China inatumia Tiktok kuadvance agenda zake kimataifa kwanini Tanzania isitumie app za ndani kama JamiiForums Kudominate Global tech??

Templates utumie kuteka dunia. Ni wazi Unauelewa mdogo sana wa tec
Wewe huelewi!!
Nimesema serikali kuwekeza kwene Tech za ndani!!
Chukulia mfano Tiktok umefikiri serikali imemuwezeshaje jamaa hasa capital au ujuzi!!

Au uliona serikali ya china ilivokua inapambana kuhusu huawee!!??
 
Wakuu nauliza tu!!

Kulingana na dunia inavo enda Tech giant zinapewa pesa na serikali zao kusambaza ajenda na maslahi ya nchi zao!!

Tanzania tuna ajenda nyingi ambazo tunaweza kuzitumia tech zetu hata kama ndogo kuadvance kwene uso wa dunia

Mfano ni hii JamiiForums ambayo mizizi yake ni hapa Tanzania!

Badala ya kuhangaika kufuta nyuzi,ka kudhibiti maudhui yasiyopendwa !

Inaweza chukua fursa hii kuongeza ushawishi wa Lugha, tamaduni , Kiuchumi na technolojia kupitia hizi mitandao inayotengenezwa hapa nchini.

Kama vile Marekani inavotumia twitter,facebook, na instagram

Au china inavotumia tiktok au deep seek
Jf originaly ni kuwafikia watanzania but not internatiob users, itawabidi wa comply na masharti ya sheria za nchi zingine, mfano zipo nchi zinataka information za users ziwe disclosed pale anapoonekana kuipinga serikali, which ni kinyume na miiko ya jf ambao wanatapa kuilinda privacy ya mtumiaj wake
 
Sio kwa mambumbu viongozi wa taifa hili.
Ukitaka kuona hakuna hata ujasusi wa kiuchumi kuwafanya watu wetu kuwa matajiri katika sphere za kimataifa..wapo tyari kuwainua wahindi na waarabu lkn sio watanzania wenzao.
 
yaan we ndo unajidanganya
hamna app ambayo haitoi taarifa kwa serikali

Uliza telegram kilichowakuta walipojifanya wajuaji
 
Sio kwa mambumbu viongozi wa taifa hili.
Ukitaka kuona hakuna hata ujasusi wa kiuchumi kuwafanya watu wetu kuwa matajiri katika sphere za kimataifa..wapo tyari kuwainua wahindi na waarabu lkn sio watanzania wenzao.
Aisee
 
Wakuu nauliza tu!!

Kulingana na dunia inavo enda Tech giant zinapewa pesa na serikali zao kusambaza ajenda na maslahi ya nchi zao!!

Tanzania tuna ajenda nyingi ambazo tunaweza kuzitumia tech zetu hata kama ndogo kuadvance kwene uso wa dunia

Mfano ni hii JamiiForums ambayo mizizi yake ni hapa Tanzania!

Badala ya kuhangaika kufuta nyuzi,ka kudhibiti maudhui yasiyopendwa !

Inaweza chukua fursa hii kuongeza ushawishi wa Lugha, tamaduni , Kiuchumi na technolojia kupitia hizi mitandao inayotengenezwa hapa nchini.

Kama vile Marekani inavotumia twitter,facebook, na instagram

Au china inavotumia tiktok au deep seek
Agenda gani mkuu.. TikTok algorithm yake inaendana na unachokipenda kwa mda sahihi mfano kama unapenda wine na rhumba ikifika ijumaa jioni unashangaa video za wine na Rhumba hizooo
 
Back
Top Bottom