China inaongoza kwa ulaji wa nyama ya Nguruwe Duniani

China inaongoza kwa ulaji wa nyama ya Nguruwe Duniani

Ni nyingi mkui, hapa Zanzibar kwa mama Janet nakula kilo 1 kwa wiki sasa kwa mwezi kilo 4, kwa mwaka kilo 48. Sijafika kilo 70.
 
Nchi ya China ndiyo inayoongoza Kwa wananchi wake kwa ulaji wa nguruwe duniani.

Inakadiriwa wananchi wa China hula wastani wa kilo 70 za kitimoto kwa mwaka.

Nchi namba mbili ni Belarusia Ikifuatiwa namba tatu na Korea ya kusini, Jumuiya Ulaya na Vietnam kwa pamoja.

Kwa Afrika, Afrika ya Kusini ndiyo nchi inayoongoza kwa ulaji wa kitimoto.
Unavyo fanya mlinganisho unatakiwa kuangalia vitu vingi mojawapo ni idadi ya watu. Maana Bongo unaweza kukuta watu wenye Kula Wana wastani wa kilo 100 kwa mwaka
 
Kwahiyo wananchi wengi wa china wana mapepo maana kipindi kile YESU baada ya kuyaondoa mapepo kwa watu aliyatupia kwenye nguruwe
Kuna utot halafu kuna utoto wa kipumbavu kama huu.
Mbona shetani alitupwa duniani lakini ninyi bado mpo mnazaliana duniani na mnakula ya dunia?
Pamoja na dunia kuwa chini utawala wa shetani lakini bado mnaifurahia]!
 
Kwahiyo wananchi wa china wengi wana mapepo sasa,Maana kipindi kile YESU alipoyafukuza mapepo kwa watu aliyatupia kwenye nguruwe
Akili za hovyo,. Ulisoma vizuri Bible kweli!? Unaijua wale nguruwe walienda wapi!? Na uliambiwa wale ndio nguruwe waliokuwepo nchi/Dunia nzima!?
Nyama ya nguruwe ni tamu sana❤️.
 
No research no right to Speak - Chairman Mao.
Ni hivi aslimia
Kuhusi kula nyama za kiti Moto sihitaji tena kufanya utafiti mama; tayari China imetajwa kwenye uzi hu so why should i go for another research? Swali ulilo uliza kwamba wana changamoto ya minio ni nikakwambia, "Minyoo ni changamoto kwa vijinchi masikin" mwisho ndio nikailiza, hivi kuna mnio unaweza kuishi kwenye joto kali vile?
Well, may be, let's come back 2u madame, pamoja na China kula sana nyama ya kitimoto ambayo ni mbichi (this is according 2u ) je statistics zao kwenye magonjwa yasababishwao na kitimoto (minio ) ikoje?
Just for your information; kwenye communicable diseases mgonjwa mwenye umri wa <45 yrs of age ilitokea amekufa tena afie hospital, Wachina wanajiuliza sana kwamba why, how?
Mpange huyo madame mjuaji kuwa . solium taeniosis/cysticercosis/neurocysticercosis haisambai kwakula nyama ya pork tu.
Unaweza kuwa hauli kitimoto na ukaumwa via ingestion of contaminated water or food.
. Kutokuwa na matumizi mazuri ya vyoo pia
. Ufugaji holela wa nguruwe
Hizi sababu zote zipo zaidi kwenye nchi maskini au uchumi wa Kati.
 
Nchi ya China ndiyo inayoongoza Kwa wananchi wake kwa ulaji wa nguruwe duniani.

Inakadiriwa wananchi wa China hula wastani wa kilo 70 za kitimoto kwa mwaka.

Nchi namba mbili ni Belarusia Ikifuatiwa namba tatu na Korea ya kusini, Jumuiya Ulaya na Vietnam kwa pamoja.

Kwa Afrika, Afrika ya Kusini ndiyo nchi inayoongoza kwa ulaji wa kitimoto.
🐷🐷🐷🐷 Ritz
 
Back
Top Bottom