China imewataka raia wake waondoke Ukraine haraka

kuna kifurushi maalum kimetumwa kwenda Urusi na mzee Hayatollah kwaajili ya Ukreine.

Shida ya nato maneno na vikao ni vingi kuliko vitendo.some time nawaoa nato wanatembea na upepo wa propaganda kwasababu ya hofu na uoga walionao kwa Putin a.k.a mtu Pori.
 
Kama hujui propaganda ni section muhimu Sana kwenye vita na mara nyingi hutumika kujenga ,kuharibu mipango au morale ya askari walioko mbele na nyuma ya mstari wa mbele. Pande zote za vita lazima zifanye propaganda ili kupata sympathy au kuungwa mkono. Kama hujapata taarifa directly from front line utakachoongea either ni mihemko au pedagogies mbaya zilizotumika kuwafundisha huko mashuleni
 
kuna kifurushi maalum kimetumwa kwenda Urusi na mzee Hayatollah kwaajili ya Ukreine.

Shida ya nato maneno na vikao ni vingi kuliko vitendo.some time nawaoa nato wanatembea na upepo wa propaganda kwasababu ya hofu na uoga walionao kwa Putin a.k.a mtu Pori.
propaganda imepeleka vita miez 8 , sio kwamba propaganda imewakwamisha Urusi kuiteka kiev ? muda mwingine ushabik unakuingiza ukichaa bila kujua
 
NATO ni Mbwa koko
 
Ila Putin ni namfananisha na mtoto mtundu ...yaaan km hujui unamuona mpoleee ila vumbi lake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
propaganda imepeleka vita miez 8 , sio kwamba propaganda imewakwamisha Urusi kuiteka kiev ? muda mwingine ushabik unakuingiza ukichaa bila kujua
Wewe Nani kakumbia Urusi wanataka kuiteka Kiev?
 
Naona deployment kubwa sana ya kamikaze from all angles na Kiev ni centre ya mapigano mpaka mtu anyooshe mikono.

Na nahisi bulava will be deployed ti break bunkers once CiC is at large. Vita inaisha na watoa msaada ndio mwisho.
 
Back
Top Bottom