China inatumia Tiktok kuadvance agenda zake kimataifa kwanini Tanzania isitumie app za ndani kama JamiiForums Kudominate Global tech??

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
2,597
Reaction score
3,965
Wakuu nauliza tu!!

Kulingana na dunia inavo enda Tech giant zinapewa pesa na serikali zao kusambaza ajenda na maslahi ya nchi zao!!

Tanzania tuna ajenda nyingi ambazo tunaweza kuzitumia tech zetu hata kama ndogo kuadvance kwene uso wa dunia

Mfano ni hii JamiiForums ambayo mizizi yake ni hapa Tanzania!

Badala ya kuhangaika kufuta nyuzi,ka kudhibiti maudhui yasiyopendwa !

Inaweza chukua fursa hii kuongeza ushawishi wa Lugha, tamaduni , Kiuchumi na technolojia kupitia hizi mitandao inayotengenezwa hapa nchini.

Kama vile Marekani inavotumia twitter,facebook, na instagram

Au china inavotumia tiktok au deep seek
 
JF hii hii au nyingine!?
 
Wachina wamekazana kuonesha teknolojia zao huko tik tok, wapo mpaka wapishi, wafinyanga vyungu, wachoraji, watengeneza zana ndogondogo za kilimo, hawajaacha kitu hata kimoja. Tanzania tunafeli wapi?
 
Labda kwanza uwaondoe Mods wote ili kusiwe na vikwazo vya kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ