Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
biashara gani china bwana ya nguo na yutong?Kibiashara anaenda China
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
biashara gani china bwana ya nguo na yutong?Kibiashara anaenda China
Watu mapenzi yamewazidi kwa Marekani mpaka wanashindwa kufikiriSawa elezea features ambacho Mchina amecopy na kupaste kutoka kwa Marekani. Kuna tofauti kubwa sana kati ya copy and paste na innovation
Umewahi kuiona wapi fighter jet ya Marekani ya 6th Gen mpaka useme Mchina amecopy?
Mbona amphibious ship ya Marekani ukilinganisha na ya China ni ya kizamani na ndogo na iko outdated
Uwezo wa China kuwa kila bahari anao eidha kijeshi ama kiuchumi.Kuna kuwa na uwezo wa kufanya kitu ila ukajizuia usikifanye, kuna kutokuwa na uwezo wa kufanya kitu kwahiyo hata kujizuia usifanye huwezi kwa sababu tiyari uwezo wa kukifanya huna.
China hana uwezo wa kuwa kila bahari kuu duniani. Akikaa South China sea, North Pacific na Indian ocean basi yeye kamaliza. Huwezi muona Atlantic akiwa na battle group, au Red Sea na Mediterranean. Wala China hafanyi patrols nyingi bahari za mbali yake.
Miundombinu mingi hapa Afrika sio tu Tanzania nani kawajengea kama sio China!?biashara gani china bwana ya nguo na yutong?
Good for wanyonge,wa JPM na CCMMiundombinu mingi hapa Afrika sio tu Tanzania nani kawajengea kama sio China!?
Hiyo SGR mnataka kumpa tenda nani aiendeleze kama sio China!?
Mpango wa kuiboresha TAZARA unafanyika na nani kama sio China!?
Unaishi dunia gani bro!?
90% ya manufactured goods unazotumia ni za China.
Biashara yoyote unayoijua wewebiashara gani china bwana ya nguo na yutong?
Pia China hawana 6th generation bomber wakati Marekani wana B-21.
China vilevile hawana 5th generation bomber, US wana B-2.
Pia China hawana 6th generation bomber wakati Marekani wana B-21.
China vilevile hawana 5th generation bomber, US wana B-2.
Marekani hawahitaji drone AWACS bali drone tanker ambayo China hawana.
China hawana carrier based AEW&C ndio maana wanataka kuunda kadrone. Marekani anayo E2-D Advanced Hawkeye ambayo inakazidi hako kadude unakoringia
Marekani anayo E2-D Advanced Hawkeye ambayo inakazidi hako kadude unakoringia
Usiseme China hana haja kuwa na presence kila bahari, sema hana uwezo.
Kwa mfano angekuwa na haja, angeenda kwa meli zipi?
Ila sisi watu tuna changamoto sanaCha kuzingatia ni kuwa hizo zote zinaundwa kwa lengo moja tu la kumuua binadamu.
China ana meli ngapi za kufaa kuwa flagships? Ana battle groups ngapi, ana naval air power kiasi gani kumtosheleza kuwa dunia nzima. Sema hawezi usiseme hana haja, sizitaki mbichi hizi.
Marekani hawahitaji drone AWACS