China itapata wakati mgumu sana kwa Taiwan kuliko Russia kwa Ukraine

Narumu kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
1,888
Reaction score
4,489
China kwanza wamechelewa sana kuivamia Taiwan ,wamezembea hadi US kajenga base yake pale,US ana marine combat's zaid ya 20,000 ,ndege za kivita zaid ya 200 ,manowari ,pia ana base nyingine kisiwa cha japani ambacho ni karibu sana na Taiwan ,yani kiufupi Taiwani wamejiweka sawa.

Changamoto nyingine ni kwamba kisiwa hicho kipo umbali wa km 175 kutoka China, hivyo China akitaka kukivamia itabidi awe na meli kubwa zenye uwezo wa kubeba vifaa na zana za vita ,na hiz meli zitakua zinatembea taratibu hii itakua rahisi kushambuliwa na morden ant-ship messile ,pia Taiwan wameshatega mabomu ya kwenye maji kuzunguka kisiwa kizima ,mabomu haya yaliyotengenezewa UK yana uwezo wa kuharibu hadi submarine za kisasa.

Changamoto nyingine kuna kakisiwa kadogo ka Taiwan ambacho kiko umbali wa km 70 toka China haka kakisiwa kamejazwa wanajeshi na zana za kivita na ulinzi mkali hivyo kabla China hajafika Taiwan kwenyewe itamgharimu sana hapa.

Changamoto nyingine ni geography ya hichi kisiwa cha Taiwan aisee mji na mji kumetengwa na misitu mikubwa na mabonde mengi hii nayo. changamoto.

Changamoto nyingine ni jinsi ya kufanya uvamizi wa kushtukiza,unjua kwenye vita ukitaka ushindi wa asubuhi kamata anga la mpinzani aisee kwa Taiwan siyo rahisi maana anga lake linaendeshwa kisasa ,sawa na anga la France au German ,siyo choka mbaya Ukraine wasio na hata rada za maana

Lingine ni kuwa hichi kisiwa sio choka mbaya kama Ukraine wao wamenunua ndege za kisasa,technology zilizoenda shule ,ni wataalamu wa udukuz,wakisaidiwa na japani na US.

Changamoto ya mwisho ni kwamba kisiwa hichi kimeingia makubaliano na US ya kulindana hivyo hapa US anaingia direct, siyo kule kwa zelesky anatumiwa kifaa kimojakimoja tena kwa tabu.

Sitegemei kama China wataivamia Taiwan ,itaishia kupiga mikwara tuu.

Mama anatinga huko next week ngoja tuone ,yajayo yanafurahisha
 
Hizo Mbwembwe na propaganda za USA, Taiwani itapigwa tu..Jana Biden kapewa onyo na Rais wa China
kwamba asichezee moto.
Biti tuu hilo mama anaenda na hawamfany kitu,China alipigwa biti moja tu ole wake aisaidie Russia mpaka leo mkia makalion ,tuone biti lake,US anawaona kama walevi wa madaraka tuu. Mtu ukikaa sana madarakani unapungukiwa akili
 
China kwanza wamechelewa sana kuivamia Taiwan ,wamezembea hadi US kajenga base yake pale,US ana marine combat's zaid ya 20,000 ,ndege za kivita zaid ya 200 ,manowari ,pia ana base nyingine kisiwa cha japani ambacho ni karibu sana na Taiwan ,yani kiufupi Taiwani wamejiweka sawa.
Changamoto nyingine ni kwamba kisiwa hicho kipo umbali wa km 175 kutoka China, hivyo China akitaka kukivamia itabidi awe na meli kubwa zenye uwezo wa kubeba vifaa na zana za vita ,na hiz meli zitakua zinatembea taratibu hii itakua rahisi kushambuliwa na morden ant-ship messile ,pia Taiwan wameshatega mabomu ya kwenye maji kuzunguka kisiwa kizima ,mabomu haya yaliyotengenezewa UK yana uwezo wa kuharibu hadi submarine za kisasa.
Changamoto nyingine kuna kakisiwa kadogo ka Taiwan ambacho kiko umbali wa km 70 toka China haka kakisiwa kamejazwa wanajeshi na zana za kivita na ulinzi mkali hivyo kabla China hajafika Taiwan kwenyewe itamgharimu sana hapa.
Changamoto nyingine ni geography ya hichi kisiwa cha Taiwan aisee mji na mji kumetengwa na misitu mikubwa na mabonde mengi hii nayo. changamoto.
Changamoto nyingine ni jinsi ya kufanya uvamizi wa kushtukiza,unjua kwenye vita ukitaka ushindi wa asubuhi kamata anga la mpinzani aisee kwa Taiwan siyo rahisi maana anga lake linaendeshwa kisasa ,sawa na anga la France au German ,siyo choka mbaya Ukraine wasio na hata rada za maana,
Lingine ni kuwa hichi kisiwa sio choka mbaya kama Ukraine wao wamenunua ndege za kisasa,technology zilizoenda shule ,ni wataalamu wa udukuz,wakisaidiwa na japani na US.
Changamoto ya mwisho ni kwamba kisiwa hichi kimeingia makubaliano na US ya kulindana hivyo hapa US anaingia direct, siyo kule kwa zelesky anatumiwa kifaa kimojakimoja tena kwa tabu.
Sitegemei kama China wataivamia Taiwan ,itaishia kupiga mikwara tuu.
Mama anatinga huko next week ngoja tuone ,yajayo yanafurahisha
Wacha wee!
🤣🤣
 
Mimi nilifikiri unakuja na bandiko la kuonyesha uhalali wa umiliki wa hicho kisiwa. Wewe unakuna na blabla ya utaalamu wa kivita wa tandale. China kaishaweka biti hataki spika wa marekani akanyage taiwan. Sasa kama USA ni mbabe na amehaweka kambi akanyake basi huyo spika tuone, naona kibabu kimeshapiga simj ya kuomba poo maana iabu nyingine inakwenda kuikumba USA
 
Mbona safar IPO babu
 
Back
Top Bottom