Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Hapo unajua China anahaha kuumizwa na vikwazo pindi akikosana na baba lao USA,kwa sababu transactions za Dunia zinafanyika kwa dola ya Marekani.mdogo wangu, kikwazo pekee kilichobaki ni USD, hii kuivunja ni ngumu sana maana inatumika dunia nzima, ivo vingine ni kunogesha tu uzi, marekani anadaiwa na china
View attachment 1887297
Lakini pia juzi china wamezindua currency yao wenyewe katika harakati za kuipiga usd, usa amebaki na jeshi kubwa ila sector zingine mpaka ushawishi wanatumia nguvu tu
Umepiga mtu ngumi ya mgongoHata hivyo uchumi bila democrasia ni kama matakataka tu. Hata china ikue kiuchumi kwa kiasi gani haiwezi kuifikia marekani.
Ukiambiwa uchague mahala pa kuishi kwa furaha bila kubughudhiwa duniani kati ya Marekani na China,basi ni Marekani. Marekani ona hata waafrika walivyo huru kudai haki kwa maandamano. Huwezi kufanya hivyo china.
Nenda marekani utapata kazi mahala popote ya mshahara wa kimataifa. Kazi za mabox tu mfano unalipwa kumzidi doctor wa hapa. Na ukijituma zaidi ndivyo unavyolipwa .Kwa Mtanzania ukifanya kazi Marekani ukiwa na akili utarudi milionea. Lakini ukifanya kazi china kama hiyo au hata za ofisini ni bora ukafanya hapa nchini. Mishahara yao ni kiwango cha chini. Na manyanyaso sana. Wananchi wa china wengi tu ni masikini.Sasa hapo uchumi wa aina gani wa kikuda huo
Jiwe gizani hili.Hata hivyo uchumi bila democrasia ni kama matakataka tu. Hata china ikue kiuchumi kwa kiasi gani haiwezi kuifikia marekani.
Ukiambiwa uchague mahala pa kuishi kwa furaha bila kubughudhiwa duniani kati ya Marekani na China,basi ni Marekani. Marekani ona hata waafrika walivyo huru kudai haki kwa maandamano. Huwezi kufanya hivyo china.
Nenda marekani utapata kazi mahala popote ya mshahara wa kimataifa. Kazi za mabox tu mfano unalipwa kumzidi doctor wa hapa. Na ukijituma zaidi ndivyo unavyolipwa .Kwa Mtanzania ukifanya kazi Marekani ukiwa na akili utarudi milionea. Lakini ukifanya kazi china kama hiyo au hata za ofisini ni bora ukafanya hapa nchini. Mishahara yao ni kiwango cha chini. Na manyanyaso sana. Wananchi wa china wengi tu ni masikini.Sasa hapo uchumi wa aina gani wa kikuda huo
Hapo unajua China anahaha kuumizwa na vikwazo pindi akikosana na baba lao USA,kwa sababu transactions za Dunia zinafanyika kwa dola ya Marekani.
Usilo lijua ni kama usiku wa giza, Pale china kuna Familia inajulikana kama Li Family unaweza kufatilia na kuona namna gani mambo yanavyo endeshwa.
Unadili na kampuni zinazofanya nao biashara kama walivyofanya kwa huawei,kwani nazo zinataka dola? Kibinyo cha US kwa China kiko palepalesasa huezi muwekea china sanctions za dola kwa sababu wenyewe hawakopeshi hela, ukitaka kukopa kwao maaana yake unawapa tenda wao, china, russia, afganistan, na cuba hawatrade chochote kwa usd wenyewe wanataka gold
Ngoja nikuache tu na uzuzu wako, Nyuma ya maendeleo yoyote kuna mkono wenye nguvu, fatilia kuona nani yupo nyuma ya familia ya Queen elizabeth.aisee dogo achana na consipracy theories, watu wanaongelea utendaji kazi wa china vs USA unaonekana unaanza story za vijiweni, hakuna family yenye nguvu zaidi ya queen elizabeth na wala huwezi waskia kwenye super power comments, pick facts za development izo zingine achie watoto wa mtaani
Mchina anatengeneza artificial moon hafu unamuona bado anakuwa!!! Wazungu kwasasa wanaumiza vichwa wamkabili vipi mchinaKwani Mkuu kuwa super power si mpaka uongoze Kiuchumi, kijeshi, kisiasa, kitechnolojia na etc. Maana naona Uchina anakua kiuchumi tu lkn mambo mengine simuoni!
Eti kutimiza unabii[emoji3]Ngoja nikuache tu na uzuzu wako, Nyuma ya maendeleo yoyote kuna mkono wenye nguvu, fatilia kuona nani yupo nyuma ya familia ya Queen elizabeth.
bt elewa jambo hili US na Vatican nikitu kimoja kwahiyo kamwe china haiwezi kuwa super power labda dunia yote ifutike waunde dunia yao. vile US yupo hivyo ili kutimiza unabii.
Magufuli alivyosema mtanikumbuka alikuwa anahubiri ulokole?Eti kutimiza unabii[emoji3]
Walokole tutoleeni hapa
Kumbe kigezo cha kuwa 'upcoming super power' ni kukopesha mataifa mengi!China is the upcoming super power
China mwaka 2021 bimaana mwaka huu mwezi wa pili imetangazwa kuwa ni taifa pekee lililokopesha mataifa mengi duniani.
Taahira weweMagufuli alivyosema mtanikumbuka alikuwa anahubiri ulokole?
Nitachagua kuish China sehemu flani hv wanapaita macauHata hivyo uchumi bila democrasia ni kama matakataka tu. Hata china ikue kiuchumi kwa kiasi gani haiwezi kuifikia marekani.
Ukiambiwa uchague mahala pa kuishi kwa furaha bila kubughudhiwa duniani kati ya Marekani na China,basi ni Marekani. Marekani ona hata waafrika walivyo huru kudai haki kwa maandamano. Huwezi kufanya hivyo china.
Nenda marekani utapata kazi mahala popote ya mshahara wa kimataifa. Kazi za mabox tu mfano unalipwa kumzidi doctor wa hapa. Na ukijituma zaidi ndivyo unavyolipwa .Kwa Mtanzania ukifanya kazi Marekani ukiwa na akili utarudi milionea. Lakini ukifanya kazi china kama hiyo au hata za ofisini ni bora ukafanya hapa nchini. Mishahara yao ni kiwango cha chini. Na manyanyaso sana. Wananchi wa china wengi tu ni masikini.Sasa hapo uchumi wa aina gani wa kikuda huo
Unadili na kampuni zinazofanya nao biashara kama walivyofanya kwa huawei,kwani nazo zinataka dola? Kibinyo cha US kwa China kiko palepale
unabiii? π π π : Tatizo lako umemeza conspiracy sana na ndo akili yako imeishia apo,swali moja vigezo gan vinatumika kuweka nchi katika category ya super power?Ngoja nikuache tu na uzuzu wako, Nyuma ya maendeleo yoyote kuna mkono wenye nguvu, fatilia kuona nani yupo nyuma ya familia ya Queen elizabeth.
bt elewa jambo hili US na Vatican nikitu kimoja kwahiyo kamwe china haiwezi kuwa super power labda dunia yote ifutike waunde dunia yao. vile US yupo hivyo ili kutimiza unabii.
Vigezo ni uwe unamiliki kadi ya ccmunabiii? π π π : Tatizo lako umemeza conspiracy sana na ndo akili yako imeishia apo,swali moja vigezo gan vinatumika kuweka nchi katika category ya super power?