China is the upcoming super power

China is the upcoming super power

ASA kaka unamwekea vikwazo mchina ktk kampuni yake ya huawei unaacha Oppo na xiaomi zi prevail ziingie tano bora ktk simu bora ulimwenguni hapo ni sawa umefanya nini?
Utakua sawa na mpemba kutunza bikra anatoa nyuma.
Ndicho anachofanya USA vikwazo vyake havimuathiri China kwasababu jamaa huwa ana mbadala wa unachomuharibia.
Umemtibulia Huawei kainua Oppo na xiaomi ambazo nazo zikiachwa zinakuja kuchukua nafasi ya huawei au zaidi.
We nambie ukiachana na apple kuna kampuni gani kubwa ya simu ya kimarekani ambayo ipo tano bora??
Je kuna mbadala wa apple km huawei??
Hapo utaona utofauti wa mchina na mmarekani.
Achaneni na huo ubishani. China ni giant, USA ni giant nchi uliyopo wewe ni tozo dependant.
 
specialists wa uchumi wa dunia yaani imf wamesema hivo kwanini mm nipinginge??? Soma ripoti yao ndo wewe mwanauchumi utuletee majibu sasa
Concentrate uelewe kilichomo katika huo walaka unajua nn mama ya kuwa constrained Sasa uchumi wa china una constraints ambazo ni ngumu kuzivuka athari za kimazingira, population +resource vitaathiri ukuaji wao nadhan hili wameliona GDP ya china ni kubwa per capital income ni ndogo wao wana experience mabadiliko neg ya mazingira

Sent from my SH-04H using JamiiForums mobile app
 
Watu wangine bado hawaamini kama china ndiyo ametake over
 
Kwani Mkuu kuwa super power si mpaka uongoze Kiuchumi, kijeshi, kisiasa, kitechnolojia na etc. Maana naona Uchina anakua kiuchumi tu lkn mambo mengine simuoni!
Unamaanisha nini mkuu - juzi hapa si amerusha wana anga watatu kwenda kwenye space station yake watakaa huko kwa miezi mitatu, China ndio Taifa pekee Duniani ambalo limefanikiwa kutuma chombo mwezini kikatua upande wa pili wa mwezi ambao hauonekani Duniani - kinacho washangaza wana sayansi wa NASA na Warusi ni kule kufanikiwa kwa Wachina ku-maintain mawasiliano ya radio frequency 24X7 baina ya chombo na base stations za hapa Duniani kikatuma picha pamoja na video seamlessly!! Si Amerika wala Urusi walio wahi kufankisha kitu kama hicho, vyombo vyao vya anga vilipokuwa vinazubguja upande wa pili wa mwezi basi mawasiliano baina ya chombo na aridhi yanakatika mpaka chombo kinapo rudi upande wa pili unao onekana ukiwa aridhini/Duniani - cha kujiuliza hapa Wachina wakitumia mbinu gani kuwapiku wenzao?

Hilo la kwanza, la pili - mwishoni mwa mwaka jana chombo cha anga cha Wachina kiliganikiwa ku-land kwenye sayari ya MARS ambayo umbali wake kutoka aridhini ni makumi ya mamillion Kilometer kilituwa kwenye aridhi ya MARS, kikashusha mobile rover yenye magurudumu ikafanya tour sehemu mbali mbali,ikapima: composition za udogo,hali ya hewa,kupiga high resolution picha na video na kuzituma Duniani - kama unafikiri hilo in jambo dogo kisayansi na kitekinilojia you better think again.

La tatu lina husu jeshi la Uchina kumiliki makombora type ya hypersonic ambayo hata Merikani imekuwa mkweli kwa kusema hawana kinga yoyote ya kulinda Taifa lao dhidi ya makombora/missiles hizo hatarishi, ni mataifa mawili tu Duniani yenye kumiliki hypersonic missiles, nayo ni: ni Uchina na Urusi basi, Amerika inajitahidi kuunda za kwao lakini mpaka sasa hawaja fanikiwa, majaribio yao yote yame-fail, who knows may be watafanikiwa eventually.

Haya sasa tuje kwenye teknilojia ya mawasiliano na hapo Uchina imeyapiku mataifa ya magharibi kwenye nyanja za 5G technology, Wachina ndio wamefanikiwa kuunda a truly 5G stuff unlike mataifa mengine yanayo tinker around na 4G technology halafu wanazuga watu kwamba na hiyo 5G
technology lakini uki-check bit rate throughput unagunduwa kumbe ni dead slow compared na Chinese Huawei stuff, ndio maana Pompeo alilikuwa ana endesha kampeini ya ulaghai tu kwa kusingizia Huawei kwamba katika vifaa vyao vya mawasiliano wame-embed software za kudukuwa watumiaji, anatisha tisha Mataifa kwamba wasinunue equipment za mawasiliano zinazo undwa na Huawei - lengo likiwa kuihujumu China kiuchumi.

Kwa kumalizia - je,una habari kwamba Uchina ndilo Taifa linao ongoza Duniani kwa kuunda fastest super computer wametumia hardware zinazo zalishwa huko huko Uchina kuanzia: Microprocessor, Memories nk. Wachina wameunda Quantum Computers, Quantum radar zenye uwezo wa ku-identify Stealth bombers na fighters, hapo hatujagusia kuhusu maendeleo makubwa kwenye masuala ya teknilojia ya Artificial Intelligence (AI) hivi asa China imeipiku US na mataifa ya Ulaya kwenye teknilojia ya AI.Bottom line is: Hivi ni sekta hipi ambayo Wachina hawana uwezo wa kutoa ushindani. Wachina kitu ambacho hawafanyi ni kutambia mataifa mengine, kuvamia au kupiga mabomu Mataifa ambayo hawayapendi, kuchochea vurugu na ku-assassinate viongozi bila sababu zozote za msingi - Wachina hawana tabia hizo za kishenzi.
 
Q
Wasipokuelewa basi
 
ASA kaka unamwekea vikwazo mchina ktk kampuni yake ya huawei unaacha Oppo na xiaomi zi prevail ziingie tano bora ktk simu bora ulimwenguni hapo ni sawa umefanya nini?
Utakua sawa na mpemba kutunza bikra anatoa nyuma.
Ndicho anachofanya USA vikwazo vyake havimuathiri China kwasababu jamaa huwa ana mbadala wa unachomuharibia.
Umemtibulia Huawei kainua Oppo na xiaomi ambazo nazo zikiachwa zinakuja kuchukua nafasi ya huawei au zaidi.
We nambie ukiachana na apple kuna kampuni gani kubwa ya simu ya kimarekani ambayo ipo tano bora??
Je kuna mbadala wa apple km huawei??
Hapo utaona utofauti wa mchina na mmarekani.
Hongera sana umetoa jibu la kiuweledi mno......
 
hiyo imf wameshaachana nayo kwasasa ni old model! Inayotumika saivi ni GDP kwa purchasing power parity na wamesema clearly kabisa kwanini wamehamia uko
Naona jamaa hataki kukuelewa kakomalia palepale kwenye oldskul yake.....
 
Unamaanisha nini mkuu - juzi hapa si amerusha wana anga watatu kwenda kwenye space station yake watakaa huko kwa miezi mitatu, China ndio Taifa pekee Duniani ambalo limefanikiwa kutuma chombo mwezini kikatua upande wa pili wa mwezi ambao hauonekani Duniani - kinacho washangaza wana sayansi wa NASA na Warusi ni kule kufanikiwa kwa Wachina ku-maintain mawasiliano ya radio frequency 24X7 baina ya chombo na base stations za hapa Duniani kikatuma picha pamoja na video seamlessly!! Si Amerika wala Urusi walio wahi kufankisha kitu kama hicho, vyombo vyao vya anga vilipokuwa vinazubguja upande wa pili wa mwezi basi mawasiliano baina ya chombo na aridhi yanakatika mpaka chombo kinapo rudi upande wa pili unao onekana ukiwa aridhini/Duniani - cha kujiuliza hapa Wachina wakitumia mbinu gani kuwapiku wenzao?

Hilo la kwanza, la pili - mwishoni mwa mwaka jana chombo cha anga cha Wachina kiliganikiwa ku-land kwenye sayari ya MARS ambayo umbali wake kutoka aridhini ni makumi ya mamillion Kilometer kilituwa kwenye aridhi ya MARS, kikashusha mobile rover yenye magurudumu ikafanya tour sehemu mbali mbali,ikapima: composition za udogo,hali ya hewa,kupiga high resolution picha na video na kuzituma Duniani - kama unafikiri hilo in jambo dogo kisayansi na kitekinilojia you better think again.

La tatu lina husu jeshi la Uchina kumiliki makombora type ya hypersonic ambayo hata Merikani imekuwa mkweli kwa kusema hawana kinga yoyote ya kulinda Taifa lao dhidi ya makombora/missiles hizo hatarishi, ni mataifa mawili tu Duniani yenye kumiliki hypersonic missiles, nayo ni: ni Uchina na Urusi basi, Amerika inajitahidi kuunda za kwao lakini mpaka sasa hawaja fanikiwa, majaribio yao yote yame-fail, who knows may be watafanikiwa eventually.

Haya sasa tuje kwenye teknilojia ya mawasiliano na hapo Uchina imeyapiku mataifa ya magharibi kwenye nyanja za 5G technology, Wachina ndio wamefanikiwa kuunda a truly 5G stuff unlike mataifa mengine yanayo tinker around na 4G technology halafu wanazuga watu kwamba na hiyo 5G
technology lakini uki-check bit rate throughput unagunduwa kumbe ni dead slow compared na Chinese Huawei stuff, ndio maana Pompeo alilikuwa ana endesha kampeini ya ulaghai tu kwa kusingizia Huawei kwamba katika vifaa vyao vya mawasiliano wame-embed software za kudukuwa watumiaji, anatisha tisha Mataifa kwamba wasinunue equipment za mawasiliano zinazo undwa na Huawei - lengo likiwa kuihujumu China kiuchumi.

Kwa kumalizia - je,una habari kwamba Uchina ndilo Taifa linao ongoza Duniani kwa kuunda fastest super computer wametumia hardware zinazo zalishwa huko huko Uchina kuanzia: Microprocessor, Memories nk. Wachina wameunda Quantum Computers, Quantum radar zenye uwezo wa ku-identify Stealth bombers na fighters, hapo hatujagusia kuhusu maendeleo makubwa kwenye masuala ya teknilojia ya Artificial Intelligence (AI) hivi asa China imeipiku US na mataifa ya Ulaya kwenye teknilojia ya AI.Bottom line is: Hivi ni sekta hipi ambayo Wachina hawana uwezo wa kutoa ushindani. Wachina kitu ambacho hawafanyi ni kutambia mataifa mengine, kuvamia au kupiga mabomu Mataifa ambayo hawayapendi, kuchochea vurugu na ku-assassinate viongozi bila sababu zozote za msingi - Wachina hawana tabia hizo za kishenzi.
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

Subiri waje waliokula yamini upande wa pili mimi binafsi nimekuelewa sana...........
 
China ni. Giant tayar ila bado kuwa super power sababu bado hajawa na influence kubwa kwa dunia, mfano
USA akikuwekea vikwazo uta suffer maisha yako yote

Kiwango ambacho China bado hajafikia
Influence yake itakuwa na mashiko akifanikiwa kuexport lugha na utamaduni wake, ama sivyo nawaona china wakielekea njia aliyopitia Japan.
 
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Subiri waje waliokula yamini upande wa pili mimi binafsi nimekuelewa sana...........
Kimsing ukishaamaster tech ya AI maana kwenye soko la dunia laziama ufannyee viziri kwa kuwa utazalisha kwa gharma ndogo kwa ubora ule ule
 
Hii concept haiwezi kutumika kupima economic growth ila inaweza kutumika kuangalia individual welfare katika inchi flan compared Kwa nchi flan
There are two things that can be measured by PPP's theory first economic welfare second is economic productivity

Sent from my SH-04H using JamiiForums mobile app
 
Kimsing ukishaamaster tech ya AI maana kwenye soko la dunia laziama ufannyee viziri kwa kuwa utazalisha kwa gharma ndogo kwa ubora ule ule
Umeleta maada ambayo imenifunza kitu kipya

S=p in currency 1/p in currency 2 simple math

Kwa maana fupi wachina wananunua bidhaa Kwa bei rahisi Kwa bidhaa hio hio ambayo USA inanunuliwa ghali ila sio uchumi wao ni mkubwa
clip_now_20210809_223150.jpg

Back
Top Bottom