkaburu alijitahidi kufanya hivyo huku akishirikiana na Israel kuwafyeka waafrika Kusini weusi ili South iwe ya makaburu na wayahudi, lkn mwisho wa siku wakashindwa na kunyoosha mikono juu.
 
Wakati life expectancy ya China ikiizidi ya Marekani kwa sababu ya mifumo mizuri ya afya na vyakula bora. Hii ndio life la Marekani:

View attachment 3471027

Haya ni makazi ya baadhi ya Wamarekani huko California. Jiji tajiri zaidi duniani by GDP​
Kwani kuna shida mtu ukiamua kulala kwenye hema siku moja moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…