Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
- Thread starter
- #41
Ebu kikueleweshe kidogoAgenda gani mkuu.. TikTok algorithm yake inaendana na unachokipenda kwa mda sahihi mfano kama unapenda wine na rhumba ikifika ijumaa jioni unashangaa video za wine na Rhumba hizooo
Tiktok inaweza kukusanya taarifa zawatu duniani kote ( Hyo inawapa advantage china kwene Espionage)
Kwa kupendwa na watu wengi wanaweza kuwashawishi raia wa nchi kama marekani hasa kisera, biashara, kitamaduni.
Kifupi inafanya raia wa nchi nyingine kutegemea nchi nyingine.
Kama ilivo baadhi wa tanzania bila instagram hawali
bila youtube maisha hayaendi
Bila twitter watu hawapat kipato.
Siku serikali kali ikitaka kuzima hii mitandao raia watakua upande wa marekani kwan ndo inaowalisha .
Mfano nimekupa kulingana na uwezo wako.
Mifano mikubwa huwezi elewa