China is the upcoming super power

China is the upcoming super power

Huawei imekuaje kama hawawezi wekewa vikwazo
ASA kaka unamwekea vikwazo mchina ktk kampuni yake ya huawei unaacha Oppo na xiaomi zi prevail ziingie tano bora ktk simu bora ulimwenguni hapo ni sawa umefanya nini?
Utakua sawa na mpemba kutunza bikra anatoa nyuma.
Ndicho anachofanya USA vikwazo vyake havimuathiri China kwasababu jamaa huwa ana mbadala wa unachomuharibia.
Umemtibulia Huawei kainua Oppo na xiaomi ambazo nazo zikiachwa zinakuja kuchukua nafasi ya huawei au zaidi.
We nambie ukiachana na apple kuna kampuni gani kubwa ya simu ya kimarekani ambayo ipo tano bora??
Je kuna mbadala wa apple km huawei??
Hapo utaona utofauti wa mchina na mmarekani.
 
Kaka jaribu kuiangalia kauli yangu kwa upande wa pili.
Hiyo USA haijafikia kiwango hiko.
Km una bank yenye nguvu km hiyo sidhani km utakosa kuteka ushawishi was kimataifa.
Nakupa kaujanja nchi zilizokopeshwa mostly zitakuwa za bara letu Kwa sababu flan flan
1.Nchi iliokopeshwa yaweza ikawa ni kikwazo kwao mfano sera za kifedha na biashara pamoja na mifumo ya kisiasa inaweza ikawa inaathiri mahusiano ya kibiashara so njia pekee ni kuwapa mkopo na kama unavoelewa Hali za nchi nyingi duniani ni tata nchi nyingi zina mdororo wa kiuchumi so wanajua watashindwa kurejeaha Kuna sharti nchi zitapewa Ili kusamehewa deni c unaelewa utaambiwa rekebisha Kodi za kuimport bidhaa kutoka china au uruhusu wawekezaji wengi Toka china

2.yaweza ikawa nchi zilizokopeshwa Kuna resources ambazo zipo katika hio nchi na wao wanao uhitaji wao ko kupita mkopo nchi zilizokopeshwa zinajikuta katika nyavu hapo ndo utasikia mahusiano ya china na nchi flan yameimarika kutokana na sekta flan

3.Mkopo una riba ni biashara kama biashara zingine zimedorora na unajua watu wanahitaji fund Tena wanauhakika watalipa c unakopesha koz Bado utapata pesa

Kwa hio yawezekana masoko ya nchi kama USA Japan German hajaathirika Kwa hio Bado wanatumia njia zao zile zile katka uzalishaji Kwa nyoongeza nchi kama USA hazitegemei soko la nchi masiki

Sent from my SH-04H using JamiiForums mobile app
 
matumizi ya dola ndio yanafanya vikwazo vinakua vikali ila china hataki yuan iende kimataifa kama dola na hua anaishusha thamani yake kila kukicha, china ndio nchi pekee haiwezi kuwekewa vikwazo na marekani kwasababu ina uchumi mkubwa kuliko wa marekani
Hiyo habari ya kuwa na uchumi mkubwa kuliko USA mnazitoaga wapi? Kwamba GDP ya China ni kubwa kuliko USA. toka lini?
 
google ndugu, au tafta report ya imf ya mwaka jana kila kitu kimesemwa sio kwamba ni siri
 
Hiyo habari ya kuwa na uchumi mkubwa kuliko USA mnazitoaga wapi? Kwamba GDP ya China ni kubwa kuliko USA. toka lini?
Hawafuatilii statistics zozote wanachangia hio GDP inaongoza USA inafuata China Japan Then German Kwa mwaka uliopita

Technology innovation inaongoza Japan while china ni nchi ya 17

Sent from my SH-04H using JamiiForums mobile app
 
Unabushana na IMF
We hufuatilii kitu chochote na huna unachokijua
clip_now_20210809_101913.jpg

Sent from my SH-04H using JamiiForums mobile app
 
Nakupa kaujanja nchi zilizokopeshwa mostly zitakuwa za bara letu Kwa sababu flan flan
1.Nchi iliokopeshwa yaweza ikawa ni kikwazo kwao mfano sera za kifedha na biashara pamoja na mifumo ya kisiasa inaweza ikawa inaathiri mahusiano ya kibiashara so njia pekee ni kuwapa mkopo na kama unavoelewa Hali za nchi nyingi duniani ni tata nchi nyingi zina mdororo wa kiuchumi so wanajua watashindwa kurejeaha Kuna sharti nchi zitapewa Ili kusamehewa deni c unaelewa utaambiwa rekebisha Kodi za kuimport bidhaa kutoka china au uruhusu wawekezaji wengi Toka china

2.yaweza ikawa nchi zilizokopeshwa Kuna resources ambazo zipo katika hio nchi na wao wanao uhitaji wao ko kupita mkopo nchi zilizokopeshwa zinajikuta katika nyavu hapo ndo utasikia mahusiano ya china na nchi flan yameimarika kutokana na sekta flan

3.Mkopo una riba ni biashara kama biashara zingine zimedorora na unajua watu wanahitaji fund Tena wanauhakika watalipa c unakopesha koz Bado utapata pesa

Kwa hio yawezekana masoko ya nchi kama USA Japan German hajaathirika Kwa hio Bado wanatumia njia zao zile zile katka uzalishaji Kwa nyoongeza nchi kama USA hazitegemei soko la nchi masiki

Sent from my SH-04H using JamiiForums mobile app
Sawa kak lakn mataifa 138 ni robo ya dunia kaka.
 
Kwani Mkuu kuwa super power si mpaka uongoze Kiuchumi, kijeshi, kisiasa, kitechnolojia na etc. Maana naona Uchina anakua kiuchumi tu lkn mambo mengine simuoni!
Ukiweza kukua kiuchumi huko kwingine ni rahisi sana.Uchumi ndiye mother of all.Kumbuka sisi waafrika tunaonekana kama watoto wadogo waliovaa pampasi ambao hawajui la kufanya kwa sababu tuko nyuma kiuchumi.
 
Back
Top Bottom