China inatumia Tiktok kuadvance agenda zake kimataifa kwanini Tanzania isitumie app za ndani kama JamiiForums Kudominate Global tech??

China inatumia Tiktok kuadvance agenda zake kimataifa kwanini Tanzania isitumie app za ndani kama JamiiForums Kudominate Global tech??

Big Corporations hazina nchi wala bendera, they are after more users; which amounts to profit na power; By the way wewe unaweza battle za kupigana na kina giants Binance, Meta na Google et al, wakati kwenye mambo madogo tu kama Nishati safi wakati tuna umeme wa kutosha bado tunatumia kodi kuagiza gesi nje ? Yaani tumeshindwa kutumia tulichonacho na kuanzia tulipo...
Just imagine, kaka bonge la point kabisa hilo
 
Hivi viwili ni tofauti kabisa na huwezi kuvilunganisha. Kwa mfano nwepesi
Jamii forum ni mtumiaji wa application kama watumiaji wengine.
TikTok ni muundaji wa application ilio fanikiwa duniani
 
Wachina wamekazana kuonesha teknolojia zao huko tik tok, wapo mpaka wapishi, wafinyanga vyungu, wachoraji, watengeneza zana ndogondogo za kilimo, hawajaacha kitu hata kimoja. Tanzania tunafeli wapi?
Sisi wabongo especially madem huko tiktok wanaonesha makalio yao makubwa na kuyatingisha

Ova
 
Back
Top Bottom