China inaongoza kwa ulaji wa nyama ya Nguruwe Duniani

China inaongoza kwa ulaji wa nyama ya Nguruwe Duniani

Vipi minyoo ya nguruwe haiongozi pia?
Nchi nyingi zinazoathirika na minyoo ya nguruwe (taenia solium) ni zile za uchumi wa Kati. Ni sababu ni kutokupika vizuri ( undercooking) au kula nguruwe walioathirika sana.
Pia matumizi hovyo ya choo ( sanitation)
Pamoja na kula au kunywa contaminated. Huko ni kidogo sana sababu ya kuzingatia.
 
Nakushauri fanya utafiti japo wa mtandaoni tu kabla hujajibu.

Huwa sikisii.
 
Ni kweli kabisa wakiweka buffet za misosi kitimoto huwa haikosi.

Na kitimoto yao ni tamu sana ase.
 
Na ndio wenye akili zaidi duniani na Africa ikiwiwepo Tanzania tuliodanganywa na MWARABU na dini yake kuwa nguruwe ni haramu tunategemea bidhaa na teknolojia ya wachina Wala nguruwe kwa 95%
Ninachowapendea waislamu wanakataa pombe na kitimoto sisi tunakula wakiishiwa damu tunawapa hospital so tunabalance haram
 
Wame improve bora wameanza kuondoka na kula kila takataka na kunogewa na nguruwe...ni hatua nzuri kuondokana na kula vitu vya ajabu ajabu
Wachina wamekuwa wakila nguruwe miaka elfu sasa
 
Nchi ya China ndiyo inayoongoza Kwa wananchi wake kwa ulaji wa nguruwe duniani.

Inakadiriwa wananchi wa China hula wastani wa kilo 70 za kitimoto kwa mwaka.

Nchi namba mbili ni Belarusia Ikifuatiwa namba tatu na Korea ya kusini, Jumuiya Ulaya na Vietnam kwa pamoja.

Kwa Afrika, Afrika ya Kusini ndiyo nchi inayoongoza kwa ulaji wa kitimoto.
Asili ya uumbaji ilianza kwanza Dini zikaja baadae!

Asili Ina nguvu kuliko Dini,Dini ni juhudi za kudidimiza Sheria ya asili ya uumbaji!!

Uzao wa Adamu uliendelezwa kwa kaka na dada kulana !Leo ni dhambi kubwa sana,pia Lutu akalana na watoto wake ili kutunza uzao!Leo ni dhambi kubwa Asili Ina nguvu sana Hadi leo!Kuna vizee vinakula faida kwanza kabla ya mkwe kula ni aibu tupu!
 
Kilo 70 mbona hata hapa kijijini kwetu tunamaliza kwa siku? Au mleta mada ulikuwa unakimbizwa ukakosea figure

Back
Top Bottom