China is the upcoming super power

China is the upcoming super power

kama zp mkuu wangu
Analeta ujuaji mwingi huyo anajikuta yeye anajua kuliko wanauchumi was IMF na USA wenyewe walotoa takwimu kuwa China ina uchumi imara wa kushindana na USA.
 
Mimi nikiwa nina sh. elfu moja na wewe una sh. mia mbili na halafu unanidai sh. mia moja, nani mwenye uchumi mkubwa? Au unafikiri kila deni lina athari katika ukubwa wa uchumi? Unaweza ukalipwa na bado haumfikii bwana mkubwa
Mbona umepiga mahesabu ya kienyeji???
Trillioni 20 usd ni ndogo????
Kama ni ndogo mbona hajalipa mpk sasa??
Kama USA kweli alikua ana hela kivipi akamkopa China???
Mbona hajakopa nchi km India au Italy??
Toka lini tajiri amkope masikini???
USA anadaiwa trillion of dollars mkuu asa km ndogo we jidanganye.
NaChina ana reserve kubwa ya dola kuliko US.
 
Tokea lini China amekuwa na uchumi mkubwa kuliko Marekani? Mambo mengine bora ukae kimya tu 🤣 🤣 🤣
Inamaana IMF wajinga kutoa ripoti zao?
Mwaka huu Alibaba ya China imetangazwa kuongoza mauzo ya mtandaoni ulimwenguni,mwaka huu IMF na WB wametangaza nchi pkee iloweza kustabilize uchumi wake licha ya corona ni China pekee,nchi yenye reserve kubwa ya dola ni China.
We unataka impitaje??
USA kabaki jina tu.
We baki kumezeshwa vya madaftarini.
 
Anaweza kaprint tu dolla kwa kuwa zinahitaji zitakuwa na thamani tu then anamgawia mchina 20t usd zake basi ...natania tu ndugu usinitoe baru
 
Hiyo influence ameshaanza kuipoteza.
Kwasababu influence alokua nayo ili base ktk uchumi.
Asa hv USA ikibana watu wanaenda kwa mchina kiasi mataifa mengi mpk WB na IMF wameisahau kisa mchina.

Asa me nkijua China ana uwezo wa kusimama mbele yangu ht km USA kanizingua unadhani nitashawishika na nani km siyo China???
WB na IMF wameisahau USA kisa mchina? Really? Leta links !!
 
Nani kakwambia wameisahau??
Mbona unasoma kwa kukurupuka??
Mataifa mengi ulimwenguni yameisahau WB na IMF kwasababu China inaweza kuwapatia wanachoweza patiwa na hayo masharika.
Soma vzur ustake niaminisha ht darasani ulikua unakurupuka hivi hivi.
 
Mnafanya makosa kuifananisha USA na izo takataka za akina developing country (china) kama wao wanavyoita, kwamfano hapa nitakuwekea vigezo vichache tu vinavyoifanya iyo chna yenu ishindwe kufikia level ya huyu anayejiita super power kipind hiki

Power rankings btn USA and China
1)bajeti ya ulinzi&usarama kati ya USA&China
USA spending $750 billion on defence per year whike china spending $237 billion per year

2)Population
chinese- 1.40 billion while USA- 328 million

3) GDP
USA- $21.4 trilion
China -$14.3 trilion

4)GDP pc, ppp USA $65,298
GDP pc, ppp China $10,217

5) Number of Satellite launched on space
China- 278
USA- 3799

6) Computer OS
china depending on USA Computer Os while USA has its own computer os...

hivyo ni vigezo vichache tu vya superior country, kwahiyo uyo mchina wenu mpka aje awe mbabe lazma ampiku USA kwenye mamb kama haya hususan technology maana dunia ya sasa inaongozwa na technology nasio kelele wala ushawish wa bidhaa feki masokoni na ujanja wakipumbavu.....
 
Inamaana IMF wajinga kutoa ripoti zao?
Mwaka huu Alibaba ya China imetangazwa kuongoza mauzo ya mtandaoni ulimwenguni,mwaka huu IMF na WB wametangaza nchi pkee iloweza kustabilize uchumi wake licha ya corona ni China pekee,nchi yenye reserve kubwa ya dola ni China.
We unataka impitaje??
USA kabaki jina tu.
We baki kumezeshwa vya madaftarini.
You know nothing about economics. Kusoma report ni kitu kimoja,na ku-interpret report correctly ni jambo lingine tofauti.Ndo maana nasema ukiongea mbele ya watu wanaojua uchumi utaonekana wewe bado ni layman 🤣 🤣 .Na ninayaongelea haya nikiwa kama expert wa masuala ya uchumi.
 
kama zp mkuu wangu
Huwezi ku-justify kwamba china ni very powerful economically kwa sababu anamkopesha sana US,Umejaribu kufanya analysis ya kujua why chinese are investing heavily on US economy? The US economy is very productive,innovative,ina currency ambayo ni stable,ina credibility ya kulipa madeni na mengineyo hivyo inaufanya kuwa very attractive kwa investors.Asilimia kubwa pia ya deni jumla la US linamilikiwa na wananchi pamoja na taasis zake za ndani ukiachilia China,Japan,and etc-Unapaswa uelewe pia hili. Backresa,Mo,Mengi wanakopa sana kwa sababu wapo very productive na ni rahisi kukopesheka kwa sababu wana credibility.Pesa wanazokopeshwa zinatoka kwa watu ambao pengine hawana cha kuzifanyia."Bank ni mahali ambapo wajinga huenda kuweka hela zao na wenye akili wanaenda kuzichukua" 🤣 🤣 🤣
 
Nani kakwambia wameisahau??
Mbona unasoma kwa kukurupuka??
Mataifa mengi ulimwenguni yameisahau WB na IMF kwasababu China inaweza kuwapatia wanachoweza patiwa na hayo masharika.
Soma vzur ustake niaminisha ht darasani ulikua unakurupuka hivi hivi.
Kwa hiyo unakanusha maneno yako?
You know nothing about economics. Kusoma report ni kitu kimoja,na ku-interpret report correctly ni jambo lingine tofauti.Ndo maana nasema ukiongea mbele ya watu wanaojua uchumi utaonekana wewe bado ni layman 🤣 🤣 .Na ninayaongelea haya nikiwa kama expert wa masuala ya uchumi.
Ni mjinga fulani anayejifanya anajua, mpaka kukataa maneno yake mwenyewe.
 
Mnafanya makosa kuifananisha USA na izo takataka za akina developing country (china) kama wao wanavyoita, kwamfano hapa nitakuwekea vigezo vichache tu vinavyoifanya iyo chna yenu ishindwe kufikia level ya huyu anayejiita super power kipind hiki

Power rankings btn USA and China
1)bajeti ya ulinzi&usarama kati ya USA&China
USA spending $750 billion on defence per year whike china spending $237 billion per year

2)Population
chinese- 1.40 billion while USA- 328 million

3) GDP
USA- $21.4 trilion
China -$14.3 trilion

4)GDP pc, ppp USA $65,298
GDP pc, ppp China $10,217

5) Number of Satellite launched on space
China- 278
USA- 3799

6) Computer OS
china depending on USA Computer Os while USA has its own computer os...

hivyo ni vigezo vichache tu vya superior country, kwahiyo uyo mchina wenu mpka aje awe mbabe lazma ampiku USA kwenye mamb kama haya hususan technology maana dunia ya sasa inaongozwa na technology nasio kelele wala ushawish wa bidhaa feki masokoni na ujanja wakipumbavu.....
Ndo maana kuna watu humu nikawaambia hawana exposure ya mambo halafu wanajifanya wanajua.Asante sana
 
Kwa hiyo unakanusha maneno yako?
Ni mjinga fulani anayejifanya anajua, mpaka kukataa maneno yake mwenyewe.
Anachopaswa kujua ni kwamba makampuni mengi makubwa yaliyowekeza china ni ya kimarekani.US ni consumption based economy wakati china ni export based economy.China analitegemea sana soko la US kuliko US wanavyolitegemea soko la China.Na ukiangalia sasa hv US ameanza kutengeneza industrial policy yake kupambana na china na hili jambo linawachanganya sana wachina-hawakutegemea.Hata US kuondoka afganistan haraka ni kwamba wanataka kuwekeza kwenye uchumi wao heavily ili kupambana na china kwenye every sphere of influence.
 
"On June 8, the Senate passed a major industrial policy bill that would direct government investment toward critical technological sectors. The bill is intended to foster the reinvigoration of the manufacturing side of the U.S. technology sector, providing alternatives to supply chains dependent on Chinese microchips. Some argue that it also lays the foundation for long-term economic and technological competition with China.The bill facilitates massive state investment in the U.S. technology sector, with an eye toward eliminating the supply chain vulnerabilities that the pandemic made plain. Proponents have justified the bill as necessary to countering China’s own industrial policy, the “Made in China 2025” project."
 
You know nothing about economics. Kusoma report ni kitu kimoja,na ku-interpret report correctly ni jambo lingine tofauti.Ndo maana nasema ukiongea mbele ya watu wanaojua uchumi utaonekana wewe bado ni layman 🤣 🤣 .Na ninayaongelea haya nikiwa kama expert wa masuala ya uchumi.
Nakuona ww unaejua masuala ya uchumi kuwazidi wanauchumi wa marekani.
We mswahili wa buza una elimu gani ww kuwazidi wanauchumi wa marekani??
Hivi unajua unabishania nn?
Kujitia ujuaji ni kujivika joho la upumbavu.
HAO WALOTOA RIPOTI WASHAFANYA UTAFITI NA NI WANAUCHUMI WA MAREKANI WENYEWE.
HALAFU TOA HOJA USIMU ATTACK MTU THIBITISHA KM UNAJUA UCHUMI KULIKO HAO WAZUNGU WENYEWE
 
Kwa hiyo unakanusha maneno yako?
Ni mjinga fulani anayejifanya anajua, mpaka kukataa maneno yake mwenyewe.
WE KWELI MATAKO
UNANILISHA MANENO AMBAYO SIJASEMA UNANILAZIMISHAJE NKUBALI NISICHOSEMA??
SOMA VIZURI HIYO MISAMIATI NIMEIPANGILIAJE NA NIMEMAANISHA NINI.
KUBISHANA NA WAPUMBAVU SHIDA SANA.
 
Mnafanya makosa kuifananisha USA na izo takataka za akina developing country (china) kama wao wanavyoita, kwamfano hapa nitakuwekea vigezo vichache tu vinavyoifanya iyo chna yenu ishindwe kufikia level ya huyu anayejiita super power kipind hiki

Power rankings btn USA and China
1)bajeti ya ulinzi&usarama kati ya USA&China
USA spending $750 billion on defence per year whike china spending $237 billion per year

2)Population
chinese- 1.40 billion while USA- 328 million

3) GDP
USA- $21.4 trilion
China -$14.3 trilion

4)GDP pc, ppp USA $65,298
GDP pc, ppp China $10,217

5) Number of Satellite launched on space
China- 278
USA- 3799

6) Computer OS
china depending on USA Computer Os while USA has its own computer os...

hivyo ni vigezo vichache tu vya superior country, kwahiyo uyo mchina wenu mpka aje awe mbabe lazma ampiku USA kwenye mamb kama haya hususan technology maana dunia ya sasa inaongozwa na technology nasio kelele wala ushawish wa bidhaa feki masokoni na ujanja wakipumbavu.....
Walosema China ni upcoming superpower sio sisi WALALAMIKIE IMF NA WANAUCHUMI WA USA WENYEWE WALOITABIRIA CHINA.
KWASABABU HATA RIPOTI WAMETOA WAO.
WE UNAIJUA MAREKANI KULIKO WENYEWE WALOTOA RIPOTI????
KUKARIRISHWA MZIGOOO!!!
NARUDIA WALOTOA RIPOTI NI WENYEWE SIO SISI KAWAKOSOE WAO.
 
Nakuona ww unaejua masuala ya uchumi kuwazidi wanauchumi wa marekani.
We mswahili wa buza una elimu gani ww kuwazidi wanauchumi wa marekani??
Hivi unajua unabishania nn?
Kujitia ujuaji ni kujivika joho la upumbavu.
HAO WALOTOA RIPOTI WASHAFANYA UTAFITI NA NI WANAUCHUMI WA MAREKANI WENYEWE.
HALAFU TOA HOJA USIMU ATTACK MTU THIBITISHA KM UNAJUA UCHUMI KULIKO HAO WAZUNGU WENYEWE
Ungekuwa unajua Economics ina principles zake usingeandika rubbish.To be fair-Hujui basics za economics na zinavyofanya kazi. Una mengi sana ya kujifunza 🤣 🤣
 
Walosema China ni upcoming superpower sio sisi WALALAMIKIE IMF NA WANAUCHUMI WA USA WENYEWE WALOITABIRIA CHINA.
KWASABABU HATA RIPOTI WAMETOA WAO.
WE UNAIJUA MAREKANI KULIKO WENYEWE WALOTOA RIPOTI????
KUKARIRISHWA MZIGOOO!!!
NARUDIA WALOTOA RIPOTI NI WENYEWE SIO SISI KAWAKOSOE WAO.
Kwa hiyo IMF ni Marekani? 🤣🤣🤣.Jambo dogo tu kama hili linakupiga chenga-Ndo utaweza ku-interpret report ya IMF?
 
China mwaka 2021 bimaana mwaka huu mwezi wa pili imetangazwa kuwa ni taifa pekee lililokopesha mataifa mengi duniani.

Bank kuu ya China imekopesha mataifa 138 na kusamehe madeni mataifa 38.

Hivi tujadiliane jamani kiuchumi hii imekaaje?

Hivi kuna atayempiku huyu jamaa kweli?
Unahitaji maarifa,na nashukuru sana ulianza kwa kuomba maarifa-meaning una gap la idea za implications za kiuchumi.Ujuaji mwingi haufai.
 
Kwa hiyo IMF ni Marekani? 🤣🤣🤣.Jambo dogo tu kama hili linakupiga chenga-Ndo utaweza ku-interpret report ya IMF?
Yani hapo inajulisha mambo madogo tu unashindwa kung'amua kesha wajifanya mjuaji.
Fuatilia mjadala ulianzia wapi.
Kuna ripoti imetoa IMF na kuna ripoti walitoa wenyewe wanauchumi wa marekani kuhsu vita ya kiuchumi ya China na USA na waka conclude vipi.
Ingia hata youtube utakuta kwa vyombo vyao vya habari hivyo hivyo.
We umekaa nyuma ya keyboard unabwabwaja tu.
 
Back
Top Bottom