ASA kaka unamwekea vikwazo mchina ktk kampuni yake ya huawei unaacha Oppo na xiaomi zi prevail ziingie tano bora ktk simu bora ulimwenguni hapo ni sawa umefanya nini?Huawei imekuaje kama hawawezi wekewa vikwazo
hiyo ni kampuni hata china anaweza wekea vikwazo makampuni ya US lakini kuwekea vikwazo nchi ya china kama taifa kwa ujumla ni imposiboHuawei imekuaje kama hawawezi wekewa vikwazo
True Kama google aupoteza mteja mhim sana kwa ustawi wa watu wa USA kupoteza 8b usd si swala la kitotoKaka vile vikwazo viliikandamiza USA kuliko China kwasababu kwa kiasi kikubwa viwanda vya Marekani vinategemea malighafi kutoka China.
Nakupa kaujanja nchi zilizokopeshwa mostly zitakuwa za bara letu Kwa sababu flan flanKaka jaribu kuiangalia kauli yangu kwa upande wa pili.
Hiyo USA haijafikia kiwango hiko.
Km una bank yenye nguvu km hiyo sidhani km utakosa kuteka ushawishi was kimataifa.
Hiyo habari ya kuwa na uchumi mkubwa kuliko USA mnazitoaga wapi? Kwamba GDP ya China ni kubwa kuliko USA. toka lini?matumizi ya dola ndio yanafanya vikwazo vinakua vikali ila china hataki yuan iende kimataifa kama dola na hua anaishusha thamani yake kila kukicha, china ndio nchi pekee haiwezi kuwekewa vikwazo na marekani kwasababu ina uchumi mkubwa kuliko wa marekani
Unabushana na IMFHiyo habari ya kuwa na uchumi mkubwa kuliko USA mnazitoaga wapi? Kwamba GDP ya China ni kubwa kuliko USA. toka lini?
google ndugu, au tafta report ya imf ya mwaka jana kila kitu kimesemwa sio kwamba ni siriHiyo habari ya kuwa na uchumi mkubwa kuliko USA mnazitoaga wapi? Kwamba GDP ya China ni kubwa kuliko USA. toka lini?
Hawafuatilii statistics zozote wanachangia hio GDP inaongoza USA inafuata China Japan Then German Kwa mwaka uliopitaHiyo habari ya kuwa na uchumi mkubwa kuliko USA mnazitoaga wapi? Kwamba GDP ya China ni kubwa kuliko USA. toka lini?
Naomba uweke hapa GDP za nchi Top 5.google ndugu, au tafta report ya imf ya mwaka jana kila kitu kimesemwa sio kwamba ni siri
We hufuatilii kitu chochote na huna unachokijuaUnabushana na IMF
Ngoja aje na data zake IMF apindue mezaWe hufuatilii kitu chochote na huna unachokijuaView attachment 1885992
Sent from my SH-04H using JamiiForums mobile app
IMF Admits China Has Overtaken The US As The World’s Largest Economy; But Why Is The Media Silent? siku hizi hawatumii GDP nominal tena,wanatumia GDP ppp (kwa mujibu wa imf sio mimi lakini) ambapo US inazidiwa trillion 4 na china! Tafuta report ya imf 2020 usome vizuriNaomba uweke hapa GDP za nchi Top 5.
Nchi ya kwanza hadi ya 5.
Sawa kak lakn mataifa 138 ni robo ya dunia kaka.Nakupa kaujanja nchi zilizokopeshwa mostly zitakuwa za bara letu Kwa sababu flan flan
1.Nchi iliokopeshwa yaweza ikawa ni kikwazo kwao mfano sera za kifedha na biashara pamoja na mifumo ya kisiasa inaweza ikawa inaathiri mahusiano ya kibiashara so njia pekee ni kuwapa mkopo na kama unavoelewa Hali za nchi nyingi duniani ni tata nchi nyingi zina mdororo wa kiuchumi so wanajua watashindwa kurejeaha Kuna sharti nchi zitapewa Ili kusamehewa deni c unaelewa utaambiwa rekebisha Kodi za kuimport bidhaa kutoka china au uruhusu wawekezaji wengi Toka china
2.yaweza ikawa nchi zilizokopeshwa Kuna resources ambazo zipo katika hio nchi na wao wanao uhitaji wao ko kupita mkopo nchi zilizokopeshwa zinajikuta katika nyavu hapo ndo utasikia mahusiano ya china na nchi flan yameimarika kutokana na sekta flan
3.Mkopo una riba ni biashara kama biashara zingine zimedorora na unajua watu wanahitaji fund Tena wanauhakika watalipa c unakopesha koz Bado utapata pesa
Kwa hio yawezekana masoko ya nchi kama USA Japan German hajaathirika Kwa hio Bado wanatumia njia zao zile zile katka uzalishaji Kwa nyoongeza nchi kama USA hazitegemei soko la nchi masiki
Sent from my SH-04H using JamiiForums mobile app
hawapimi ukubwa wa uchumi wa nchi kwa kutumia gdp nominal tena siku hizi wanatumia GDP ppp na sababu wametoa kwanini iwe hivoWe hufuatilii kitu chochote na huna unachokijuaView attachment 1885992
Sent from my SH-04H using JamiiForums mobile app
Hata Leo hii ukihitaji Dem Kwa urahisi mpe financial assistance ukimkosa basi mvumvi kakosa samakiSawa kak lakn mataifa 138 ni robo ya dunia kaka.
We jamaa me ni mwalimu wa economics ko unataka kusema unapima uchumi Kwa njia ipi especially national incomehawapimi ukubwa wa uchumi wa nchi kwa kutumia gdp nominal tena siku hizi wanatumia GDP ppp na sababu wametoa kwanini iwe hivo
Ukiweza kukua kiuchumi huko kwingine ni rahisi sana.Uchumi ndiye mother of all.Kumbuka sisi waafrika tunaonekana kama watoto wadogo waliovaa pampasi ambao hawajui la kufanya kwa sababu tuko nyuma kiuchumi.Kwani Mkuu kuwa super power si mpaka uongoze Kiuchumi, kijeshi, kisiasa, kitechnolojia na etc. Maana naona Uchina anakua kiuchumi tu lkn mambo mengine simuoni!
Leo nipo class wazee Nampa elimu jamaahawapimi ukubwa wa uchumi wa nchi kwa kutumia gdp nominal tena siku hizi wanatumia GDP ppp na sababu wametoa kwanini iwe hivo
specialists wa uchumi wa dunia yaani imf wamesema hivo kwanini mm nipinginge??? Soma ripoti yao ndo wewe mwanauchumi utuletee majibu sasaWe jamaa me ni mwalimu wa economics ko unataka kusema unapima uchumi Kwa njia ipi especially national income
Sent from my SH-04H using JamiiForums mobile app
hiyo imf wameshaachana nayo kwasasa ni old model! Inayotumika saivi ni GDP kwa purchasing power parity na wamesema clearly kabisa kwanini wamehamia ukoLeo nipo class wazee Nampa elimu jamaaView attachment 1886014
Sent from my SH-04H using JamiiForums mobile app