Mwagona mgosi waneMwagona
Na hapo hujazungumzia uwekezaji wa kampuni za Marekani China.Aingie taiwan hapo tuone nguvu zake kijeshi otherwise ni porojo tu khs trade war bidhaa za china soko lake kubwa ni marekani kuliko hata ndani ya china yenyewe.
Pelosi, Nancy PelosiYaani mchina kweli akapigane na US? Si alivuliwa nguo pale Taiwan baada ya kupiga mikwara yake kwamba Peros asiingie Taiwan la sivyo watafanya kitu ambacho US hakutegemea? Mpaka leo kimya.
Aingie taiwan hapo tuone nguvu zake kijeshi otherwise ni porojo tu khs trade war bidhaa za china soko lake kubwa ni marekani kuliko hata ndani ya china yenyewe.
Ila ni vita ya kibiashara, uwe unasoma na kuelewa pia fatilia kinacho endelea duniani
USSR
ok asante kwa porojo haya mwambieni aingie taiwan sasa kumbe jeshi la chini sasa ni hatari vp la marekani lenyewe bado lipo vilevile eti eeehPelosi, Nancy Pelosi
1950-1953 China na marekani walikutana kwenye vita vya Korea mpaka General MacArthur akatishia matumizi ya nyuklia baada ya kukutana na mfupa mgumu.
Mind you 1950 ni mwaka mmoja toka China ya wakomunisti ijitangazie kuwa China sasa ni taifa huru 1949 kukuongezea zaidi wakomunisti wa China walikuwa na jeshi dhaifu lilitoka kwenye mapinduzi na vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa zaidi ya miaka 20 ni kama ilivyo M23 kwa mbaali.
Pia usisahau mpaka miaka hiyo ya 1950-1953 maeneo kama Tibet,Xinjiang,Taiwan,Kinmen, Matsu,Penghu yalikuwa bado hayaja kombolewa na wakomunisti vita vya ukombozi bado vilikuwa vinaendelea.
Kwa urahisi ni kuwa marekani ilikutana na jeshi la China dhaifu sana katika Korea lakini kazi waliyokutana nayo ni MacArthur pekee ndie anayejua mpaka kutishia Nyuklia
Hujamaliza kusoma sentence zoteIla ni vita ya kibiashara, uwe unasoma na kuelewa pia fatilia kinacho endelea duniani
USSR