China inaongoza kwa ulaji wa nyama ya Nguruwe Duniani

China inaongoza kwa ulaji wa nyama ya Nguruwe Duniani

Nchi ya China ndiyo inayoongoza Kwa wananchi wake kwa ulaji wa nguruwe duniani.

Inakadiriwa wananchi wa China hula wastani wa kilo 70 za kitimoto kwa mwaka.

Nchi namba mbili ni Belarusia Ikifuatiwa namba tatu na Korea ya kusini, Jumuiya Ulaya na Vietnam kwa pamoja.

Kwa Afrika, Afrika ya Kusini ndiyo nchi inayoongoza kwa ulaji wa kitimoto.
Ile miili tu imekaa kama kiti moto😅😅
 
Nchi ya China ndiyo inayoongoza Kwa wananchi wake kwa ulaji wa nguruwe duniani.

Inakadiriwa wananchi wa China hula wastani wa kilo 70 za kitimoto kwa mwaka.

Nchi namba mbili ni Belarusia Ikifuatiwa namba tatu na Korea ya kusini, Jumuiya Ulaya na Vietnam kwa pamoja.

Kwa Afrika, Afrika ya Kusini ndiyo nchi inayoongoza kwa ulaji wa kitimoto.
Na ndio wenye akili zaidi duniani na Africa ikiwiwepo Tanzania tuliodanganywa na MWARABU na dini yake kuwa nguruwe ni haramu tunategemea bidhaa na teknolojia ya wachina Wala nguruwe kwa 95%
 
Malizia hiyo story. Baada ya kuyatupia mapepo nini kilifuata?
Kilichofuata nguruwe walikimbia baada ya kuingiwa na mapepo na ndo maana kwenye sadaka za kuteketezwa walikuwa wanatoa mwanakondoo,hawakuwahi kutoa nguruwe kama sadaka,na ndo maana hata now mfano,sijawah kuona ata mtu kaenda kutoa mahari akapeleka nguruwe
 
Wachina sijui ni hawajui kupika mdudu au mapishi yao ndo yapo vile nyama inakua na mafuta sanaa pili pili Kwa wingi afu inakua na harufu flan sijui wanaweka nn
Viungo vingi na hawaikaushi sana, yani wanavyoshika limnofu na kulitafuna na kumeza basi mwenzio napataga udenda, ni km ile hali unahisi ukitizama porn nzuri nzuri, hapa nishachungulia jinsi wanavyobugia mdudu
 
Kwa idadi ya Wachina ambao ni Bilioni 1.4 Kwa hizo idadi ya Kilo 70 wanazokula Kwa Mwaka ni wastani wa kilo bilioni 98 ambao Kwa wastani wa uzito wa nguruwe mmoja wa kilo 200 ni sawa na almost nguruwe milioni 49 hivi Kwa Mwaka.

Kwa Mujibu wa Sensa ya Wanyama ya Mwaka 2021, Tanzania ina wastani wa nguruwe milioni 3.2

Kwahiyo kukidhi mahitaji ya Nguruwe Kwa Nchi ya China, tunahitaji miaka 15 kuweza kuwalisha Wachina nyama ya Nguruwe ya Mwaka mmoja tu 🙌
 
Back
Top Bottom