sanya naibil
Senior Member
- Sep 9, 2024
- 122
- 151
hhahahaha liwalo na liweeee kumla hatuachiiiWanapenda kunukuu biblia nusu nusu lengo wapotoshe watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hhahahaha liwalo na liweeee kumla hatuachiiiWanapenda kunukuu biblia nusu nusu lengo wapotoshe watu.
Nenda njembe wilaya ludewa au manda kule ziwani mahari ya nguruwe watu wanatoaa na unapewa bint m bichiii mkaanze maishaKilichofuata nguruwe walikimbia baada ya kuingiwa na mapepo na ndo maana kwenye sadaka za kuteketezwa walikuwa wanatoa mwanakondoo,hawakuwahi kutoa nguruwe kama sadaka,na ndo maana hata now mfano,sijawah kuona ata mtu kaenda kutoa mahari akapeleka nguruwe
Wanaoongoza kula vyakula vibichi ni wachina.Sister; hilo tatizo lipo nchi masikini huku. Again; hivi kuna mnioo unaweza kuishi hadi kwenye joto la zaidi ya 100'C?
Duh huku kanda ya ziwa cjawah onaNenda njembe wilaya ludewa au manda kule ziwani mahari ya nguruwe watu wanatoaa na unapewa bint m bichiii mkaanze maisha
Huku kanda za ziwa ngo'ombe na mbuzi wengii hahahhaha mie mwenyewe nlishangaaa Ila ndo uhalisia wa pande za kule kunakabila LA wapangwa huko wanapeana ktmoto unapewa mkeDuh huku kanda ya ziwa cjawah ona
Huku unaweza tolewa spidi na manguruwe yako mzeeHuku kanda za ziwa ngo'ombe na mbuzi wengii hahahhaha mie mwenyewe nlishangaaa Ila ndo uhalisia wa pande za kule kunakabila LA wapangwa huko wanapeana ktmoto unapewa mke
Astaghafillulah? Hawa jamaa kumbe tunawashabikia wao ni makafir na wanakula kitimoto? Sina hamu nao kabisa......Nchi ya China ndiyo inayoongoza Kwa wananchi wake kwa ulaji wa nguruwe duniani.
Inakadiriwa wananchi wa China hula wastani wa kilo 70 za kitimoto kwa mwaka.
Nchi namba mbili ni Belarusia Ikifuatiwa namba tatu na Korea ya kusini, Jumuiya Ulaya na Vietnam kwa pamoja.
Kwa Afrika, Afrika ya Kusini ndiyo nchi inayoongoza kwa ulaji wa kitimoto.
Halafu wengine wakayafanya maumini ya dini zao kabisa.....🤣🤣🤣 Nguruwe waliona bora kufa kuliko kuishi na mapepo.nao wakajitupa baharini🤣🤣🤣Kwahiyo wananchi wa china wengi wana mapepo sasa,Maana kipindi kile YESU alipoyafukuza mapepo kwa watu aliyatupia kwenye nguruwe
Tunajaribu kumuelewesha lakini jeuri na kuvimbisha kichwa, anajifanya yeye anasoma tafiti, tafiti za wapi? Huko shuleni sijui kasomea Nini na kadiploma chake. Wenzie tumekaa darasani kusomea Hilo na tafiti kibao yeye analeta ubishi hapa.Sister; hilo tatizo lipo nchi masikini huku. Again; hivi kuna mnioo unaweza kuishi hadi kwenye joto la zaidi ya 100'C?
Kuhusi kula nyama za kiti Moto sihitaji tena kufanya utafiti mama; tayari China imetajwa kwenye uzi hu so why should i go for another research? Swali ulilo uliza kwamba wana changamoto ya minio ni nikakwambia, "Minyoo ni changamoto kwa vijinchi masikin" mwisho ndio nikailiza, hivi kuna mnio unaweza kuishi kwenye joto kali vile?Wanaoongoza kula vyakula vibichi ni wachina.
Nakushauri fanya utafiti kidogo kabla hujakurupuka na majibu.
No research no right to Speak - Chairman Mao.Kuhusi kula nyama za kiti Moto sihitaji tena kufanya utafiti mama; tayari China imetajwa kwenye uzi hu so why should go for another research? Swali ulilo uliza kwamba wana changamoto ya minio ni nikakwambia, "Minyoo ni changamoto kwa vijinchi masikin" mwisho ndio nikailiza, hivi kuna mnio unaweza kuishi kwenye joto kali vile?
Well, may be, let's come back 2u madame, pamoja na China kula sana nyama ya kitimoto ambayo ni mbichi (this is according 2u ) je statistics zao kwenye magonjwa yasababishwao na kitimoto (minio ) ikoje?
Just for your information; kwenye communicable diseases mgonjwa mwenye umri wa <45 yrs of age ilitokea amekufa tena afie hospital, Wachina wanajiuliza sana kwamba why, how?
Halafu wengine wakayafanya maumini ya dini zao kabisa.....
Shida ya dada yetu (binafsi nampenda sana ) kila argument lazima ailazimishe ikae au ifanane na Uislam. Sijui enzi zake wakati bado anazaa kama aliruhusu mwili wake kushikwa na Mkristo huko hospitalTunajaribu kumuelewesha lakini jeuri na kuvimbisha kichwa, anajifanya yeye anasoma tafiti, tafiti za wapi? Huko shuleni sijui kasomea Nini na kadiploma chake. Wenzie tumekaa darasani kusomea Hilo na tafiti kibao yeye analeta ubishi hapa.
Na wanaishi vizuri kuliko hao tunaosema wana dini.Nchi zisizokuwa na dini lazima ziongoze
Nguruwe wenye pepo walikufa wote mkuu rejea biblia.Kwahiyo wananchi wa china wengi wana mapepo sasa,Maana kipindi kile YESU alipoyafukuza mapepo kwa watu aliyatupia kwenye nguruwe
Kilo 70 hizo ni kwa mtu mmoja wastani. Ni watanzania wachache sana wanaofikisha wastani wa kula nyama za kawaidaWastan wa kilo 70 kwa mwaka mbona ni ndogo.
Sasa wewe unataka nipingane na research iliotumwa humu? Jibu swali, Wachina wana changamoto ya magonjwa ya minyoo? Or else pinga kwamba Wachina sio miongoni mwa nchi zinazo gonga kitimotoNo research no right to Speak - Chairman Mao.
Hawa ni hatari mno kwa kitimotoKorea ya kusini
Tena Wakorea hao ukinunua pork ribs unaonekana tajiriHawa ni hatari mno kwa kitimoto
Dini gani inakataza kula kitimoto?Nchi zisizokuwa na dini lazima ziongoze