China inaongoza kwa ulaji wa nyama ya Nguruwe Duniani

China inaongoza kwa ulaji wa nyama ya Nguruwe Duniani

Nchi ya China ndiyo inayoongoza Kwa wananchi wake kwa ulaji wa nguruwe duniani.

Inakadiriwa wananchi wa China hula wastani wa kilo 70 za kitimoto kwa mwaka.

Nchi namba mbili ni Belarusia Ikifuatiwa namba tatu na Korea ya kusini, Jumuiya Ulaya na Vietnam kwa pamoja.

Kwa Afrika, Afrika ya Kusini ndiyo nchi inayoongoza kwa ulaji wa kitimoto.
kilo 70?
 
Ni wakati Sasa Janabi akawape ilimu madhara ya nyama ya nguruww
 
Kwahiyo wananchi wa china wengi wana mapepo sasa,Maana kipindi kile YESU alipoyafukuza mapepo kwa watu aliyatupia kwenye nguruwe
Wachina wengi hawajui Yesu ni nini! Na wachache wanaojua wanaamini mafundisho mengi ya Yesu aliyaiga kutoka Taoism, Confucianism na Buddhism. Na ushahidi ni kwamba dini zao hizo zilikuwepo miaka mia mingi sana kabla ya huyo Yesu kuja.
 
Back
Top Bottom