stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Vigezo ni uwe unamiliki kadi ya ccm
😂, nenda kaanze tuition mdogo wangu hujachelewa bado japokua umri wako umeenda sana! inaonekana una maisha magumu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vigezo ni uwe unamiliki kadi ya ccm
Sawa bhana ww mwenye maisha mazuri kupitia wizi wa tozo😂, nenda kaanze tuition mdogo wangu hujachelewa bado japokua umri wako umeenda sana! inaonekana una maisha magumu sana
Hujaelewa kimelengwa nini kaka.Kumbe kigezo cha kuwa 'upcoming super power' ni kukopesha mataifa mengi!
tatizo lako na wengine wengi ni kudhan kwamba kila tatizo linaloikabili tanzania ni zao la siasa. Kama unadhan tanzania ccm ndo tatizo hamia basi marekani utapiga pesa nyingi sna ndo wana serikali unayoitaka wewe, kule pesa zko nje nje ni wewe tu kupiga alafu ukishamalizana na kule kaa utafakari mwenyewe utajua mwenyewe unakwama wap! kuna mtu mmoja alishawahi kusemaSawa bhana ww mwenye maisha mazuri kupitia wizi wa tozo
Kwani Mkuu kuwa super power si mpaka uongoze Kiuchumi, kijeshi, kisiasa, kitechnolojia na etc. Maana naona Uchina anakua kiuchumi tu lkn mambo mengine simuoni!
Anashindwa kuelewa kabla ya USA Great Britain ndiye alikua mbabe wa dunia na ukiachana na BRITAIN kulikua na Ottoman il a zote zimeanguka na USA ataanguka vile vile.unabiii? 😂 😂 😂 : Tatizo lako umemeza conspiracy sana na ndo akili yako imeishia apo,swali moja vigezo gan vinatumika kuweka nchi katika category ya super power?
Anashindwa kuelewa kabla ya USA Great Britain ndiye alikua mbabe wa dunia na ukiachana na BRITAIN kulikua na Ottoman il a zote zimeanguka na USA ataanguka vile vile.
Huyo anayemsemea super power mchina anamdai matrillioni ya madola.
Wew unajuaje kama sijahamia Marekani?tatizo lako na wengine wengi ni kudhan kwamba kila tatizo linaloikabili tanzania ni zao la siasa. Kama unadhan tanzania ccm ndo tatizo hamia basi marekani utapiga pesa nyingi sna ndo wana serikali unayoitaka wewe, kule pesa zko nje nje ni wewe tu kupiga alafu ukishamalizana na kule kaa utafakari mwenyewe utajua mwenyewe unakwama wap! kuna mtu mmoja alishawahi kusema
"you are stupid if you put emotions in each and everything said to you". Hisia unazoambukizwa na lile genge ndo chanzo cha manunguniko yako! hata leo ccm ikasema tunagawa ela kwa kila mtu bado hautafanikiwa kimaisha, CCM ina mapungufu yake lakini siasa unazotaka kufanya sio tu mapungufu wanyo bali ni USELESS!
Wew unajuaje kama sijahamia Marekani?
Do kweli ndugu hata super power anayemaliza mda wake naye amekula Kama sio kubuia pesa ya mchina sijajua atatokea wapiHujaelewa kimelengwa nini kaka.
Ili uwe super power lazima uwe na uchumi mkubwa kuliko yeyote.
Na huwezi kuwa na ushawishi km hauna uchumi mkubwa.
Huwezi kukopesha mataifa robo ya dunia km hauna uchumi mkubwa.
Ukifuatilia hakuna taifa Africa ambalo halijala pesa ya Mchina.
Asia asilimia 90 wamekula pesa ya mchina.
Amerika ya kusini wamekula pesa ya mchina ukiangalia jamaa keshateka global influence kulingana na uchumi wake .
Hapa mie nimelenga ukubwa wa uchumi wa China .
Marekani toka iumbwe haijafikia idadi hiyo ya kukopesha mataifa yote hayo.
China ni kweli imekuwa sana na kuishangaza dunia, na ni kweli World Super Power, lakini ni wa Pili nyuma ya Marekani. He still has a long way to go, to become leading power! Siku ambayo China atakuwa na uwezo wa kumuwekea Vikwazao US na US akaufyata, ndio utajua kuwa sasa China ndio giant wa duniani.Uchumi wa China mkubwa kaka.
Ukitaka kujua China ina economic stability IMF mwaka jana kipindi corona inashamiri walitoa ripoti Kuwa hakuna taifa ambalo halijatetereka kiuchumi lakin taifa pekee ambalo limeweza bado kuusimamisha uchumi wake ni China.
Kijeshi China sio wa kawaida tena hata kiteknolojia na kisiasa usipime.
Ndio maana nikauliza, ni lazima ukopeshe kwa kuwa unazo?Marekani toka iumbwe haijafikia idadi hiyo ya kukopesha mataifa yote hayo.
Hapana sio lazima kukopesha.Ndio maana nikauliza, ni lazima ukopeshe kwa kuwa unazo?
Basi, USA ana uchumi mkubwa, so ana influence. Hahitaji kukopeshaNa huwezi kuteka global influence km hauna uchumi mkubwa.
Hiyo influence ameshaanza kuipoteza.Basi, USA ana uchumi mkubwa, so ana influence. Hahitaji kukopesha
Mimi nikiwa nina sh. elfu moja na wewe una sh. mia mbili na halafu unanidai sh. mia moja, nani mwenye uchumi mkubwa? Au unafikiri kila deni lina athari katika ukubwa wa uchumi? Unaweza ukalipwa na bado haumfikii bwana mkubwa... ila mchina kafanya Mara kumi ya USA na anamdai mpk USA mwenyewe.
Tokea lini China amekuwa na uchumi mkubwa kuliko Marekani? Mambo mengine bora ukae kimya tu 🤣 🤣 🤣matumizi ya dola ndio yanafanya vikwazo vinakua vikali ila china hataki yuan iende kimataifa kama dola na hua anaishusha thamani yake kila kukicha, china ndio nchi pekee haiwezi kuwekewa vikwazo na marekani kwasababu ina uchumi mkubwa kuliko wa marekani
Mkuu,una elimu yoyote ya masuala ya uchumi?hawapimi ukubwa wa uchumi wa nchi kwa kutumia gdp nominal tena siku hizi wanatumia GDP ppp na sababu wametoa kwanini iwe hivo
Kuna mambo mengi sana kwenye elimu ya uchumi unakosa 🤣 🤣 Dah-Kiufupi umenichekesha sana.mdogo wangu, kikwazo pekee kilichobaki ni USD, hii kuivunja ni ngumu sana maana inatumika dunia nzima, ivo vingine ni kunogesha tu uzi, marekani anadaiwa na china
View attachment 1887297
Lakini pia juzi china wamezindua currency yao wenyewe katika harakati za kuipiga usd, usa amebaki na jeshi kubwa ila sector zingine mpaka ushawishi wanatumia nguvu tu
Kuna mambo mengi sana kwenye elimu ya uchumi unakosa 🤣 🤣 Dah-Kiufupi umenichekesha sana.