Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Nani alikuambia china haina dini?Nchi zisizokuwa na dini lazima ziongoze
Ni Buddha hao jamaa. Wana dini lakini siyo hizi zetu za ukristo, uislamu na uchawi.Nchi zisizokuwa na dini lazima ziongoze
Culture yao ina influence aina ya vyakula wanavyokulaNchi ya China ndiyo inayoongoza Kwa wananchi wake kwa ulaji wa nguruwe duniani.
Inakadiriwa wananchi wa China hula wastani wa kilo 70 za kitimoto kwa mwaka.
Nchi namba mbili ni Belarusia Ikifuatiwa namba tatu na Korea ya kusini, Jumuiya Ulaya na Vietnam kwa pamoja.
Kwa Afrika, Afrika ya Kusini ndiyo nchi inayoongoza kwa ulaji wa kitimoto.
Yes. Inawezekana kabisa.Culture yao ina influence aina ya vyakula wanavyokula
China wana dini 5, buddhism, taoism,christia (protestant na catholics), na islamNi Buddha hao jamaa. Wana dini lakini siyo hizi zetu za ukristo, uislamu na uchawi.
Na mimi natakaaaNdio nipo nakitafuna hapa; huyu kiumbe ni mtamu sana
Tatizo hutaki kuwa wanguNa mimi natakaaa
Hata maelezo yako hitimisho kuwa china ni Buddha.China wana dini 5, buddhism, taoism,christia (protestant na catholics), na islam
Japo kubwa zaid ni buddhim na taoism zaidi sababu ya culture yao
Check facts zako kwanza
Ndo maana jua ni kaliTatizo hutaki kuwa wangu
Wastan wa kilo 70 kwa mwaka mbona ni ndogo.Nchi ya China ndiyo inayoongoza Kwa wananchi wake kwa ulaji wa nguruwe duniani.
Inakadiriwa wananchi wa China hula wastani wa kilo 70 za kitimoto kwa mwaka.
Nchi namba mbili ni Belarusia Ikifuatiwa namba tatu na Korea ya kusini, Jumuiya Ulaya na Vietnam kwa pamoja.
Kwa Afrika, Afrika ya Kusini ndiyo nchi inayoongoza kwa ulaji wa kitimoto.
Huku nilipo baridi ni kali na manyunyu yakitiririka taratibu; njoo ule nyama yenye rangi ya dhahabu na mvinyo kwa pembeniNdo maana jua ni kali
Nguruwe baada ya kutupiwa majini alikimbilia kwenye maji,mbona hamuachi kunywa maji wakati kitimoto alikimbilia kwenye majiKwahiyo wananchi wengi wa china wana mapepo maana kipindi kile YESU baada ya kuyaondoa mapepo kwa watu aliyatupia kwenye nguruwe