- Thread starter
- #21
ASA kaka unamwekea vikwazo mchina ktk kampuni yake ya huawei unaacha Oppo na xiaomi zi prevail ziingie tano bora ktk simu bora ulimwenguni hapo ni sawa umefanya nini?Huawei imekuaje kama hawawezi wekewa vikwazo
Utakua sawa na mpemba kutunza bikra anatoa nyuma.
Ndicho anachofanya USA vikwazo vyake havimuathiri China kwasababu jamaa huwa ana mbadala wa unachomuharibia.
Umemtibulia Huawei kainua Oppo na xiaomi ambazo nazo zikiachwa zinakuja kuchukua nafasi ya huawei au zaidi.
We nambie ukiachana na apple kuna kampuni gani kubwa ya simu ya kimarekani ambayo ipo tano bora??
Je kuna mbadala wa apple km huawei??
Hapo utaona utofauti wa mchina na mmarekani.