- Thread starter
- #121
Analeta ujuaji mwingi huyo anajikuta yeye anajua kuliko wanauchumi was IMF na USA wenyewe walotoa takwimu kuwa China ina uchumi imara wa kushindana na USA.kama zp mkuu wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Analeta ujuaji mwingi huyo anajikuta yeye anajua kuliko wanauchumi was IMF na USA wenyewe walotoa takwimu kuwa China ina uchumi imara wa kushindana na USA.kama zp mkuu wangu
Mbona umepiga mahesabu ya kienyeji???Mimi nikiwa nina sh. elfu moja na wewe una sh. mia mbili na halafu unanidai sh. mia moja, nani mwenye uchumi mkubwa? Au unafikiri kila deni lina athari katika ukubwa wa uchumi? Unaweza ukalipwa na bado haumfikii bwana mkubwa
Inamaana IMF wajinga kutoa ripoti zao?Tokea lini China amekuwa na uchumi mkubwa kuliko Marekani? Mambo mengine bora ukae kimya tu 🤣 🤣 🤣
Anaweza kaprint tu dolla kwa kuwa zinahitaji zitakuwa na thamani tu then anamgawia mchina 20t usd zake basi ...natania tu ndugu usinitoe baruInamaana IMF wajinga kutoa ripoti zao?
Mwaka huu Alibaba ya China imetangazwa kuongoza mauzo ya mtandaoni ulimwenguni,mwaka huu IMF na WB wametangaza nchi pkee iloweza kustabilize uchumi wake licha ya corona ni China pekee,nchi yenye reserve kubwa ya dola ni China.
We unataka impitaje??
USA kabaki jina tu.
We baki kumezeshwa vya madaftarini.
WB na IMF wameisahau USA kisa mchina? Really? Leta links !!Hiyo influence ameshaanza kuipoteza.
Kwasababu influence alokua nayo ili base ktk uchumi.
Asa hv USA ikibana watu wanaenda kwa mchina kiasi mataifa mengi mpk WB na IMF wameisahau kisa mchina.
Asa me nkijua China ana uwezo wa kusimama mbele yangu ht km USA kanizingua unadhani nitashawishika na nani km siyo China???
Nani kakwambia wameisahau??WB na IMF wameisahau USA kisa mchina? Really? Leta links !!
You know nothing about economics. Kusoma report ni kitu kimoja,na ku-interpret report correctly ni jambo lingine tofauti.Ndo maana nasema ukiongea mbele ya watu wanaojua uchumi utaonekana wewe bado ni layman 🤣 🤣 .Na ninayaongelea haya nikiwa kama expert wa masuala ya uchumi.Inamaana IMF wajinga kutoa ripoti zao?
Mwaka huu Alibaba ya China imetangazwa kuongoza mauzo ya mtandaoni ulimwenguni,mwaka huu IMF na WB wametangaza nchi pkee iloweza kustabilize uchumi wake licha ya corona ni China pekee,nchi yenye reserve kubwa ya dola ni China.
We unataka impitaje??
USA kabaki jina tu.
We baki kumezeshwa vya madaftarini.
Huwezi ku-justify kwamba china ni very powerful economically kwa sababu anamkopesha sana US,Umejaribu kufanya analysis ya kujua why chinese are investing heavily on US economy? The US economy is very productive,innovative,ina currency ambayo ni stable,ina credibility ya kulipa madeni na mengineyo hivyo inaufanya kuwa very attractive kwa investors.Asilimia kubwa pia ya deni jumla la US linamilikiwa na wananchi pamoja na taasis zake za ndani ukiachilia China,Japan,and etc-Unapaswa uelewe pia hili. Backresa,Mo,Mengi wanakopa sana kwa sababu wapo very productive na ni rahisi kukopesheka kwa sababu wana credibility.Pesa wanazokopeshwa zinatoka kwa watu ambao pengine hawana cha kuzifanyia."Bank ni mahali ambapo wajinga huenda kuweka hela zao na wenye akili wanaenda kuzichukua" 🤣 🤣 🤣kama zp mkuu wangu
Kwa hiyo unakanusha maneno yako?Nani kakwambia wameisahau??
Mbona unasoma kwa kukurupuka??
Mataifa mengi ulimwenguni yameisahau WB na IMF kwasababu China inaweza kuwapatia wanachoweza patiwa na hayo masharika.
Soma vzur ustake niaminisha ht darasani ulikua unakurupuka hivi hivi.
Ni mjinga fulani anayejifanya anajua, mpaka kukataa maneno yake mwenyewe.You know nothing about economics. Kusoma report ni kitu kimoja,na ku-interpret report correctly ni jambo lingine tofauti.Ndo maana nasema ukiongea mbele ya watu wanaojua uchumi utaonekana wewe bado ni layman 🤣 🤣 .Na ninayaongelea haya nikiwa kama expert wa masuala ya uchumi.
Ndo maana kuna watu humu nikawaambia hawana exposure ya mambo halafu wanajifanya wanajua.Asante sanaMnafanya makosa kuifananisha USA na izo takataka za akina developing country (china) kama wao wanavyoita, kwamfano hapa nitakuwekea vigezo vichache tu vinavyoifanya iyo chna yenu ishindwe kufikia level ya huyu anayejiita super power kipind hiki
Power rankings btn USA and China
1)bajeti ya ulinzi&usarama kati ya USA&China
USA spending $750 billion on defence per year whike china spending $237 billion per year
2)Population
chinese- 1.40 billion while USA- 328 million
3) GDP
USA- $21.4 trilion
China -$14.3 trilion
4)GDP pc, ppp USA $65,298
GDP pc, ppp China $10,217
5) Number of Satellite launched on space
China- 278
USA- 3799
6) Computer OS
china depending on USA Computer Os while USA has its own computer os...
hivyo ni vigezo vichache tu vya superior country, kwahiyo uyo mchina wenu mpka aje awe mbabe lazma ampiku USA kwenye mamb kama haya hususan technology maana dunia ya sasa inaongozwa na technology nasio kelele wala ushawish wa bidhaa feki masokoni na ujanja wakipumbavu.....
Anachopaswa kujua ni kwamba makampuni mengi makubwa yaliyowekeza china ni ya kimarekani.US ni consumption based economy wakati china ni export based economy.China analitegemea sana soko la US kuliko US wanavyolitegemea soko la China.Na ukiangalia sasa hv US ameanza kutengeneza industrial policy yake kupambana na china na hili jambo linawachanganya sana wachina-hawakutegemea.Hata US kuondoka afganistan haraka ni kwamba wanataka kuwekeza kwenye uchumi wao heavily ili kupambana na china kwenye every sphere of influence.Kwa hiyo unakanusha maneno yako?
Ni mjinga fulani anayejifanya anajua, mpaka kukataa maneno yake mwenyewe.
"On June 8, the Senate passed a major industrial policy bill that would direct government investment toward critical technological sectors. The bill is intended to foster the reinvigoration of the manufacturing side of the U.S. technology sector, providing alternatives to supply chains dependent on Chinese microchips. Some argue that it also lays the foundation for long-term economic and technological competition with China.The bill facilitates massive state investment in the U.S. technology sector, with an eye toward eliminating the supply chain vulnerabilities that the pandemic made plain. Proponents have justified the bill as necessary to countering China’s own industrial policy, the “Made in China 2025” project."Anachopaswa kujua ni kwamba makampuni mengi makubwa yaliyowekeza china ni ya kimarekani.US ni consumption based economy wakati china ni export based economy.China analitegemea sana soko la US kuliko US wanavyolitegemea soko la China.Na ukiangalia sasa hv US ameanza kutengeneza industrial policy yake kupambana na china na hili jambo linawachanganya sana wachina-hawakutegemea.Hata US kuondoka afganistan haraka ni kwamba wanataka kuwekeza kwenye uchumi wao heavily ili kupambana na china kwenye every sphere of influence.
Nakuona ww unaejua masuala ya uchumi kuwazidi wanauchumi wa marekani.You know nothing about economics. Kusoma report ni kitu kimoja,na ku-interpret report correctly ni jambo lingine tofauti.Ndo maana nasema ukiongea mbele ya watu wanaojua uchumi utaonekana wewe bado ni layman 🤣 🤣 .Na ninayaongelea haya nikiwa kama expert wa masuala ya uchumi.
WE KWELI MATAKOKwa hiyo unakanusha maneno yako?
Ni mjinga fulani anayejifanya anajua, mpaka kukataa maneno yake mwenyewe.
Walosema China ni upcoming superpower sio sisi WALALAMIKIE IMF NA WANAUCHUMI WA USA WENYEWE WALOITABIRIA CHINA.Mnafanya makosa kuifananisha USA na izo takataka za akina developing country (china) kama wao wanavyoita, kwamfano hapa nitakuwekea vigezo vichache tu vinavyoifanya iyo chna yenu ishindwe kufikia level ya huyu anayejiita super power kipind hiki
Power rankings btn USA and China
1)bajeti ya ulinzi&usarama kati ya USA&China
USA spending $750 billion on defence per year whike china spending $237 billion per year
2)Population
chinese- 1.40 billion while USA- 328 million
3) GDP
USA- $21.4 trilion
China -$14.3 trilion
4)GDP pc, ppp USA $65,298
GDP pc, ppp China $10,217
5) Number of Satellite launched on space
China- 278
USA- 3799
6) Computer OS
china depending on USA Computer Os while USA has its own computer os...
hivyo ni vigezo vichache tu vya superior country, kwahiyo uyo mchina wenu mpka aje awe mbabe lazma ampiku USA kwenye mamb kama haya hususan technology maana dunia ya sasa inaongozwa na technology nasio kelele wala ushawish wa bidhaa feki masokoni na ujanja wakipumbavu.....
Ungekuwa unajua Economics ina principles zake usingeandika rubbish.To be fair-Hujui basics za economics na zinavyofanya kazi. Una mengi sana ya kujifunza 🤣 🤣Nakuona ww unaejua masuala ya uchumi kuwazidi wanauchumi wa marekani.
We mswahili wa buza una elimu gani ww kuwazidi wanauchumi wa marekani??
Hivi unajua unabishania nn?
Kujitia ujuaji ni kujivika joho la upumbavu.
HAO WALOTOA RIPOTI WASHAFANYA UTAFITI NA NI WANAUCHUMI WA MAREKANI WENYEWE.
HALAFU TOA HOJA USIMU ATTACK MTU THIBITISHA KM UNAJUA UCHUMI KULIKO HAO WAZUNGU WENYEWE
Kwa hiyo IMF ni Marekani? 🤣🤣🤣.Jambo dogo tu kama hili linakupiga chenga-Ndo utaweza ku-interpret report ya IMF?Walosema China ni upcoming superpower sio sisi WALALAMIKIE IMF NA WANAUCHUMI WA USA WENYEWE WALOITABIRIA CHINA.
KWASABABU HATA RIPOTI WAMETOA WAO.
WE UNAIJUA MAREKANI KULIKO WENYEWE WALOTOA RIPOTI????
KUKARIRISHWA MZIGOOO!!!
NARUDIA WALOTOA RIPOTI NI WENYEWE SIO SISI KAWAKOSOE WAO.
Unahitaji maarifa,na nashukuru sana ulianza kwa kuomba maarifa-meaning una gap la idea za implications za kiuchumi.Ujuaji mwingi haufai.China mwaka 2021 bimaana mwaka huu mwezi wa pili imetangazwa kuwa ni taifa pekee lililokopesha mataifa mengi duniani.
Bank kuu ya China imekopesha mataifa 138 na kusamehe madeni mataifa 38.
Hivi tujadiliane jamani kiuchumi hii imekaaje?
Hivi kuna atayempiku huyu jamaa kweli?
Yani hapo inajulisha mambo madogo tu unashindwa kung'amua kesha wajifanya mjuaji.Kwa hiyo IMF ni Marekani? 🤣🤣🤣.Jambo dogo tu kama hili linakupiga chenga-Ndo utaweza ku-interpret report ya IMF?