China imeufunga huu mwaka kwa kishindo kikubwa imekuwa nightmare kwa watengeneza silaha wa Marekani na dalali wao Pentagon

China imeufunga huu mwaka kwa kishindo kikubwa imekuwa nightmare kwa watengeneza silaha wa Marekani na dalali wao Pentagon

Sawa elezea features ambacho Mchina amecopy na kupaste kutoka kwa Marekani. Kuna tofauti kubwa sana kati ya copy and paste na innovation

Umewahi kuiona wapi fighter jet ya Marekani ya 6th Gen mpaka useme Mchina amecopy?

Mbona amphibious ship ya Marekani ukilinganisha na ya China ni ya kizamani na ndogo na iko outdated
Watu mapenzi yamewazidi kwa Marekani mpaka wanashindwa kufikiri
 
Kuna kuwa na uwezo wa kufanya kitu ila ukajizuia usikifanye, kuna kutokuwa na uwezo wa kufanya kitu kwahiyo hata kujizuia usifanye huwezi kwa sababu tiyari uwezo wa kukifanya huna.

China hana uwezo wa kuwa kila bahari kuu duniani. Akikaa South China sea, North Pacific na Indian ocean basi yeye kamaliza. Huwezi muona Atlantic akiwa na battle group, au Red Sea na Mediterranean. Wala China hafanyi patrols nyingi bahari za mbali yake.
Uwezo wa China kuwa kila bahari anao eidha kijeshi ama kiuchumi.
Huo uwezo anao 1000%.
Ila kwanini China afanye hivyo!?
China ni mfanyabiashara sio mpigana vita kama USA.
Anachozingatia ni kulinda mipaka yake na ya wale wanaoumzunguka hususan nchi za Asian Pacific.
China amejikita kwenye biashara kuliko kitu kingine.
Mpango wake wa BRI unaingiza pesa kuliko upuuzi wa kusambaza kambi za kijeshi anaoufanya Marekani.
Hizo kambi alizozisambaza US kila kona hakuna faida inayompatia zaidi ya kodi za raia wake kutafunika kijinga tu.
Mambo ya balance of power yalikua ya zamani huko enzi za ukoloni sio sasa.

Kiufupi China ana foreign policy tofauti na USA.
 
biashara gani china bwana ya nguo na yutong?
Miundombinu mingi hapa Afrika sio tu Tanzania nani kawajengea kama sio China!?
Hiyo SGR mnataka kumpa tenda nani aiendeleze kama sio China!?
Mpango wa kuiboresha TAZARA unafanyika na nani kama sio China!?
Unaishi dunia gani bro!?
90% ya manufactured goods unazotumia ni za China.
 
Miundombinu mingi hapa Afrika sio tu Tanzania nani kawajengea kama sio China!?
Hiyo SGR mnataka kumpa tenda nani aiendeleze kama sio China!?
Mpango wa kuiboresha TAZARA unafanyika na nani kama sio China!?
Unaishi dunia gani bro!?
90% ya manufactured goods unazotumia ni za China.
Good for wanyonge,wa JPM na CCM
 
Pia China hawana 6th generation bomber wakati Marekani wana B-21.
Unaongelea ndege ambayo hata bado haijakamilika na wala haijaanza mass production project ya B-21 kwanza ina ufinyu wa bajeti.

Mpaka sasa project inaelekea kufeli na kitakaochokuja kutokea ni kwamba itaishia njiani kama project ya B-1A
 
China vilevile hawana 5th generation bomber, US wana B-2.
B-2 ni madege mabovu ina shida ya kupoteza stealth na landing gear na wakati mwingine kuvujisha hydraulic inahitaji high maintenance requirements na operational costs
 
Pia China hawana 6th generation bomber wakati Marekani wana B-21.

China vilevile hawana 5th generation bomber, US wana B-2.
Mchina ana H-20 bomber hii ni jibu tosha kwa B-21 na B-2

Pia ana H-6K bomber hii iliingia hadi pwani ya Alaska (Marekani) kupiga doria

Bila kusahau CH-7
 
Marekani hawahitaji drone AWACS bali drone tanker ambayo China hawana.
China hawana carrier based AEW&C ndio maana wanataka kuunda kadrone. Marekani anayo E2-D Advanced Hawkeye ambayo inakazidi hako kadude unakoringia
Drone tanker ya nini? Kama ina uwezo wa kurefuel aina 2 tu ya jet fighters F-35C na F-18 ina faida gani?

Drone tanker ni harakati tu za Boeing za upigaji

Mchina amefocus kwenye stealth drone for long range strike ndio maana ana next generation Jetank heavy UAV ambayo Marekani hana
 
Marekani anayo E2-D Advanced Hawkeye ambayo inakazidi hako kadude unakoringia
U.S Navy walikatoa kasoro sana hako kakopo kana weaknesses na deficiences nyingi sana wakati wa kufanya testing hiyo ni takataka
 
I am currently reading "The Return of Great Powers: Russia, China, and the Next World War" by Jim Sciutto.

Fascinating read on the topic.
 
Usiseme China hana haja kuwa na presence kila bahari, sema hana uwezo.

Kwa mfano angekuwa na haja, angeenda kwa meli zipi?
Carriers za Marekani zinahangaika kwa sababu Marekani yuko na conflicts na magaidi, waasi na msuguano na baadhi ya mataifa mfano ni hapo M.E

Halafu mbona warships za China zimeshaonekana sana hata M.E kwa ajili ya escort mission na friendly visits

China ana Amphibious ship zimedizainiwa kusafirisha equipments across long distances na kufanya large scale operations
 
China ana meli ngapi za kufaa kuwa flagships? Ana battle groups ngapi, ana naval air power kiasi gani kumtosheleza kuwa dunia nzima. Sema hawezi usiseme hana haja, sizitaki mbichi hizi.
Hivi Marekani ana warship yoyote ya kuifikia type 055 destroyer ya China?

Tofauti na Marekani ambayo imeipa kipaumbele projection ya military power yake around the globe. Jeshi la China linadeal na China's territorial defense

Na hii ni kwa sababu ya foreign policy ya China ya kutoingilia internal affairs zs sovereignty states

China inafika kila kona ya dunia peacefully kupitia BRI, U.S bombs China builds
 
Back
Top Bottom