China is the upcoming super power

China is the upcoming super power

Kumbe kigezo cha kuwa 'upcoming super power' ni kukopesha mataifa mengi!
Hujaelewa kimelengwa nini kaka.
Ili uwe super power lazima uwe na uchumi mkubwa kuliko yeyote.
Na huwezi kuwa na ushawishi km hauna uchumi mkubwa.
Huwezi kukopesha mataifa robo ya dunia km hauna uchumi mkubwa.
Ukifuatilia hakuna taifa Africa ambalo halijala pesa ya Mchina.
Asia asilimia 90 wamekula pesa ya mchina.
Amerika ya kusini wamekula pesa ya mchina ukiangalia jamaa keshateka global influence kulingana na uchumi wake .
Hapa mie nimelenga ukubwa wa uchumi wa China .
Marekani toka iumbwe haijafikia idadi hiyo ya kukopesha mataifa yote hayo.
 
Sawa bhana ww mwenye maisha mazuri kupitia wizi wa tozo
tatizo lako na wengine wengi ni kudhan kwamba kila tatizo linaloikabili tanzania ni zao la siasa. Kama unadhan tanzania ccm ndo tatizo hamia basi marekani utapiga pesa nyingi sna ndo wana serikali unayoitaka wewe, kule pesa zko nje nje ni wewe tu kupiga alafu ukishamalizana na kule kaa utafakari mwenyewe utajua mwenyewe unakwama wap! kuna mtu mmoja alishawahi kusema

"you are stupid if you put emotions in each and everything said to you". Hisia unazoambukizwa na lile genge ndo chanzo cha manunguniko yako! hata leo ccm ikasema tunagawa ela kwa kila mtu bado hautafanikiwa kimaisha, CCM ina mapungufu yake lakini siasa unazotaka kufanya sio tu mapungufu wanyo bali ni USELESS!
 
Kwani Mkuu kuwa super power si mpaka uongoze Kiuchumi, kijeshi, kisiasa, kitechnolojia na etc. Maana naona Uchina anakua kiuchumi tu lkn mambo mengine simuoni!

Mkuu fanya homework yako vizuri, China ni habari nyengine na kama utaweza ku connect dots vizuri after this pandemic China atakua hakamatiki
 
unabiii? 😂 😂 😂 : Tatizo lako umemeza conspiracy sana na ndo akili yako imeishia apo,swali moja vigezo gan vinatumika kuweka nchi katika category ya super power?
Anashindwa kuelewa kabla ya USA Great Britain ndiye alikua mbabe wa dunia na ukiachana na BRITAIN kulikua na Ottoman il a zote zimeanguka na USA ataanguka vile vile.
Huyo anayemsemea super power mchina anamdai matrillioni ya madola.
 
na before tena kuna ROMAN EMPIRE 😀
 
tatizo lako na wengine wengi ni kudhan kwamba kila tatizo linaloikabili tanzania ni zao la siasa. Kama unadhan tanzania ccm ndo tatizo hamia basi marekani utapiga pesa nyingi sna ndo wana serikali unayoitaka wewe, kule pesa zko nje nje ni wewe tu kupiga alafu ukishamalizana na kule kaa utafakari mwenyewe utajua mwenyewe unakwama wap! kuna mtu mmoja alishawahi kusema

"you are stupid if you put emotions in each and everything said to you". Hisia unazoambukizwa na lile genge ndo chanzo cha manunguniko yako! hata leo ccm ikasema tunagawa ela kwa kila mtu bado hautafanikiwa kimaisha, CCM ina mapungufu yake lakini siasa unazotaka kufanya sio tu mapungufu wanyo bali ni USELESS!
Wew unajuaje kama sijahamia Marekani?
 
Hujaelewa kimelengwa nini kaka.
Ili uwe super power lazima uwe na uchumi mkubwa kuliko yeyote.
Na huwezi kuwa na ushawishi km hauna uchumi mkubwa.
Huwezi kukopesha mataifa robo ya dunia km hauna uchumi mkubwa.
Ukifuatilia hakuna taifa Africa ambalo halijala pesa ya Mchina.
Asia asilimia 90 wamekula pesa ya mchina.
Amerika ya kusini wamekula pesa ya mchina ukiangalia jamaa keshateka global influence kulingana na uchumi wake .
Hapa mie nimelenga ukubwa wa uchumi wa China .
Marekani toka iumbwe haijafikia idadi hiyo ya kukopesha mataifa yote hayo.
Do kweli ndugu hata super power anayemaliza mda wake naye amekula Kama sio kubuia pesa ya mchina sijajua atatokea wapi
 
Uchumi wa China mkubwa kaka.

Ukitaka kujua China ina economic stability IMF mwaka jana kipindi corona inashamiri walitoa ripoti Kuwa hakuna taifa ambalo halijatetereka kiuchumi lakin taifa pekee ambalo limeweza bado kuusimamisha uchumi wake ni China.

Kijeshi China sio wa kawaida tena hata kiteknolojia na kisiasa usipime.
China ni kweli imekuwa sana na kuishangaza dunia, na ni kweli World Super Power, lakini ni wa Pili nyuma ya Marekani. He still has a long way to go, to become leading power! Siku ambayo China atakuwa na uwezo wa kumuwekea Vikwazao US na US akaufyata, ndio utajua kuwa sasa China ndio giant wa duniani.
 
Ndio maana nikauliza, ni lazima ukopeshe kwa kuwa unazo?
Hapana sio lazima kukopesha.
Ila lazima uteke influence globally.
Na huwezi kuteka global influence km hauna uchumi mkubwa.
 
Basi, USA ana uchumi mkubwa, so ana influence. Hahitaji kukopesha
Hiyo influence ameshaanza kuipoteza.
Kwasababu influence alokua nayo ili base ktk uchumi.
Asa hv USA ikibana watu wanaenda kwa mchina kiasi mataifa mengi mpk WB na IMF wameisahau kisa mchina.
Utagundua hapo mmoja anampokonya mwenzake influence alokua nayo.
Asa me nkijua China ana uwezo wa kusimama mbele yangu ht km USA kanizingua unadhani nitashawishika na nani km siyo China???
Au haujaelewa kipi kinalengwa????
Ht USA amekopesha mataifa mengi ikiwemo ya Ulaya ili awaendeshe na madeni mpk Leo UK na France hawafurukuti kwa maden ya USA ila mchina kafanya Mara kumi ya USA na anamdai mpk USA mwenyewe.
Na kumbuka anayekudai kashikilia mpini we umeshikilia makali lazma utamsikiliza kumfidia.
Usiponielewa hapo basi mkuu
 
... ila mchina kafanya Mara kumi ya USA na anamdai mpk USA mwenyewe.
Mimi nikiwa nina sh. elfu moja na wewe una sh. mia mbili na halafu unanidai sh. mia moja, nani mwenye uchumi mkubwa? Au unafikiri kila deni lina athari katika ukubwa wa uchumi? Unaweza ukalipwa na bado haumfikii bwana mkubwa
 
matumizi ya dola ndio yanafanya vikwazo vinakua vikali ila china hataki yuan iende kimataifa kama dola na hua anaishusha thamani yake kila kukicha, china ndio nchi pekee haiwezi kuwekewa vikwazo na marekani kwasababu ina uchumi mkubwa kuliko wa marekani
Tokea lini China amekuwa na uchumi mkubwa kuliko Marekani? Mambo mengine bora ukae kimya tu 🤣 🤣 🤣
 
mdogo wangu, kikwazo pekee kilichobaki ni USD, hii kuivunja ni ngumu sana maana inatumika dunia nzima, ivo vingine ni kunogesha tu uzi, marekani anadaiwa na china
View attachment 1887297

Lakini pia juzi china wamezindua currency yao wenyewe katika harakati za kuipiga usd, usa amebaki na jeshi kubwa ila sector zingine mpaka ushawishi wanatumia nguvu tu
Kuna mambo mengi sana kwenye elimu ya uchumi unakosa 🤣 🤣 Dah-Kiufupi umenichekesha sana.
 
Back
Top Bottom