China is the upcoming super power

China is the upcoming super power

mdogo wangu, kikwazo pekee kilichobaki ni USD, hii kuivunja ni ngumu sana maana inatumika dunia nzima, ivo vingine ni kunogesha tu uzi, marekani anadaiwa na china
View attachment 1887297

Lakini pia juzi china wamezindua currency yao wenyewe katika harakati za kuipiga usd, usa amebaki na jeshi kubwa ila sector zingine mpaka ushawishi wanatumia nguvu tu
Hapo unajua China anahaha kuumizwa na vikwazo pindi akikosana na baba lao USA,kwa sababu transactions za Dunia zinafanyika kwa dola ya Marekani.
 
Hata hivyo uchumi bila democrasia ni kama matakataka tu. Hata china ikue kiuchumi kwa kiasi gani haiwezi kuifikia marekani.

Ukiambiwa uchague mahala pa kuishi kwa furaha bila kubughudhiwa duniani kati ya Marekani na China,basi ni Marekani. Marekani ona hata waafrika walivyo huru kudai haki kwa maandamano. Huwezi kufanya hivyo china.

Nenda marekani utapata kazi mahala popote ya mshahara wa kimataifa. Kazi za mabox tu mfano unalipwa kumzidi doctor wa hapa. Na ukijituma zaidi ndivyo unavyolipwa .Kwa Mtanzania ukifanya kazi Marekani ukiwa na akili utarudi milionea. Lakini ukifanya kazi china kama hiyo au hata za ofisini ni bora ukafanya hapa nchini. Mishahara yao ni kiwango cha chini. Na manyanyaso sana. Wananchi wa china wengi tu ni masikini.Sasa hapo uchumi wa aina gani wa kikuda huo
 
Umepiga mtu ngumi ya mgongo
 
Jiwe gizani hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo unajua China anahaha kuumizwa na vikwazo pindi akikosana na baba lao USA,kwa sababu transactions za Dunia zinafanyika kwa dola ya Marekani.

sasa huezi muwekea china sanctions za dola kwa sababu wenyewe hawakopeshi hela, ukitaka kukopa kwao maaana yake unawapa tenda wao, china, russia, afganistan, na cuba hawatrade chochote kwa usd wenyewe wanataka gold
 
Usilo lijua ni kama usiku wa giza, Pale china kuna Familia inajulikana kama Li Family unaweza kufatilia na kuona namna gani mambo yanavyo endeshwa.

aisee dogo achana na consipracy theories, watu wanaongelea utendaji kazi wa china vs USA unaonekana unaanza story za vijiweni, hakuna family yenye nguvu zaidi ya queen elizabeth na wala huwezi waskia kwenye super power comments, pick facts za development izo zingine achie watoto wa mtaani
 
sasa huezi muwekea china sanctions za dola kwa sababu wenyewe hawakopeshi hela, ukitaka kukopa kwao maaana yake unawapa tenda wao, china, russia, afganistan, na cuba hawatrade chochote kwa usd wenyewe wanataka gold
Unadili na kampuni zinazofanya nao biashara kama walivyofanya kwa huawei,kwani nazo zinataka dola? Kibinyo cha US kwa China kiko palepale
 
aisee dogo achana na consipracy theories, watu wanaongelea utendaji kazi wa china vs USA unaonekana unaanza story za vijiweni, hakuna family yenye nguvu zaidi ya queen elizabeth na wala huwezi waskia kwenye super power comments, pick facts za development izo zingine achie watoto wa mtaani
Ngoja nikuache tu na uzuzu wako, Nyuma ya maendeleo yoyote kuna mkono wenye nguvu, fatilia kuona nani yupo nyuma ya familia ya Queen elizabeth.
bt elewa jambo hili US na Vatican nikitu kimoja kwahiyo kamwe china haiwezi kuwa super power labda dunia yote ifutike waunde dunia yao. vile US yupo hivyo ili kutimiza unabii.
 
Kwani Mkuu kuwa super power si mpaka uongoze Kiuchumi, kijeshi, kisiasa, kitechnolojia na etc. Maana naona Uchina anakua kiuchumi tu lkn mambo mengine simuoni!
Mchina anatengeneza artificial moon hafu unamuona bado anakuwa!!! Wazungu kwasasa wanaumiza vichwa wamkabili vipi mchina
 
Ngoja nikuache tu na uzuzu wako, Nyuma ya maendeleo yoyote kuna mkono wenye nguvu, fatilia kuona nani yupo nyuma ya familia ya Queen elizabeth.
bt elewa jambo hili US na Vatican nikitu kimoja kwahiyo kamwe china haiwezi kuwa super power labda dunia yote ifutike waunde dunia yao. vile US yupo hivyo ili kutimiza unabii.
Eti kutimiza unabii[emoji3]

Walokole tutoleeni hapa
 
Chukua mfano mdogo , wewe una akili timamu na una pesa nyingi pamoja na miradi mikubwa kwenye jamii inayokuzunguka na hakuna anaekuambia kiuchumi. Unawakopesha wenzako pesa ili kuwawezesha kiuchumi, wewe ni super power katika hilo eneo. Na China inaongoza kwa hilo, wapo mbali kwa mambo mengi mpaka America wanaogopa.
 
Kamwe wapagani hawawezi kuwa Super Power
 
Mpagani hawezi kuwa super power [emoji16][emoji16][emoji16], mpagani ni nani?? Utasema asiyekuwa na dini! Dini ni nini? Ukipata jibu, utajua kwamba maendeleo hayana dini.
 
China is the upcoming super power​

China mwaka 2021 bimaana mwaka huu mwezi wa pili imetangazwa kuwa ni taifa pekee lililokopesha mataifa mengi duniani.
Kumbe kigezo cha kuwa 'upcoming super power' ni kukopesha mataifa mengi!
 
Hata hivyo uchumi bila democrasia ni kama matakataka tu. Hata china ikue kiuchumi kwa kiasi gani haiwezi kuifikia marekani.

Ukiambiwa uchague mahala pa kuishi kwa furaha bila kubughudhiwa duniani kati ya Marekani na China,basi ni Marekani. Marekani ona hata waafrika walivyo huru kudai haki kwa maandamano. Huwezi kufanya hivyo china.

Nenda marekani utapata kazi mahala popote ya mshahara wa kimataifa. Kazi za mabox tu mfano unalipwa kumzidi doctor wa hapa. Na ukijituma zaidi ndivyo unavyolipwa .Kwa Mtanzania ukifanya kazi Marekani ukiwa na akili utarudi milionea. Lakini ukifanya kazi china kama hiyo au hata za ofisini ni bora ukafanya hapa nchini. Mishahara yao ni kiwango cha chini. Na manyanyaso sana. Wananchi wa china wengi tu ni masikini.Sasa hapo uchumi wa aina gani wa kikuda huo
Nitachagua kuish China sehemu flani hv wanapaita macau
 
Unadili na kampuni zinazofanya nao biashara kama walivyofanya kwa huawei,kwani nazo zinataka dola? Kibinyo cha US kwa China kiko palepale

sasa kwa Huawei imewekewa sanctions na dunia ama marekani? kwan whatsapp, facebook na google znafanya kazi china? sasa ungejua china ndo inaongoza kwa mauzo ya simu despite hizo sanctions za biden, unaijua OPPO and xiomi?
 
Ngoja nikuache tu na uzuzu wako, Nyuma ya maendeleo yoyote kuna mkono wenye nguvu, fatilia kuona nani yupo nyuma ya familia ya Queen elizabeth.
bt elewa jambo hili US na Vatican nikitu kimoja kwahiyo kamwe china haiwezi kuwa super power labda dunia yote ifutike waunde dunia yao. vile US yupo hivyo ili kutimiza unabii.
unabiii? 😂 😂 😂 : Tatizo lako umemeza conspiracy sana na ndo akili yako imeishia apo,swali moja vigezo gan vinatumika kuweka nchi katika category ya super power?
 
Vigezo ni uwe unamiliki kadi ya ccm
 
Back
Top Bottom