China inaongoza kwa ulaji wa nyama ya Nguruwe Duniani

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Nchi ya China ndiyo inayoongoza Kwa wananchi wake kwa ulaji wa nguruwe duniani.

Inakadiriwa wananchi wa China hula wastani wa kilo 70 za kitimoto kwa mwaka.

Nchi namba mbili ni Belarusia Ikifuatiwa namba tatu na Korea ya kusini, Jumuiya Ulaya na Vietnam kwa pamoja.

Kwa Afrika, Afrika ya Kusini ndiyo nchi inayoongoza kwa ulaji wa kitimoto.
 
Culture yao ina influence aina ya vyakula wanavyokula
 
China wana dini 5, buddhism, taoism,christia (protestant na catholics), na islam

Japo kubwa zaid ni buddhim na taoism zaidi sababu ya culture yao
Check facts zako kwanza
Hata maelezo yako hitimisho kuwa china ni Buddha.

Iran kuna wakristo lakini idadi ya waislamu walioko Irani na mifumo yake ya kuabudu inaifanya nchi hiyo kuwa ya Kiislamu.

Kutokuzitaja hizo dini nyingine siyo kutozipa umuhimu bali hoja ilikuwa dini na ulaji wa kitimoto.
 
Nchi ya China ndiyo inayoongoza Kwa wananchi wake kwa ulaji wa nguruwe duniani.

Inakadiriwa wananchi wa China hula wastani wa kilo 70 za kitimoto kwa mwaka.

Nchi namba mbili ni Belarusia Ikifuatiwa namba tatu na Korea ya kusini, Jumuiya Ulaya na Vietnam kwa pamoja.

Kwa Afrika, Afrika ya Kusini ndiyo nchi inayoongoza kwa ulaji wa kitimoto.
Wastan wa kilo 70 kwa mwaka mbona ni ndogo.
 
Back
Top Bottom