China kajipambanua kama chui wa karatasi: Hapa bongo tunasema ni "nyoka wa kibisa"

Just read between the lines if you are so interested!! Usijiaibishe!!
Nimefanya hivyo, lakini mkuu nime gundua hauna ufahamu mkubwa na huu mgogoro.
na hao Nationalists waliokuwa wanajiita PRC (Peoples republic of China)
Mkuu unaona makosa yako lakini ? Unafahamu PRC imezaliwa lini ?
hao Nationalists waliokuwa wanajiita PRC (Peoples republic of China) walishindwa vita wakakimbilia kisiwani Taiwan
Mkuu unao haya makosa yako lakini ?
na hadi leo wanajiita rasmi kama PRC!!
Mkuu jifunze kwanza kitu ndio uzungumze maana unacho andika duuh!😳.
 
unapenda debate mkuu , shusha nondo zako acha kurefusha story , km umeingia maji kimo si chako we kubali tu na sio kurefusha debate
 
Nationalist waliojulikana kama Kuomintang chini ya Chiang Kai-shek waqlipigana na wakomunisti chini ya Mao Zedong (1945-1949). Nationalists walishindwa wakakimbilia kisiwani Taiwan na kizazi chao kinaendeleza hiyo bifu hadi leo!!
 
Pole!! Ungebisha zama za kale ningekuelewa, lakini leo una nafasi ya kuingia internet na kupata habari zote!! Pole sana!!

Nationalist collapse and the establishment of the People’s Republic of China (1949)​

The two-decade struggle for China between the Nationalists and the Communists reached its conclusion in 1949. The year began with a Nationalist appeal to the “Big Four” (the United States, the United Kingdom, France, and the Soviet Union) to mediate a settlement with the Communists. The United States, which had for so long supported the Nationalist cause, immediately replied that such an effort would not serve any useful purpose. On January 14 Mao declared his willingness to negotiate on the following terms: (1) punishment of “war criminals,” (2)
 
Mkuu kwa kukusaidia zaidi mgogoro/vita ulikuwa na awamu mbili awamu ya kwanza ulianza 1927 na awamu ya pili 1947.
 
How could you be a powerfully nation while you copy every thing?
 
Uturuki alijinyea
 
Mkuu kwa kukusaidia zaidi mgogoro/vita ulikuwa na awamu mbili awamu ya kwanza ulianza 1927 na awamu ya pili 1947.
Pole!! Awamu ya kwanza haikuzaa sehemu moja ya china kukimbilia kisiwani Taiwan!! Tunaongelea mwanzo wa sehemu moja ya wahasimu kukimbilia Taiwan kuanzisha serikali yao huko!! Huo ndio muktadha wa maongezi haya and not otherwise!

Nationalist collapse and the establishment of the People’s Republic of China (1949)​

The two-decade struggle for China between the Nationalists and the Communists reached its conclusion in 1949. The year began with a Nationalist appeal to the “Big Four” (the United States, the United Kingdom, France, and the Soviet Union) to mediate a settlement with the Communists. The United States, which had for so long supported the Nationalist cause, immediately replied that such an effort would not serve any useful purpose. On January 14 Mao declared his willingness to negotiate on the following terms: (1) punishment of “war criminals,” (2)
 
China ni muoga tuishie hapa kwani maamuzi ya kuivamia Ukraine aliamua putin pekee yake?
 
China ni muoga tuishie hapa kwani maamuzi ya kuivamia Ukraine aliamua putin pekee yake?
Mkuu siasa za Russia na China ni tofauti kabisa, kwa hiyo maamuzi waliyo fanya Russia ni sahihi kwa upande wao na maamuzi wanayo fanya PRC na PLA pia ni sahihi kwao kwa sasa.
 
Kwa hiyo mkuu mwaka 1927 mpaka mwaka 1936 China CPC/PLA haikupigana na Kuomitang/CNA ?
 
Kwenye komenti Yako namba tatu,naomba nitifautiane na wewe.
Uturuki iliipiga ndege ya Urusi kweli,lkn Urusi ilikasirika na Putin akasema ,rafiki,"umenichoma kisu mgongoni".
Akilenga kwamba Urusi haikua na bifu na Uturuki na pia walikua ni marafiki.
Urusi ikaonya kua inatafakari juu ya tukio hilo.
Ukweli kabla hata Urusi hawajachukua maamuzi Edorgan alienda Moscow kuomba msamaha,na aliomba msamaha.
Kwa hiyo Uturuki waliipiga ndege Ile sio kibabe kama ilivyodhaniwa.
Na baada ya hapo waliendelea kufanya biashara za bidhaa nyingine na hata za silaha.
Hii maana yake Nini.
Hii maana yake hapakua na uadui kama uliokuwapo kati ya Korea Kaskazini dhidi ya USA na Korea kusini,

Uadui kati ya Iran na USA,

Na uadui kati ya Urusi na NATO.

Kwa kifupi ni kama Uturuki aliipiga ndege ya Urusi kimakosa na ndio maana Edorgan alikimbilia Moscow kwenda kuomba samahani.
 
Mkuu siasa za Russia na China ni tofauti kabisa, kwa hiyo maamuzi waliyo fanya Russia ni sahihi kwa upande wao na maamuzi wanayo fanya PRC na PLA pia ni sahihi kwao kwa sasa.
Nilichopinga ni kutuletea baraza la maamuzi la China kana kwamba urusi putin ndo aliamua kuvamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…